Gazeti la Daily News Kuweni Makini tunawasomeni

Mlaleo

JF-Expert Member
Oct 11, 2011
14,665
11,683
Nimesikitika sana wakati nasoma gazeti la Daily News upande wa Sports sehemu ya Wafungaji wanaoongoza kwa kufumania nyavu nchini Spain..
Wameandika Suarez anachezea Real Madrid? and then ana Magori 13? wakati jamaa Ng'ata Ng'ata ana kabla ya hiyo ijumaa alikuwa na goli 16 jumamosi akatupia mawili now ana goli 18 Messi kabla ya Ijumaa alikuwa katupia 16 now ana 17 Ronaldo wa Real Madrid kabla ya jumamosi alikuwa katupia 13 now ana goli 14
IMG_20170210_184904.jpg
IMG_20170210_184911.jpg
 
Back
Top Bottom