Mmawia
JF-Expert Member
- Aug 20, 2013
- 121,947
- 95,237
Nimemtazama kwenye kipindi cha kipima joto cha ITV kiongozi wa gazeti la Jamhuri lililo jizolea sifa za kuibua ufisadi na mambo ya hovyo yaliyokuwa yanafanywa na viongozi mbalimbali akiingia kwenye mtumbwi wa kuhubiri siasa za kuunga mkono nimeshangaa sana.
Eti anasema kusingekuwepo na ndege za serikali yule askofu aliyekuwa amelazwa MOI asingepona!!!!
Huu ni upotoshaji wa hali ya juu maana naamini wakatoriki hawawezi kushindwa kukodi ndege ya kumuwahisha kiongozi wao ili kupatiwa matibabu ili kunusuru uhai wake.