Gazeti la Jamhuri nalo limeingia mtegoni

Hypocrisy is the biggest sin ever.
 
Hypocrisy is the biggest sin ever.
When you have no option and you are forced to choose between the two devils, you choose the lesser!, hata yale mambo aliyofanyiwa Mwana wa Adamu, unadhani alipenda?. Yule alikuwa ni Mwana wa Mungu, na ni Mungu pamoja nasi and yet shetani alimsulubisha!. Unajua kabla hajasulubiwa alisema nini?. "Ingekuwa ni amri yangu, ningetaka kikombe hiki kiniepuke, lakini mapenzi ya Bwana, yatimizwe", unafikiri alipenda kusulubiwa?.

When you have a choice ya kujifanya shujaa na kushupaa na kusulubiwa hadi kifo, au kukubali kushirikiana na kuendelea kuishi utachagua kipi?.
P.
 
Pascally kwa sasa sikusimangi tena maana umejieleza vya kutosha
 
Basi walishindwa sasa. Hata hospital yao ya KCMC ilishindwa kumtibu.Ikabidi itumike ndege ya magufuli na hospital ya magufuli.
Hoja hupingwa kwa hoja. Halikadhalika utafiti hupingwa kwa utafiti! Je, unaijua historia ya hospitality ya muhimbili? Unajua hati ya eneo lile iko wapi na inamilikiwa na dhehebu gani? Kwa taarifa yako hatimiliki ya muhimbili no Mali ya dhehebu Moja LA kidini na serikali Ina hisa tu kama ilivyo kwa bugando na kcmc! Hivyo usijisifu na kuisifu serikali kwa kuwa na hisa badala ya umiliki kamili! Praiser mkubwa wewe eeh!
 
Watu wanafikiri unataka uDC kumbe unatetea 'ka PPR' kako kasife kibudu! Zile mbwembwe za kusema kodi ya mengi tu ni zaidi ya mshahara wa DC zimekufa kibudu pia hahahahahah
 
Uwezo sio kila kitu mjomba; wakati mwingine unatumia connections zako muhimu kumaliza mambo bila Kwere! ndio maana walipiga simu kwa JPM kurahisisha mambo, inawezekana hata hiyo operesheni kubwa ya usiku wa manane ya baba Askofu mkuu Yuda Tadei iliwezekana kutokana na njia waliyoitumia! sijui; hakuna ubaya hapo bali ni ukweli wa maisha. if they have the connections why not use them?! chezea wakatoliki wewe!
 
Watu wanafikiri unataka uDC kumbe unatetea 'ka PPR' kako kasife kibudu! Zile mbwembwe za kusema kodi ya mengi tu ni zaidi ya mshahara wa DC zimekufa kibudu pia hahahahahah
Nilikuwa nalipwa 7 future pale FCO nikaacha mwenyewe kwasababu I was rolling 8 figure just on Saba Saba alone!. Nilipanga nyumba nzima ya NHC pale Mkwepu for kodi ya pango zaidi ya mshahara wa DC, 20 staff, I was very sure of myself, niliweza kusema chochote popote na kwa yeyote bila kujali who is who thinking I was independent and I depend on me, myself and I.

Kibao kilivyogeuka, Mkwepu nilihama, nikajamia Posta House kwenye kajichumba.
15 heads lay off!. Kamba wanaendelea kukaza, hivyo mkisikia hata mimi nime...
Nawaombeni sana msinishangae!.
P.
 
Kuna kitu kimoja Pasco ulikosea nayo ni kutumia verified user hapa jf, halafu kule uraiani ungebaki tu kusifu ili familia ipate mkate
 
Kuna kitu kimoja Pasco ulikosea nayo ni kutumia verified user hapa jf, halafu kule uraiani ungebaki tu kusifu ili familia ipate mkate
Mimi ni mkweli sana, tangu nimejiunga jf, sijawahi kutumia jina la bandia, Pasco ndio Pascal,
P
 
Basi walishindwa sasa. Hata hospital yao ya KCMC ilishindwa kumtibu.Ikabidi itumike ndege ya magufuli na hospital ya magufuli.
Hizi "sentiments" zenye harufu ya udini ni hatari sana kwa utaifa wetu. Hivi ndege ya Rais imeshawahi kutumika kusafirisha wagonjwa? Mbunge kapigwa risasi, tena akiwa ktk shughuli za kibunge Dodoma, hii huruma haikuonyeshwa kabisa.

Lkn mbali ya hilo, Askofu hakupelekwa KCMC kwa cheo chake, bali kama mgonjwa yeyote yule mwenye mahitaji ya kitabibu. Hospitali hii wala haitoi huduma zake kwa sura za kidini, isipokuwa kutokana na maadili na weledi wa kitabibu, wala si vinginenevyo.

Ni lazima tutambue kuwa rasilimali watu hubadilika kila mara kutokana na sehemu iliyopo. Ndivyo ambavyo ilivyo kwa Askofu. Akiwa hospitali hutambulika kama mgonjwa, akienda sehemu ya huduma ama dukani huitwa mteja, akiwa kanisani ktk mimbari yake huitwa Askofu, akienda ktk familia yake huitwa kaka, binamu, mwanangu n.k. akienda jela huitwa mfungwa ama mahabusu, akishtakiwa mahakamani huitwa mtuhumiwa na mambo kama hayo.

Sioni hoja yoyote ile kuhusiana na ukatoliki wake na matibabu yake pale KCMC, na wala "referral case" kuja Muhimbili kama mgonjwa mahututi kuhusishwa na Mh. Rais. Tuepuke sana mambo ya udini, la sivyo twendeni kule kwenye forum ya kidini tukawekane sawa.
 
Mungu akupiganie usifutike na kuacha kuwasemea waliozibwa midomo.
 
Mkuu vijana wameharibika sasa kisa kujipendekeza kwa wateuzi
 
Kitambo ulizisoma alama na majina mengi ukapewa hata wengine kukuchukia... kunguru mwoga...
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…