Kwa taarifa yako hakuna kipingamizi dhidi ya dini na utawala wa haki wa kiislamu. Si kutoka kwa maZayuni wala wamagharibi. Subirini tu inshaAllah Mwenyezi Mungu atakapotuwezesha kujipanga vizuri kiimani ya dini yetu na kuwasafisha hawa ma-puppet wenu miongoni mwetu (akina Mahmoud Abbasi, Hosni Mubarrak, Hamid Karzai n.k, n.k) na kusimamisha nchi zetu kiimani zetu basi nyinyi wenyewe mtakaa sawa. Ama kuhusiana na "subira" na "resilience" hivi vitu sisi ametufundisha Mwenyezi Mungu na believe me hata mkusanyike nyooote na msaidiwe na maibilisi waliolaaniwa basi katu hamtoweza kuizima "NURU YA MWENYEZI MUNGU" na mwishowe haki itatawala na uZayuni utatoweka.
Haandiki kama Myahudi, Mpalestina, Muislamu au Mkristo. Anaandika kama mtu mwenye fikra huru baada ya kufanya utafiti. Ndio maana anakubalika kama mmoja wa waandishi bora duniani. Hebu jaribuni kujifunza vijana.
The flotilla: a non-violent success?
Jonathan Power
The unprovoked and murderous Israeli commando attack on the peace flotilla is the Selma of the Arab/Jewish struggle for the land of Palestine. Selma, a small town in Alabama, was where Martin Luther King based his campaign to win the voting rights for disenfranchised blacks. Attempting to march to the state capital, Montgomery, the marchers were set upon by baton-wielding police as they tried to cross Pettus Bridge.
It provoked a nationwide outpouring of disgust and anger. The march continued, joined by tens of thousands of people from all over the United States, until it reached Montgomery. When King spoke it resonated around the world. Shortly after, President Lyndon Johnson rammed through Congress legislation ensuring there would be no longer impediments to blacks voting. The election of Barck Obama as president can be directly traced to that legislation.
Will the creation of a two state solution to the Palestinian conflict be the outcome of this high seas clash? Is this the turning point when Israel is stopped in its tracks for having seized 80 per cent of the land that early in the twentieth century belonged lock, stock and barrel to the Arabs? It well could be.
Hardly any reasonably informed person outside Israel believes what the Israelis are now saying- that the ships were carrying terrorists, were shipping arms to Hamas and that Israel, despite its embargo, was making sure that the inhabitants of Gaza had the materials to reconstruct their bombed out towns and the medical facilities and supplies to succour a wounded population.
Many of us for decades have been trying to persuade the Palestinians and their supporters to drop the sword and use non-violence as their tactic of struggle. Like Martin Luther King showed, any state that prides itself on its moral foundations and purports to be guided by a spiritual creed when confronted by unarmed legions of protestors will find it counterproductive to use the hammer of armed suppression. It will compel division among the majority ruling group and it will alert outsiders more than violence ever could to the sheer wickedness of those who hammer down the hatchet rather than construct a dwelling with room for protagonist and antagonist to live peacefully side by side.
In the last two years under the leadership of Mahmoud Abbas the Palestinians have turned increasingly to non-violence. Although the leaders and shock troops of the breakaway faction of Hamas (an organisation partly created by Israel) which rules the Gaza strip do not support this, a majority of Palestinians appear to. Years of war and violent confrontation produced very little. Rather than driving Israel to agree to a reasonable division of the land of Palestine it provoked fear among the Israeli population and fear, as it often does, supported a hard-line politics of suppression.
It is this history that has convinced many Palestinians to support non-violent action- of which the flotilla carrying much needed supplies to Gaza is but one manifestation. Organisers of non-violent action inside Palestine have organised boycotts of Israeli fruit and vegetables, besieged and isolated Jewish settlements and confronted and blocked the way of Israeli military convoys with row upon row of protestors who sit peacefully and do not throw stones or brandish weapons as did their predecessors and as Gaza-based Hamas still does. All this has unsettled Israel, and the government has been relieved to be able to confront the rocket firing and stone throwing of Hamas cadres. Those tactics have secured the voters behind Israel's right wing government while drowning out the impact of the non-violent protestors.
