kerubi afunikaye
JF-Expert Member
- May 20, 2013
- 1,183
- 1,061
Mkajiandikishe bvr na hakikisheni mnaandikishwa zaidi ys 200 kwa siku.
Sasa uchoche uko wapi hapo? aliyesema chadema ni kama kanisa ni Msigwa au gazeti? Maneno yamesemwa na msigwa kabisa mlitakiwa kutoa lawama kwa msigwa!
Hivi kama chadema ni kama kanisa hivi waislam wafate nini kanisani? Huu ndio ukweli ...!
Bora Msigwa kavunja ukimya kabisa kasema chadema ni kama kanisa!
Hapa ndio mtajua kuwa kuna umuhimu wa kuchunga ndimi zenu...Msigwa amezoea kuropoka bungeni sasa amekwenda kuendelea kuropoka mtaani! Hapo amebugi kabisa!
Kimsingi Msingi heading ya habari ilitakiwa kuwa Msigwa asema Chadema ni kama kanisa!
Sioni uchochezi wowote zaidi ya kuandika ukweli ulio semwa na Mnyika...hivi mlitaka waseme baada ya kauli hiyo Waislam watafurahi? Uwezi ukasema chadema ni kama kanisa halafu utegemee waislam kuja kanisani!
Msigwa anajua fika chama chake kimekuwa kikisakamwa na hili tatizo la kuwa ni chama cha kikristo sasa na yeye kaweka wazi kuwa Chadema ni kama kanisa....! Mfungeni speen gavernor ya mdomo!
" Chadema ni Kama Kanisa- Msigwa "
Bora wewe umehamua kusema ukweli Msigwa kakosea lakini baadhi ya Bavicha wana mtetea...Wakati mwingine wanasiasa huwa wanavigharimu sana vyama vyao pale wanapotoa kauli majukwaani bila kufikiri mara mbili, hali hii tumeshaiona mara nyingi tu katika majukwaa ya siasa za tanzania,na mbaya zaidi ni pale wanaposhindwa kujitokeza kuomba radhi au kutolea ufafanuzi kauli hizo
Yaani Mchungaji Msigwa kuifananisha Chadema na Kanisa ni mfano tu lakini Al-Huda wao kuhoji wapo kibiashara daah!!
Waswahili hawaelewi wanataka nini...wapi na lini...
ndio maana CCM inawatumia itakavyo na hawana ujasiri wa kuiadhibu.....
Hivi wewe Bavicha kati ya Mimi na msigwa nani amesema haya? "Chadema ni kama kanisa tuna hubiri wokovu "Mkuu acha kujiweka nyuma kiasi kikubwa hivyo! Hivi nikikwambia wewe ni msafi kama paka, utalalamika umeitwa paka?? Kwa nini usitumie hata akili yako kidogo tu! Hizi chuki unapandikiza kwa faida ya nani!? Na watu wasipokuelewa unavyojaribu kuharibu mantiki ya Msigwa utafanyaje?? Acha utoto mkuu, usikubali kukuwa mwili na nywele, ikuze pia akili yako.
C.C
Ritz.
Lizabon et al.
...
Kasema kweli Chadema ni kama Kanisa...
"Chadema ni kama kanisa tuna hubiri wokovu "Kunatofauti kubwa ya maana ya sentensi hizi mbili:
1.Chadema ni kama Kanisa
2.Chadema ni Kanisa
Hata hivyo, nakubaliana na The Boss, Mch. Msigwa 'alikosea'.
ndo matokeo haya ya akili kiduchu zitokanazo na elimu isiyo sahihi ya shule za kata za ccm."Chadema ni kama kanisa tuna hubiri wokovu "
Chama cha siasa kama Chedema hizo ndiyo kazi zake?
Mkuu kauli ya Mchangaji Msigwa kufananisha Chadema kama Kanisa wewe huwezi kuiona kama tatizo sababu wewe ni mkirsto. Chadema ni chama cha siasa kuna watu wa dini tofuati tofuati unadhani watu wataelewa vipi kauli hii ya Mchangaji? ?
Uchochezi ni hapo alipoongeza waislam kuwa mashakani. Hapo ndiyo kosa la mwandishi lilipo.Nyie viumbe wa ajabu sana uchochezi gani gazeti limefanya? Mbona karibia magazeti yote yaliandika hii habari.
Labda nikuulize wewe kweli au siyo kweli Mchungaji Mnyika akusema Chadema ni kama Kanisa?
Tuonyeshe uchochozi wa hilo gazeti.
Usijeshangaa lile jukwaa likaja na tamko la kuwazuia waumini wake wasiipigie kura UKAWA!