Hahahaaaaaa..........!Amakweli akili ni nywele
Kiongozi wa Gazeti la Jamuhuri yupo sahihi kabisa kwa kutambua juhudi za Rais wetu Dkt J.P.Magufuli.Nimemtazama kwenye kipindi cha kipima joto cha ITV kiongozi wa gazeti la Jamhuri lililo jizolea sifa za kuibua ufisadi na mambo ya hovyo yaliyokuwa yanafanywa na viongozi mbalimbali akiingia kwenye mtumbwi wa kuhubiri siasa za kuunga mkono nimeshangaa sana.
Eti anasema kusingekuwepo na ndege za serikali yule askofu aliyekuwa amelazwa MOI asingepona!!!!
Huu ni upotoshaji wa hali ya juu maana naamini wakatoriki hawawezi kushindwa kukodi ndege ya kumuwahisha kiongozi wao ili kupatiwa matibabu ili kunusuru uhai wake.
Mhariri wao si ndio alifariki majuzi kwa kuumwa tumbo?
Hilo tumbo hatujui alilishwa nini na nani....
Nadhani waliobaki ndio wameanza kuwa dizaini ya NDIO MZEE kwa sababu kilichomtokea yule kisimtokee anayekaimu uhariri for now.
Mawazo yangu tu though.
Sasa mbona Ruwaich walishindwa kumleta muhimbili!!!Kanisa Katoriki ni Serikali...wana uwezo wa kumtibu askofu wao popote pale duniani na kwa gharama yoyote ile na kwa usafiri wowote ule wa kukodi .. eti ndege imemuokoa mawee!!
Mbona wamemshukuru Rais Magufuli kwa kuwaokoa?Hawakushindwa hata kwa sekunde wacha kupotosha umma kwa makusudi
Kwa hiyo kikichokuuma ni mdau kutaja ndege za Serikali sio?. Basi msamehe bure, ni ndege za kampuni binafsi.Eti anasema kusingekuwepo na ndege za serikali yule askofu aliyekuwa amelazwa MOI asingepona!!!!
Huu ni upotoshaji wa hali ya juu maana naamini wakatoriki hawawezi kushindwa kukodi ndege ya kumuwahisha kiongozi wao ili kupatiwa matibabu ili kunusuru uhai wake.
Hivyo hivyo walivyosema kwa kuwa wao hawana ndege!Ulitaka wasemeje?
A willow versus an oak on a stormy night.No sio mtegoni bali huu ndio ukweli wenyewe wa the law of the jungle.
Jamhuri wako fit ndio maana wamesurvive, wapi MwanaHalisi?.
Survival is everything!.
P
Kama unavyo struggle ku survive kwa kuimba mapambia ya kusifia "juhudi" siku hiziNo sio mtegoni bali huu ndio ukweli wenyewe wa the law of the jungle.
Jamhuri wako fit ndio maana wamesurvive, wapi MwanaHalisi?.
Survival is everything!.
P
Basi walishindwa sasa. Hata hospital yao ya KCMC ilishindwa kumtibu.Ikabidi itumike ndege ya magufuli na hospital ya magufuli.