The Israelis and some American politicians are saying, with video evidence to prove it, that the Israeli commandos were attacked by militants wielding staves and knives. Just as Martin Luther King's non-violent brigades were infiltrated by Black Power militants and followers of Malcolm X, there are always fringe elements in most demonstrations of this kind who have other ideas. But on this ship they were both a tiny minority and only modestly violent. They didn't succeed in killing a single soldier and could have been restrained by means other than shooting them dead. The ship was 98 per cent peopled by non-violent activists, including women and children, parliamentarians and even a former American ambassador. Moreover, their cause was just, should have been acceptable and, as the British Conservative Party foreign minister pointed out, was merely aiming to make a hole in an unacceptable embargo.
The world is mad at Israel, as the Security Council debate and resolution makes clear. Even the US went along with its unequivocal language.
The drama has a long way to play out. But in five years time we could well look back and see this was the moment when the world united to compel Israel to seriously compromise and allow the Palestinians to rule over a viable and sizeable state.
Kwani mpaka leo wewe hujafungua macho na kuona kwamba si Tanzania, Kenya wala nchi nyengine nyingi tu hazina maamuzi yeyote katika masuala ya kiulimwengu zaidi ya kufuata upepo unaochaguliwa na Superpower??
Hakuna hata mTZ au mKenya mmoja anaetegemea kwamba nchi zetu hizi, viongozi wetu hawa, mifumo yetu hii kiutawala/kiserikali kwamba kuna siku itasimama kidete kutetea hadhi ya usawa wa kibinadamu dhidi ya udhalimu unaofanywa na waZayuni na wakiMagharibi, ng'o!!! Kwasababu hakuna "jihadi" katika imani za watu wake isipokuwa wachache. La mwisho wanaloweza kulifanya ili kupunguza makali ya udhalimu na ufedhuli wa kiZayuni na kiMagharibi ni ku-capitulate na kutunga sheria za ku-ratify amri zao kwetu na kuiga mila zao na kuzifanya ni zetu. Na hayo ndio yanayofanyika hivi sasa. Na hii inatokea katika nyanja zote za kimaisha: politically (demokrasi), economically (capitalism), morally (secularism) socially (celebritism) nk, nk. Angalia serikali na viongozi wetu (ufisadi, umaarufu na viburi), angalia sheria zetu (Juzi juzi Malawi, Unganda wame-back down from Western pressures kuhusiana na sheria zinazolinda maadili yao). Ona wewe Manji na Dewji wamenunua tiketi za mechi ya Brazil kwa mamilioni mangapi wakati mama, dada na wake zetu wanagaragara kwenye sakafu ya vumbi wakati wa uchungu wa kujifungua kwa ajili ya kuendeleza kizazi cha Taifa letu. Huu kama sio wazimu ni nini?? Na mengine mengi kazi yetu ni kuiga na kuiga tena, kuiga na kuiga tena mpaka muhudi. Mapenzi ya nchi yangu kayafuma Mwenyezi Mungu ndani ya moyo wangu lakini mimi sitegemei kitu hapa, sijui wewe!!!
Wewe bado tuuuu unategemea watu wetu wa namna hii kushika hatamu za kimaamuzi katika masuala ya kilimwengu, umejisahaha au umelala usingizi?
Hii inawezekana tu kama watu wanakuwa na system m-badala za kijamii(social), kimaadili (moral), kijeshi (millitary), kiuchumi (economical) na nyanja nyengine katika sio kuendesha maisha tu, bali masuala ya ukuzaji elimu, kuheshimu na kulinda imani na maadili ya watu, haki za binadamu, nk, nk zisizokuwa za kidhalimu na kifedhuli kama za Kizayuni(Zionists), kiMagharibi(Western) na za Waigaji-igaji (sisi waTZ na waKenya) nk, nk.
