STREET SMART
JF-Expert Member
- Feb 19, 2010
- 848
- 692
Kinachoturudisha nyuma waislam ni unafki, Madabida alimfananisha Lowassa na Mtume Muhammad (S.A.W). Sikuona magazeti ya kinafki kama haya yakikemea wala kuandika kwenye front page zao. Kama magazeti yameamua kutumika ni vzuri yatumike yenyewe yasiuingize waislam kwenye huo unafki na ujahili. CCM imetugeuza waislam misukule kwa kutechezea na kutufarakanisha wanavyotaka. UNAFIKI UNATUMAILIZA WAISLAM.