Hospital ya KCMC siyo ya Kanisa katoliki .............!!Basi walishindwa sasa. Hata hospital yao ya KCMC ilishindwa kumtibu.Ikabidi itumike ndege ya magufuli na hospital ya magufuli.
Kwa hiyo KCMC ni ya WakatolikiBasi walishindwa sasa. Hata hospital yao ya KCMC ilishindwa kumtibu.Ikabidi itumike ndege ya magufuli na hospital ya magufuli.
Huko CCM yamejaa mazezeta tu.Watu mnajitoa akili kweli yaani hata bila aibu unaita mali za watanzania kuwa ni mali za mtu binafsi?
Magufuli yeye hizo mali kazipata wapi?
Kwa taarifa hizo ndege na hospitali ni mali za watanzania maana zimenunuliwa na kujengwa kwa kodi za watanzania
Praise team wote ni mataahiraRekebisha kauli yako, ni ndege ya serikali na hospitali ya serikali
Na mtu akishindwa kumtia mimba mkewe italaumiwa Chadema.Siasa za kupongeza zimeingia kila pahala, wanapongeza tu, yaani hata mtu akijamba wanakwambia awamu ya 5 hiyo
Ndege za serikali na hospital nayo ya serikali . Maghufuli alishasema ndege siyo zake. Angalia hotuba yake wakati anazindua rada ni wiki mbili tu zilizopita.Basi walishindwa sasa. Hata hospital yao ya KCMC ilishindwa kumtibu.Ikabidi itumike ndege ya magufuli na hospital ya magufuli.
Kwa hiyo, tujikombe kwanza !!??No sio mtegoni bali huu ndio ukweli wenyewe wa the law of the jungle.
Jamhuri wako fit ndio maana wamesurvive, wapi MwanaHalisi?.
Survival is everything!.
P
Hii mimba ya Chadema inakupelekesha mbaya.Wewe utakuwa Chadema!
Bavicha humo kichwani mnavuga nini?So ndege zote hizi Magufuli anatoa hela yake mfukoni?Ndege kweli ni ya Magufuli, lakini hospitali sio yake ni ya watanzania. Usichanganye vitu vya binafsi na umma.
Ndege za serikali na hospital nayo ya serikali . Maghufuli alishasema ndege siyo zake. Angalia hotuba yake wakati anazindua rada ni wiki mbili tu zilizopita.
Wewe unachosumbuliwa ni ulimbukeni
wakikwama wanasema ni wapinzani, haya yule beberu kule south tumlipe hela yake, ngoja aje kufanya execution hapaNa mtu akishindwa kumtia mimba mkewe italaumiwa Chadema.
Mkuu hizo ndege na hiyo hospitali ya Magufuli alitoa hela mfukoni kwake?Basi walishindwa sasa. Hata hospital yao ya KCMC ilishindwa kumtibu.Ikabidi itumike ndege ya magufuli na hospital ya magufuli.
Rule of the jungle only the strong survives ,ifn you cant beat them join themNo sio mtegoni bali huu ndio ukweli wenyewe wa the law of the jungle.
Jamhuri wako fit ndio maana wamesurvive, wapi MwanaHalisi?.
Survival is everything!.
P