Na hakuna sytem m-badala katika ulimwengu yenye hadhi ya kuweza sio kuondosha tu system fedhuli za kizayuni na kimagharibi bali ku-replace na system mpya yenye kujitosheleza kwa kuwa na sifa husika baadhi yao zikiwa nilizozitaja hapo juu isipokuwa ISLAM. Na ndio maana wameamua kuuweka UISLAMU kuwa ndio adui yao No.1. Wanatumia kashfa, uongo, kasumba na mauaji (direct murders, au indirect (blockades)) nk, nk, alimradi tu kujaribu kuupunguzia kasi yake kuuelekea kushika nafasi ya mbele katika kuelelekeza masuala ya kibinadamu kule yalipokusudiwa na Muumba wake Mwenyezi Mungu na kufundishwa na Mitume na Manabii wake kama Daudi (David), Muusa (Moses), Isa (Jesus) na kuhitimishwa na mwisho wa Mitume na mtukufu wa daraja katika waja Muhammad, rehema na amani ziwe kwa wote hawa.
Zaidi ya yote haya mwisho wake watashindwa, na ushindi wa UISLAMU ndugu yangu iwe wewe unapenda iwe wewe unachukia, ni ushindi wa walimwengu wote walio wema ulimwenguni, kuanzia waislamu wenyewe na wasiokuwa waislamu kama ni watu wema. Na kwa hali inavyokwenda hivi sasa inaonekana waazi kabisa uZayuni na ufedhuli wa kimagharibi pamoja na wale waliojaa/ waliojazwa kasumba na wao wanaelekeza kichwa kichwa nguvu zao zooooote kiimani katika mahala ambapo haaaaswa ndipo itapokuwa kaburi la itikadi yao, at the heart of the Holly land of Jerusalem, PALESTINA, sio Tanzania wala Kenya. Pale ndio itakuwa kaburi lao kama unavyohisi wewe mwenyewe. Wewe mwenyewe hujiulizi hivi kwanini miaka yote hii ?, nguvu zote hizo za kijeshi walizonazo ?, misaasa yote wanayoipata kutoka ulimwengu mzima kwa mafedhuli wenzao ?,
Ma-puppet wooote waliowaweka kuwa-subdue waislamu ?, mauaji yote wanayofanya tangia ya siri hadi sasa dhahiri yenye kunuka bado tu wanashindwa kuwamaliza watoto wadogo wenye kurusha mawe lakini waliojaa ushujaa kulinganisha na ubabe-wa-kijoga wa kwao??? Time yao inakuja hawa, nyinyi mpende au mchukie hampunguzi hamzidishi. Je!!! unaiona sasa sababu ya mimi kuipenda Palestina pasipo kupoteza hata chembe ya mapenzi yangu adhimu yaliyofumwa ndani ya moyo wangu ya mahala na wazazi alionichagulia Mola wangu kuzaliwa kwao, idumu TANZANIA, idumu PALESTINA na waPalestina na utokomee uZayuni na ufedhuli wa kiMagharibi.

Unazidi kunichanganya zaidi na nitaendelea kujaribu kuhoji zaidi.
Unaongelea tunaiga Je hivi wewe pia hujazinduka usingizini na kutambua kuwa UISLAM nao umeuuiga? Sasa kama umeiuiga itakuwa je uje ukukokomboe.?
Unasema wazayuni wanalazimisha, Hivi unatambua jinsi UISLAM ulivyoenezwa na akina DANFORD?
Aka mimi bwana simo, Aliye usingizini usimwamushe maana ukimwamusha .......................
Suala sio ulizangatia nini..SUALA NI KUWA NILIONGELEA NINI? Kama unapojibu post ya mtu lazima ujue anaongelea nini? Usiassociate post zangu na pumba zako. Hio ndio HOJA. Sawasawa?
Originally Posted by Abdulhalim
Upande wa pili wa shilingi..
Kwa hiyo wewe unayeshabikia waarabu ndio mtu wa maana na mwerevu? Sio ndio?
Hivi unajua ni kiasi gani cha ardhi kilichotekwa na waarabu ? Unajua madhila walioyaleta kwene nchi walizoziteka ktk kipindi walipokuwa wababe?
Waache wayahudi na waarabu watwangane wao wenyewe..sie ya kwetu yanatushinda kazi u-bandwagon tuuuuu." (Abdulhalim) Hii ndio hoja yako ya awali ya msingi.
Haya tuiwekee Fasihi na kujaribu kuiangalia kwa undani, msingi, lengo na kituo inakokwenda.
