CMT
Senior Member
- Apr 29, 2016
- 172
- 87
Mzee umechemka kcmc siyo ya catholicsBasi walishindwa sasa. Hata hospital yao ya KCMC ilishindwa kumtibu.Ikabidi itumike ndege ya magufuli na hospital ya magufuli.
Mzee umechemka kcmc siyo ya catholicsBasi walishindwa sasa. Hata hospital yao ya KCMC ilishindwa kumtibu.Ikabidi itumike ndege ya magufuli na hospital ya magufuli.
Wazazi tuna hasara, nao wako huko kijijini eti walizaa mtoto anaitwa sheiza! Mungu ni mwema kumshukuru kwa kila akupacho, lakini kwa hali hii afadhali kukaa bila mtoto ikajulikana kuwa sina mtoto kama mtoto ni wewe!
Mpuuzi wewe hospitali ya magufuli au ya taifa!.Basi walishindwa sasa. Hata hospital yao ya KCMC ilishindwa kumtibu.Ikabidi itumike ndege ya magufuli na hospital ya magufuli.
Huo Mtambo usipouelewa, unaweza ukauchukia kweli, kumbe upo upande wako!Pascally nimeanza kukuelewa sasa
Tunafundishana ukitoa sadaka yako kwa mkono wa kulia hata ule wa kushoto hautakiwi kufahamu; Serikali imefanya jambo jema kumsafiri Askofu Ruwaichi kuyafikia matibabu stahiki. Hakuna haja ya kuendelea kurejea tena hilo tukio ili Watanzania wote wafahamu maana lengo halikuwa hilo bali kuokoa maisha ya mgonjwa.Basi walishindwa sasa. Hata hospital yao ya KCMC ilishindwa kumtibu.Ikabidi itumike ndege ya magufuli na hospital ya magufuli.
Wewe utakuwa Chadema!Hospital ya KCMC ni ya wakatoliki toka lini mkuu maana najua hiyo ni ya walutherani, Katoliki si ni Bugando??
Tunafundishana ukitoa sadaka yako kwa mkono wa kulia hata ule wa kushoto hautakiwi kufahamu; Serikali imefanya jambo jema kumsafiri Askofu Ruwaichi kuyafikia matibabu stahiki. Hakuna haja ya kuendelea kurejea tena hilo tukio ili Watanzania wote wafahamu maana lengo halikuwa hilo bali kuokoa maisha ya mgonjwa.
We kweli kichwa maji. Aliyekuambia KCMC ni ya wakatoliki ni yuleyule baba yako punguani?Basi walishindwa sasa. Hata hospital yao ya KCMC ilishindwa kumtibu.Ikabidi itumike ndege ya magufuli na hospital ya magufuli.
Unajitoa ufahamu?Watu mnajitoa akili kweli yaani hata bila aibu unaita mali za watanzania kuwa ni mali za mtu binafsi?
Magufuli yeye hizo mali kazipata wapi?
Kwa taarifa hizo ndege na hospitali ni mali za watanzania maana zimenunuliwa na kujengwa kwa kodi za watanzania
No sio mtegoni bali huu ndio ukweli wenyewe wa the law of the jungle.
Jamhuri wako fit ndio maana wamesurvive, wapi MwanaHalisi?.
Survival is everything!.
P
Hiyo Hospitali ingekuwa ya Magufuli mgonjwa huyo asingepona maana madaktari wangechelewa kumtibu wakiunga mkono juhudi. Hiyo hospitali wakati wa ukoloni ilikuwa inaitwa Sewa Haji baadaye Princess Margret sasa huyu Magufuli alikuwa nani?Basi walishindwa sasa. Hata hospital yao ya KCMC ilishindwa kumtibu.Ikabidi itumike ndege ya magufuli na hospital ya magufuli.