Nimefadhaishwa sana na gazeti la Al-Huda litokalo kila wiki toleo na.523 SHAWWAL1436 la tar23-29, Julai 2015 Uk wa mbele limepambwa na maneno.
Msigwa: CHADEMA kama kanisa
*Asema wanahubiri habari ya wokovu
*Wanachama waislamu sasa mashakani
Kimsingi kauli hizo ni za kichochezi dhidi ya waislam na wakristo! Ifahamike kuwa Mchungaji Msigwa(Mbunge wa Iringa) alitoa kauli hiyo kifalsafa kumkaribisha Lowassa ndani ya Chadema! Msigwa alisema "...CHADEMA ni kama kanisa, hakataliwi mtu, tunahubiri habari njema ya wokovu, unatubu unafanyakazi!"
Mimi siyo msemaji wa Msigwa lakini nimekerwa na gazeti hilo kwa sababu kauli ya Msigwa haikulenga kutugawa Wanachama wa CHADEMA kwa misingi ya kidini! Ni kama kauli ya Tundu Lissu alipotamka kuwa "...John Pombe Magufuli na kabila lake la MaCCM..." hakulenga kuwa kuna kabila la MaCCM!
Kwahiyo siyo kweli kuwa msigwa alimaanisha CHADEMA ina wafuasi wa kikristo pekee!
Naomba mamlaka husika iingilie kati! Mungu Ibariki Tanzania!
Usingekosekana kwenye haya mambo! haya waite na wengine bila kumsahau Mohamed Said.Gazeti limeripoti kama alivyosema Mchungaji wa Chadema Msigwa.
Kasema kweli Chadema ni kama Kanisa.
Sasa hapo unalishambulia gazeti kwa kosa gani, wewe umejuaje kama Mchungaji Msigwa alikuwa hana maana hiyo.
Nitashangaa kama Msigwa hatojitokeza hadharani na kuomba radhi au kufafanua juu ya matamshi yake haya!Cha ajabu wanalishambulia gazeti lilioandika alichokisema Msigwa, ila msigwa wanamfuga bila kujua wanafuga bomu, watu walisema kitambo CDM ni sawa na kanisa, wao wakabisha sasa mchungaji wa hilo kanisa(CDM) katangaza wazi, bao wanabisha
kinacho ni shangaza ni wanachadema kuto mkemea Msigwa badala yake wana mtetea eti tamathali za semi Teh Teh...hivi Msigwa alikuwa ana wahutubia watu wanao jua kuwa ni tamathali za semi? Msigwa ni mjinga lakini hakemewi.....Unaposema Chadema ni kama kanisa umesha wagawa watu...hivi hakukuwa na mfano mwingine?
Nalipenda sana hilo gazeti.
Gazeti limeripoti kama alivyosema Mchungaji wa Chadema Msigwa.
Kasema kweli Chadema ni kama Kanisa.
Sasa hapo unalishambulia gazeti kwa kosa gani, wewe umejuaje kama Mchungaji Msigwa alikuwa hana maana hiyo.
Hvi aliyesema Chadema ni kama kanisa lina hubiri wokovu ni nani kati ya Gazeti na Msigwa? Hivi hukutaka Gazeti lilireport habari hii? Kwa maneno hayo ya Msigwa ulitaka kusiwepo na mashaka?Hatukuona public reaction yoyote so watu walimwelewa!Iweje gazeti ndio lije kuleta chokochoko hizi?
Credible Viewer
Ndio maana hua tunaseema waandishi wengi nchini ni makanjanja hawana sifa! Kama ana sifa basi amefanya makusudi kutengeneza uchochezi, na kama haelewi basi sio mwandishi huyo.
Naona hapa kamtazama Msigwa kama Mchungaji na kuangalia mdomo wake unatamka nini na yeye bila kufikiri kahamisha hivyo hivyo. Huu ni ulimbukeni uliopitiliza, hamna mtu ambaye hakumwelewa Msigwa!
Alimaanisha CHADEMA ni kama kanisa kwa maana ya kupokea kila mtu ambapo hata wengine hutubu dhambi zao na kuendelea kupiga kazi ya kumtukuza Mungu basi.
Ulitaka atumie maneno ganiMsigwa yeye ni mchungaji
na anajua tuhuma zipo za CHADEMA kuwa chama cha wakristo
hata kama hizo tuhuma si za kweli na za kutunga
hakupaswa kuwa reckless na kuanza kuita CHADEMA kanisa
Mifano ipo mingi ya kufikisha ujumbe
Kutumia mifano ya aina hiyo ni ama uzembe au kiburi na kutokujali kina nani hawatapendezwa
Pro-Chadema wamebakia kujivua nguo tu hapa na kuwapa wakati mgumu viongozi wao mbele ya jamii za Waislam.
Tunapenda sana kuwasoma mnavyopambana na Waislam.
Tutakutana October kwenye box la kura.
Teh teh teh
Sasa Kama Msigwa amesema Chadema ni kama kanisa na wana hubiri wokovu unategemea waislam wasiwe mashakani?,,,,Hivi mnatetea nini nyie?
Pole rafiki. Nami sijaipenda hiyo kauli ya uchochezi. Lakini ujue Al Huda wamesoma madrasa tu hivyo habari ya falsafa (philosophy , psychology of speech, analytical theology and the like hawajawahi kukutana nayo. Ni madrasa yanayoongozwa na illiterates who have never seen the inside of an academic classroom!Nimefadhaishwa sana na gazeti la Al-Huda litokalo kila wiki toleo na.523 SHAWWAL1436 la tar23-29, Julai 2015 Uk wa mbele limepambwa na maneno.
Msigwa: CHADEMA kama kanisa
*Asema wanahubiri habari ya wokovu
*Wanachama waislamu sasa mashakani
Kimsingi kauli hizo ni za kichochezi dhidi ya waislam na wakristo! Ifahamike kuwa Mchungaji Msigwa(Mbunge wa Iringa) alitoa kauli hiyo kifalsafa kumkaribisha Lowassa ndani ya Chadema! Msigwa alisema "...CHADEMA ni kama kanisa, hakataliwi mtu, tunahubiri habari njema ya wokovu, unatubu unafanyakazi!"
Mimi siyo msemaji wa Msigwa lakini nimekerwa na gazeti hilo kwa sababu kauli ya Msigwa haikulenga kutugawa Wanachama wa CHADEMA kwa misingi ya kidini! Ni kama kauli ya Tundu Lissu alipotamka kuwa "...John Pombe Magufuli na kabila lake la MaCCM..." hakulenga kuwa kuna kabila la MaCCM!
Kwahiyo siyo kweli kuwa msigwa alimaanisha CHADEMA ina wafuasi wa kikristo pekee!
Naomba mamlaka husika iingilie kati! Mungu Ibariki Tanzania!
Msigwa yeye ni mchungaji