Kwanza ina mtazamo wa kuonya wale wanaoweka uzito zaidi kwa Waarabu ktk mgogoro huu wa mashariki ya kati.
Pili yajionyesha wazi kuwa ndani ya moyo wako una chuki dhahiri na Waarabu.
tatu inaonyesha kuwa upo tayari kwa thamani yeyote ile kuwatetea Waizrael kwa gharama yeyote ile. Kwanini umeamua hivyo, hujaweka wazi, ila ni rahisi kukuelewa kwa njia moja tu. Kwa vile unachukia waarabu basi yaonyesha kuwa kwa yeyote yule ambaye atawashughulikia waarabu utamuunga mkono.
Mwisho ktk hoja zako zilizofuata, uko tayari kumshambulia yeyote yule atayekuwa na mawazo tofauti nawe, hasa pale upande unaokupinga ukiwapa uzito zaidi waarabu kuliko Waisrael.
Sasa mimi najiuliza hivi mwenzetu unaishi ktk karne ya ngapi? Vizuri, kama nikiulizwa swali hilo na nikalijibu toka ndani ya moyo wangu, bila kusita ningesema 'KARNE YA 15' Samahani, usikasirike kwani hayo ni maoni yangu binafsi, pengine kuna wataoniunga mkono.
Nikirudi katika hoja yako niliyoi-quote, Ah samahani, sioni cha kukujibu kwani siioni hoja yeyote ya kujibu. Kifupi mimi nilijzingatia kile ulichokiandika na ndio maana nimelazimika kuipaste hiyo hoja yako na kuitilia FASIHI.
wAISRAEL UTAJARIBU KUWAPAKA MANUKATO KAMA WARIDI N.K LAKINI HAWATANUKIA, KWA TABIA YAO HII WATANUKA TU. NA HATA UKIWABEBA NA KUWAKUMBATIA VIPI HAWABEBEKI WALA HAWAKUMBATIKI. KINACHOHITAJIWA NI KWA WAO KUBADILI TABIA YAO YA UKANDAMIZAJI.

Wewe ni mpumbavu ndio maana akili yako ya kukamua kinyesi maiti inakufanya ushindwe kuona ninachokiongea. Kwene post nilioijibu ya yule memba mwingine ni rahisi tu kuielewa. Nimemuasa kuacha u-bandwagon (rejea tena kuisoma na jibu nililompa). Usikimbilie kujitia kidole makalioni mbele ya hadhira. Haya nakuacha sasa uongee peke yako kama kichaa.
Years back one unfortunate author gave me his new manuscript to edit. When I was done with it- there was hardly one page that I didn't comment on. As good as the author was- I chose to criticise his style which assumed that all readers were some kind of religious faithfuls waiting to say 'Amen' to every statement that the author made. This article reminds me of that manuscript. Unfortunately I am not one of the faithful, I think this article is very subjective, and this forum will not deserve its name if words such as these are allowed to pass in silence.
First, the position that the writer takes is unjustifiable. The writer doesn't know what truly transpired in that boat apart from the different statements that have been given by either side. There is a very good reason why most people that comment on this event call for 'an investigation' to be made. Only then can an objective person react in this passionate manner. (I could give several reasons why I think the Israelis statement is right, but that will not be enough to call for policy changes in East African nations...)
Second, the fact that this event occured in international waters is a matter that causes concern. But the question is- there was no doubt where this 'armada' was heading, was there?
Third, the writer could hardly get it more wrong by calling the Somali Pirates 'Resistance Fighters'! Aren't these the same fellows that were recently repelled by the French navy off the coast of Pemba Island towards Zanzibar? What were they 'resisting' in Pemba? If one were to locate where the Indian Ocean piracy incidents perpetrated by the Somalis have occured, one could easily establish how untrue this statement is. (This map is available on the BBC Website by the way).
Now, let us forget the IDF response and consider the events that transpired before that. There exist a military blockade in Gaza. Fact. This blockade is the status quo at the end of a bloody war. Fact. That what these activists were doing was a direct challenge of that status quo. Fact. Now, I understand that my military credentials start and end with my occassional perusal of Sun Tzu's The Art of War, but, in military terms, if I was wearing any nation's uniforms, and I was in the position of the Israel's navy, there was only one way I would have responded: blocking the ships by any means possible. The fact is this was a serious PROVOCATION of the Israeli armies, and Turkey would have been wise to advise its citizens not to attempt this tragic exercise. There is a reason why they didn't do that, and that is another chapter in this story.
Another fact is that Israel allows some aid to reach Gaza. According to the UN, this amounts to 25% of what is needed in Gaza. Fact. But, in agreement with the American statement, this was not the best way to take aid to Gaza. The exercise had trouble written all over it from the beginning...
The recent Korean conflict probably resembled the kind of 'deep sea piracy' that deserved the writer's outrage. That was the event where one nation attacked the other without any provocation whatsoever. Needless to say, this 'piracy' passed the writer's attention. One is tempted to think that this article was written a long time ago, and it was only waiting for the Israelis to do something to be published.
our citizens are released." Thus Turkey effectively has offered Israel a choice between maintaining the Gaza blockade or its military and diplomatic relationship with Turkey .
Intense military cooperation was the driving force behind a decade-long boom in Turkish-Israeli ties, said Dr. Anat Lapidot , an Israeli expert on relations with Turkey at Jerusalem's Hebrew University . The two countries signed a landmark military [COLOR=#366388 ! important][COLOR=#366388 ! important]cooperation [COLOR=#366388 ! important]deal[/COLOR][/COLOR][/COLOR] in 1996, where Israeli companies were awarded $700 million in contracts to modernize Turkish military equipment.
Relations deteriorated, however, during Israel's bombardment of the Gaza Strip last year, and in January they took another blow when Israeli [COLOR=#366388 ! important][COLOR=#366388 ! important]Deputy [COLOR=#366388 ! important]Foreign [/COLOR][COLOR=#366388 ! important]Minister [/COLOR][COLOR=#366388 ! important]Danny [/COLOR][COLOR=#366388 ! important]Ayalon[/COLOR][/COLOR][/COLOR] gave Turkey's envoy to Israel a public dressing-down.
Turkey has cancelled several joint military drills with Israel , and no future exercises have been planned. Jerusalem Post military correspondent Yaakov Katz , who observed previous drills, said that Israel's military benefited greatly from previous drills.
" Israel is a very small country, and the air force requires large places to be able to drill and exercise long range flights such a potential attack on Iran ," he said.
" Turkey which is a very large country has enabled Israel to fly over its airspace, and that has allowed Israel to plan long-range flights, some of which it might have to carry out in the near future," said Katz.
In the past two years, Turkey had become increasingly close to other Muslim States in the region, and last month attempted to help Iran avoid United Nations economic sanctions by proposing a deal to outsource Iranian [COLOR=#366388 ! important][COLOR=#366388 ! important]uranium [COLOR=#366388 ! important]enrichment[/COLOR][/COLOR][/COLOR] to Turkey .
Katz said there's irony in Turkey's improving ties with Iran , since the training Israeli pilots received over Turkish airspace is widely considered to have prepared the Israeli air force for a [COLOR=#366388 ! important][COLOR=#366388 ! important]potential [COLOR=#366388 ! important]strike[/COLOR][/COLOR][/COLOR] on Iran .
Israeli media also have reported that Turkey allowed Israel to access its radars in monitoring Iranian and Iraqi air space, while other deals have involved the exchange of military students and expertise on chemical weapons protection.
" Israel has already begun to look to other countries, such as Azerbaijan , for similar drills," said Lapidot. "Cooperation between Israel and Turkey on a military level might have been considered of vital importance. But since it's no longer an option, all we can do now is shed tears over it."
(Frenkel is a McClatchy special correspondent)
Wewe ni mpumbavu ndio maana akili yako ya kukamua kinyesi maiti inakufanya ushindwe kuona ninachokiongea. Kwene post nilioijibu ya yule memba mwingine ni rahisi tu kuielewa. Nimemuasa kuacha u-bandwagon (rejea tena kuisoma na jibu nililompa). Usikimbilie kujitia kidole makalioni mbele ya hadhira. Haya nakuacha sasa uongee peke yako kama kichaa.
