mwakijembe
JF-Expert Member
- Mar 20, 2017
- 1,638
- 2,293
Bavicha humo kichwani mnavuga nini?So ndege zote hizi Magufuli anatoa hela yake mfukoni?
Ndege za wananchi zilikuwa enzi za Nyerere maana hazijawahi kuitwa za Nyerere, hizi zinafahamika kabisa zinaitwa za nani.