When you have no option and you are forced to choose between the two devils, you choose the lesser!, hata yale mambo aliyofanyiwa Mwana wa Adamu, unadhani alipenda?. Yule alikuwa ni Mwana wa Mungu, na ni Mungu pamoja nasi and yet shetani alimsulubisha!. Unajua kabla hajasulubiwa alisema nini?. "Ingekuwa ni amri yangu, ningetaka kikombe hiki kiniepuke, lakini mapenzi ya Bwana, yatimizwe", unafikiri alipenda kusulubiwa?.
When you have a choice ya kujifanya shujaa na kushupaa na kusulubiwa hadi kifo, au kukubali kushirikiana na kuendelea kuishi utachagua kipi?.
Wanabodi Siasa za Tanzania ni kizungumkuti!. Ni siasa za ubabe, uongo, chuki, fitna chuki, zengwe na kukomoana badala ya kuleta maendeleo. Chama tawala CCM ni chama dola, hivyo kinatumia uchama tawala wake kwa kutumia nguvu ya vyombo vya dola kunyanyasa wapinzani na kutumia mbinu safi na chafu...
www.jamiiforums.com
Wanabodi, Dr. John Pombe Joseph Magufuli ndiye mshindi wa urais Tanzania kwa mwaka huu wa 2015-2025 and may be more!, anayesubiri tuu kutangazwa rasmi na kuapishwa. Nimesema 2015 -2025 sio kwa bahati mbaya as if hakuna uchaguzi 2020, no!, nimesema 2015-2025 kwa sababu huu ndio ukweli...
www.jamiiforums.com
P.