Sasa umefika pale ulipo na kila msomaji atakuelewa zaidi sasa hivi kuliko wakati mwingine wowote ule. Ukitaka kumjua mtu vizuri ni vyema kumchokoa kidogo hasa ktk maeneo yale ayachukiayo.
Wasomaji wananafasi ya kurudia hoja zako zote pamoja na ile uliyoijibu, na kuona ni nani ametoka nje ya mstari. Mimi nimezisoma zote na ninakuhakikishia kuwa nimekujibu vizuri swali lako na ninahakika kuwa umenielewa. Ndio maana ukaja na lugha hiyo.
Vizuri, sasa ni juu ya wasomaji kwani hoja zako na zangu zote zimeanikwa ubaoni JF.
Ningezikopi hoja zote toka awali na kuziweka hapa, lakini nasikitika kuwa sina wakati. Nakimbilia Msikitini.
M.Mungu awabariki wanaJF wote na kuwapa maarifa zaidi. Amin
Sasa umefika pale ulipo na kila msomaji atakuelewa zaidi sasa hivi kuliko wakati mwingine wowote ule. Ukitaka kumjua mtu vizuri ni vyema kumchokoa kidogo hasa ktk maeneo yale ayachukiayo.
Wasomaji wananafasi ya kurudia hoja zako zote pamoja na ile uliyoijibu, na kuona ni nani ametoka nje ya mstari. Mimi nimezisoma zote na ninakuhakikishia kuwa nimekujibu vizuri swali lako na ninahakika kuwa umenielewa. Ndio maana ukaja na lugha hiyo.
Hamna aliyekuuliza au kukuomba ufanye chochote. Ni wewe menyewe kwa kiherehere chako cha u-bandwagon ndio kinachokufanya ushikwe na ukereketwa na mambo yasiyokuhusuni. Yenu yanawashinda kazi kujifanya mnashikwa na uchungu sana na yanayoendelea kwa watu wengine wasiowahusu wala kujali kama mna-exist or not.
Bwa ha ha..umechokoa nani ati? Yaani unajigeuza mke wangu eti wajifanya wajua vitu nivichukiavyo? lol
Sikuweka popote posts ili nijibiwe. For obvious reasons wewe ni mpumbavu maana hujui hata unachokijibu, na bado unashikilia kujitilia werevu.
Hivi ni hoja gani ulioweka..Bwa ha ha..
BTW, who cares anyway? Kama mayahudi wanakukera sana hamia Gaza..ebo! Makelele hapa JF unamaliza tu nishati na kuonekana kichaa.
Hamna aliyekuuliza au kukuomba ufanye chochote. Ni wewe menyewe kwa kiherehere chako cha u-bandwagon ndio kinachokufanya ushikwe na ukereketwa na mambo yasiyokuhusuni. Yenu yanawashinda kazi kujifanya mnashikwa na uchungu sana na yanayoendelea kwa watu wengine wasiowahusu wala kujali kama mna-exist or not.
Yep, kaa Mungu anagwa maarifat basi naomba priority iangukie kwako na aanze na wewe kwanza..
Kweli sasa nakuonea huruma, maana hujui hata lile uliandikalo. Kwa taarifa yako wakati Afrika ya Kusini wananyanyaswa hutoamini kuwa kuna nchi za waarabu zilijitolea kwa hali na Mali kupinga unyanyasaji wa Waafrika. Leo unakuja nmpya eti ....... "Yenu yanawashinda kazi kujifanya mnashikwa na uchungu sana na yanayoendelea kwa watu wengine wasiowahusu wala kujali kama mna-exist or not"
Kweli mwenzetu bado haupo katika utandawazi, ukidhani kuwa neno hilo UTANDAWAZI linamaanisha biashara tu. Dunia imekuwa kijiji ndugu nyangu. Wazungu wanaandamana ULAYA kupinga yanayotokea PALESTINA na wewe mchango wako ni nini?
Unajua nitasema kitu kimoja, kuwa wewe ni mgumu sana kuelewa, na hata ukapata nafasi ya kuelewa ni mwepesi sana kusahau
Jukumu ni kujua jinsi ya kukusaidia. Hata hivyo ningeshauri ukaonane na wanasaikolojia kwanza ili upate ushauri maridadi.
Hatuwezi kuwaacha Waisrael wafanye wanavyotaka. Dunia lazima iingilie!
Wale wote wanaoshabikia unyanyasaji wa MaZAIONS NI MAIGOIST.
Unyanyasaji wa Wisrael hauna kikomo wala mipaka. Wakimaliza na Wapalestina watakuja Afrika. Si unajua kwanza walichaguliwa nchi UGANDA, BASI hiko kipigo wanachokipata Wapalestina leo tungekuwa tunakipata sisi.
Sasa una uhakika gani kuwa kesho hawatakuja kwako? Acheni kushabikia Pumba.

Huruma anza kwanza kujionea wewe mwenyewe. Nadhani unatafuta bwana au unadhani ukijibu posts zangu utapanda chat. Sasa ni hivi, kuanzia sasa nakujibu inch by inch ili usijiweke kati ya wenye werevu. Douche bag.
Kwanza huwezi ukawakusanya 'Waarabu' wote na kuwaweka kundi moja na kusema eti 'waliwasaida Waafrika'. Kuna waarabu waovu vilevile kila mahali. Kuna wengine hadi leo hii wanaendesha biashara ya utumwa, kuna wengine waliwahifadhi maafisa wa Nazi, wengine wananyanyasa labourers, wengine wanaua Waafrika kule Darfur etc etc. Hivo cut the crap na u-bandwagon wako kwa waarabu.
Pili nimekupa ushauri wa bure hapo, badala ya kupaza sauti yako kama kichaa kwa watu ambao unajua fika hawahusiki na kadhia hii ungefanya la maana ukahamishia makazi yako Gaza, tukakuona wa maana. Bila ya hivo utaendeleea kuonekana kichaa tu na ndio maana nazidi kukupuuza kadr muda unavozidi kwenda.
Tatu, utandawazi kwangu haujatafsiriwa akilini mwangu kama u-bandwagon. Wewe endelea na ubandwagon wako ambao unaona ndio utandawazi. I have better things to do ktk maisha yangu badala ya kujihangaisha na maisha ya watu wasonihusu.
Hatuwezi kuwaacha Waisrael wafanye wanavyotaka. Dunia lazima iingilie!
Wale wote wanaoshabikia unyanyasaji wa MaZAIONS NI MAIGOIST.
Unyanyasaji wa Wisrael hauna kikomo wala mipaka. Wakimaliza na Wapalestina watakuja Afrika. Si unajua kwanza walichaguliwa nchi UGANDA, BASI hiko kipigo wanachokipata Wapalestina leo tungekuwa tunakipata sisi.
Sasa una uhakika gani kuwa kesho hawatakuja kwako? Acheni kushabikia Pumba.
Bwa ha ha.. Sasa kama waziraili wanakutendeeni uovu, mboni mwaishia tu kupiga kelele? Nendeni muwakabili maungoni basi ili tuone nasi tupate kuamini kweli kuwa mko serious...he he he..
DUNIA IMEBAKI HAINA LA KUFANYA NA UBABE WA ISLAEL..................? hali hii ni mpaka lini.? enzi ya mwalimu zamani hapa kishamfukuza barozi wao arudi kwao , lakini leo hii hakuna kiongozi wala nchi jasiri ya kufanya hivyo , alikuwepo SADAM HISSEIN WAMEMNYONGA. UMOJA WA M,ATAIFA NAO NI KAMA MBWA ASIYE NA MENO KWA WAISLAEL, HIVI HIVYO VIKWAZO VYA KIUCHUMI NI KWA ZIMBABWE, LIBYA, IRAN ................? VIMEKWISHA HUMO KABATINI...? hili taifa linafaa kutengwa , MUNGU AWAPE NUSRA WAPALESTINA, INSHAAAALHA.

jamani, mbona hapo naona kama makombandoo wa israel wanapata kipondo...sasa nani mbabe hapo....however, hakuna anayependa wapalestina wapate shida, ila kwa hili, nafikiri hao activists toka ulaya walikuwa wanavuka mpaka wa heshima..
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.