Gazeti la Jamhuri nalo limeingia mtegoni

Nimemtazama kwenye kipindi cha kipima joto cha ITV kiongozi wa gazeti la Jamhuri lililo jizolea sifa za kuibua ufisadi na mambo ya hovyo yaliyokuwa yanafanywa na viongozi mbalimbali akiingia kwenye mtumbwi wa kuhubiri siasa za kuunga mkono nimeshangaa sana.

Eti anasema kusingekuwepo na ndege za serikali yule askofu aliyekuwa amelazwa MOI asingepona!!!!
Huu ni upotoshaji wa hali ya juu maana naamini wakatoriki hawawezi kushindwa kukodi ndege ya kumuwahisha kiongozi wao ili kupatiwa matibabu ili kunusuru uhai wake.
Ngumu kumesa ulitaka waandike uaandishi kama mtanzania daima!
 
Nimemtazama kwenye kipindi cha kipima joto cha ITV kiongozi wa gazeti la Jamhuri lililo jizolea sifa za kuibua ufisadi na mambo ya hovyo yaliyokuwa yanafanywa na viongozi mbalimbali akiingia kwenye mtumbwi wa kuhubiri siasa za kuunga mkono nimeshangaa sana.

Eti anasema kusingekuwepo na ndege za serikali yule askofu aliyekuwa amelazwa MOI asingepona!!!!
Huu ni upotoshaji wa hali ya juu maana naamini wakatoriki hawawezi kushindwa kukodi ndege ya kumuwahisha kiongozi wao ili kupatiwa matibabu ili kunusuru uhai wake.
Hicho kigazeti ni takataka nowadays! Mhaya nshomile, kaona yule wa UDSM kaukwaa ubalozi akaona ajitokeze kwenye media sifie. anataka kupewa U DC, rubbish!
 
Jamaa amekera sana na sasa hivi hilo gazeti siyo la kuaminika tena

Siasa za kupongeza zimeingia kila pahala, wanapongeza tu, yaani hata mtu akijamba wanakwambia awamu ya 5 hiyo
 
Basi walishindwa sasa. Hata hospital yao ya KCMC ilishindwa kumtibu.Ikabidi itumike ndege ya magufuli na hospital ya magufuli.
Wazazi tuna hasara, nao wako huko kijijini eti walizaa mtoto anaitwa sheiza! Mungu ni mwema kumshukuru kwa kila akupacho, lakini kwa hali hii afadhali kukaa bila mtoto ikajulikana kuwa sina mtoto kama mtoto ni wewe!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom