Gaza Humanitarian Ships Leave Cyprus, attacked by Israeli Commandos

Mods,
Rekebisheni heading ya topic. Ni SEIZE. Si cease.
 
sisi tukichinja mnyama hatuombi dua kwa shetani, tunamchinja tu kama tupendavyo, nyie hutoa dua kwa shetani kwanza kwa dua zenu za kitabu chenu..unatutukana kuwa tukienda kujisaidia tunatumia toilet paper,...ni bora mara mia nitumie toilet paper kuliko kujisaidia nikiwa na kikopo cha maji ya lita moja ati natawaza, nikimaliza kutawaza kwa icho kikopo kimoja, sinawi mikono narudi na uchafu uleule kwenye mikono, napika chakula, napika chapati na kacholi za kuuzia watu uswahilini...

hata kama mmetuweza kutufanya tuzoee taratibu zenu za kujinafasi, ni kweli tumekamatika tunatumia hayo maji tukienda kujinafasi, lakini angalia, kati ya nyumba milioni moja za watu wa imani yako, wangapi wana maji ya kutosha..kuweza kunawa maji kwa sabuni baada ya kutoka uwani...ni wachache sana....wengi wenu mnaenda kule kujisambaza tu, kushika nnnya kwa mikono yenu, afu hamnawi mikono ndo maana uswahililni kipindupindu ndo sehemu yake siku zote, kwasababu ni wachafu hamnawi mikono kwa sabuni baada ya kushika nnnya...vyoo vyenyewe vichafu....maji unachukua kilita kimoja, usafi gani unaweza kujitamba hapa....mnatuletea kipindupindu hapa..
Hee!Ubungo bado upo,hujaenda kulala tu ukawahi shule kesho.
Wee mtoto bado unatetea kutumia makaratasi badala maji hata yakiwa haba.Mwalimu wetu mlokole(myahudi) kama wewe, siku moja darasani alisifu utaratibu wa usafi wa kwetu na akaorodhesha hasara kadhaa za kutumia makaratasi.
Unashangaa kuwa kati ya nyumba zetu milioni moja ni ngapi zina maji ya kutosha.Huoni kwamba haya ni matokeo ya roho za kikatili za wazazi wako na wewe uko mbioni kuwarithi ili mutuuwe na mubaki peke yenu.Ama kweli mtoto wa nyoka ni nyoka!.
Wazazi wetu wanapenda sana kuwa na mahekalu kama ya kwenu lakini nyinyi kwa uovu wenu munafanya kila juhudi wasiyapate.Kwenye idara zote zenye marupurupu wanakaa wenyewe hata wakiwa vilaza kama wewe.Tukisema ije OIC tufaidike wote nyinyi hamutaki.Unadhani katika umasikini kama huu tutawezaje kujenga mahekalu yenye maji ndani.Nyinyi kuua kwa mtindo wa pole pole na kwa nguvu kama munavyofanya Gaza si neno kwenu.
Kuhusu usafi na kipindupindu dini yetu ndiyo yenyewe kupiga vita maradhi yote na kama haya.Sisi bacteria na vairusi wote tumepewa mafunzo ya namna ya kujiepusha nao.Nyinyi nina wasiwasi kwamba vitu hivyo nyinyi mumerithi kutoka kwetu na kwenu hakuna vinapotajwa.Ikiwa sikweli nipe aya inayoashiria namna ya kujikinga na bacteria wanaosababisha kipindupindu.
 
Sawa mkuu ni sahihi kabisa. Myahudi sio kidini tu; ni laana inayofanya dunia nzima iyumbe. Ni kweli wamekengeuka kwa kauli ya kuwa ni taifa la Mungu na kupata huruma ya baadhi ya watu na mataifa fulani. Kitu kigumu hapa Mbona Mungi wao hakomeshi matatizo yao na majirani zake? Kuna Mungu mwingine anawatetea wapalestina pia kwa sababu jitihada za mayahudi ni kuwa wapalestina wasiwepo duniani. Busara iko wapi na Mungu wao yuko wapi? Kwa kawaida mtu anayetumia nguvu hana busara, anajihisi si salama ndiyo muyahudi hao. Bahati mbaya wanaowaonea huruma wayahudi hawatoi hoja za kuhalalisha unyama wa mayahudi. Wanahalalisha oporaji wa nchi ya wapalestina kwa hoja dhaifu ya wayahudi kupewa nchi na Mungu. Kwa ujeuri na nadharia hizo kila siku naona dunia inayojitenga na mayahudi inaongezeka na adui za mayahudi zinaongezeka mifano Hizbula, syria, iran, wapalestina pamoja na kuzuiwa mahitaji muhimu wanaishi. MAYAHUDI WAMUULIZE MUNGU WAO AMBAYE NADHANI AMEWACHOKA HAWABEBEKI. Hii harakati ya misaada kwa Gaza ina nguvu sana kama ilivyojitokeza na ili mradi imedhihirisha udhaifu wa mayahudi itaendelea bila kukoma na mwisho wake si mzuri kwa dunia nzima.
 
yap, you are very right, apo mpendwa umechanganya grammar, lakini si tatizo, ujume umefika.
 
Kulingana na wewe na upofu wako kwa mayahudi unajua jinsi mayahudi na mashabiki wao Marekani kuwa wao ndio "international community, international law" kila kitu kizuri kwa mtazamo wako? Lakini haya mpaka lini? Hakuna lisilo na mwisho ila mwisho wa aina gani ndiyo issue
 
Pole, kwa sababu katika mawazo yako sisi tunatania. Tunasimama kwa yeyote tunayoyaandika na tunatekeleza kwa vitendo. Ninapoandika kuwa nachukia ukandamizaji, NINAMAANA HIYO NA NIKO MAKINI SI UTANI, NA inshallah ninaimani kabisa kabisa kuwa occupation itakwisha.

Si lazima uwe GAZA tu ndio unaweza kushiriki katika kuwapinga Waisrael na kuwasaidia Wapalestina. Kuna njia Tatu ambazo binafsi nafanya katika kuwapinga Waisrael:

1. Kutonunua bidhaa zozote zile zitokazo Israel.

2. Kutoa mchango wa Pesa kwa Organisation ambazo zinahusika moja kwa moja katika kutoa misaada huko Gaza.

3. Kuwaelimisha watu kama wewe na wengine wanaodhani kuwa wanapouana nje ya nchi yangu, mimi hayanihusu na ninaweza kunywa chai kwa utulivu. Hivi unajihisi vipi unapoyasikia mauaji ya Rwanda, Burundi au Siera Leon, au ilipotokea Tsunami Thailand n.k. Basi moja kati ya kazi yangu ni kuwarudisha ktk uanadamu na kutoweka tofauti wakati haki za binaadam zinapokiukwa.

Najua ninachokifanya na ninaimani kuwa sisi waafrika ambao nchi zetu zimepata uhuru hivi karibuni ni wawakilishi wazuri wa utatuzi wa migogoro kwa njia ya mazungumzu na si utumiaji nguvu na kusamehe wabaya wetu.

1. Masoko ya bidhaa za wayahudi yapo kwene nchi zilizoendelea, ndio maana wala hawajishughulishi kufungua ubalozi Tz. They don't give a fvck if u exist or not...achilia mbali kama unanunua mapeasi yao au la. According to them u r virtually penniless and non-existent.

2. Ndo maana tunakagua kila pesa inayosafirishwa duniani, kuhakikisha kwamba haziwafikii magaidi..he he he..

3. Save ur elimu kwa ajili ya kichwa chako, mumeo na watoto wako, kama unao.
 
sisi tukichinja mnyama hatuombi dua kwa shetani, tunamchinja tu kama tupendavyo, nyie hutoa dua kwa shetani kwanza kwa dua zenu za kitabu chenu..unatutukana kuwa tukienda kujisaidia tunatumia toilet paper,...ni bora mara mia nitumie toilet paper kuliko kujisaidia nikiwa na kikopo cha maji ya lita moja ati natawaza, nikimaliza kutawaza kwa icho kikopo kimoja, sinawi mikono narudi na uchafu uleule kwenye mikono, napika chakula, napika chapati na kacholi za kuuzia watu uswahilini...

hata kama mmetuweza kutufanya tuzoee taratibu zenu za kujinafasi, ni kweli tumekamatika tunatumia hayo maji tukienda kujinafasi, lakini angalia, kati ya nyumba milioni moja za watu wa imani yako, wangapi wana maji ya kutosha..kuweza kunawa maji kwa sabuni baada ya kutoka uwani...ni wachache sana....wengi wenu mnaenda kule kujisambaza tu, kushika nnnya kwa mikono yenu, afu hamnawi mikono ndo maana uswahililni kipindupindu ndo sehemu yake siku zote, kwasababu ni wachafu hamnawi mikono kwa sabuni baada ya kushika nnnya...vyoo vyenyewe vichafu....maji unachukua kilita kimoja, usafi gani unaweza kujitamba hapa....mnatuletea kipindupindu hapa..
Hee!Ubungo bado upo,hujaenda kulala tu ukawahi shule kesho.
Wee mtoto bado unatetea kutumia makaratasi badala maji hata yakiwa haba.Mwalimu wetu mlokole(myahudi) kama wewe, siku moja darasani alisifu utaratibu wa usafi wa kwetu na akaorodhesha hasara kadhaa za kutumia makaratasi.
Unashangaa kuwa kati ya nyumba zetu milioni moja ni ngapi zina maji ya kutosha.Huoni kwamba haya ni matokeo ya roho za kikatili za wazazi wako na wewe uko mbioni kuwarithi ili mutuuwe na mubaki peke yenu.Ama kweli mtoto wa nyoka ni nyoka!.
Wazazi wetu wanapenda sana kuwa na mahekalu kama ya kwenu lakini nyinyi kwa uovu wenu munafanya kila juhudi wasiyapate.Kwenye idara zote zenye marupurupu wanakaa wenyewe hata wakiwa vilaza kama wewe.Tukisema ije OIC tufaidike wote nyinyi hamutaki.Unadhani katika umasikini kama huu tutawezaje kujenga mahekalu yenye maji ndani.Nyinyi kuua kwa mtindo wa pole pole na kwa nguvu kama munavyofanya Gaza si neno kwenu.
Kuhusu usafi na kipindupindu dini yetu ndiyo yenyewe kupiga vita maradhi yote na kama haya.Sisi bacteria na vairusi wote tumepewa mafunzo ya namna ya kujiepusha nao.Nyinyi nina wasiwasi kwamba vitu hivyo nyinyi mumerithi kutoka kwetu na kwenu hakuna vinapotajwa.Ikiwa sikweli nipe aya inayoashiria namna ya kujikinga na bacteria wanaosababisha kipindupindu.
Najuwa huna jibu.Ukishatoka shule kapige debe Ubungo! Ubungo!, lakini kazi ya kuwapigia debe mayahudi hutaiweza.
 
Abdulhalim kumbe huna maana kiasi hicho.Dada yangu zawadi kakuwekea ushahidi wa kutosha juu ya madai yako kwamba yeye hata akisusia bidhaa za Israel haitosaidia.Sasa unajidai analeta propaganda!.Ungenyamaza kama walivyofanya wenzio walipozidiwa ungeficha ujinga wako,lakini hivi umejianika kwa wana JF kuwa michango yako ni ya kuwapotezea watu muda tu.

Nimeweka madai gani ambayo Zawadi Ngedere ameyajibu? Ngedere ameweka link za watu wenye akili ndogo kama yeye wanaosusia bidhaa za Israel, BILA TAKWIMU ZOZOTE, kitu ambacho any random fool can do. Hoja yangu ni kwamba kitendo cha yeye kususia hizo biadhaa is negligible kwa sababu HANA HELA in the first place. Hata mie let alone Jews can tell her and her fvcking bandwagon to go to hell with peanut madafu. Watu wanaonunua bidhaa za mayahudi wala hawapigi kelele na wala sijawahi kusikia mayahudi wakilalamika hawana soko kwa bidhaa zao.

Kwa kweli , nasikia uvivu kujibu zaidi post za ukoo wa Ngedere kama wewe.
 
Ha Ha...ha ...ha! Hapo umefika pazuri sana, na ndipo nilikuwa nakusubiri uje hapo.

Subiri! UNATAKA KUSEMA NIKIKUPA TAKWIMU NDIO UTAAMINI? Sihitaji kutoa takwimu halafu uanze kuja na zako mpya nyingine.

Kubali hilo nikushushie takwimu, maana siko hapa kupoteza wakati ila nafanya kazi yenye matunda.
 
Its been a while since I engaged into 1-0-1 with fanatic with zero reason..he he he..

Siezi kukuuliza kuhusu takwimu maana utanipeleka tena kwene hizo links za propaganda, the task which I can do better than u. So save that part Miss Ngedere.

Labda nikuulize personally, wewe Miss Ngedere ni bidhaa gani ya mayahudi ulikuwa ukitumia? Bajeti yako ilikuwa sh ngapi? tuanzie kwene hiyo level kwanza.
 
yap, you are very right, apo mpendwa umechanganya grammar, lakini si tatizo, ujume umefika.

ni kweli mtumishi, kiswahili chenyewe tu hiki nimezaliwa nacho nachanganya mara nyingi, sasa iyo lugha ya wangereza je...na je kifaransa changu je, kispaniola je...nikiweka lugha zote hizi pamoja, kuchanganya ni kitu cha kawaida..pamoja na kwamba kile kitu nilichonacho kinabaki palepale kwa lugha zote...hiki ni kitu cha kawaida..
 
Hii ni kumjibu huyu Zionst extremist Ubungoubungo, anayejiona amesoma sana na kuwadharau wasomi wa Wizara ya Mambo ya Nchi za Nje. Utasema nini juu ya hii?
According to Craig Murray (5/31/10), former British ambassador and specialist on maritime law, the legal position "is very plain": "To attack a foreign flagged vessel in international waters is illegal. It is not piracy, as the Israeli vessels carried a military commission. It is rather an act of illegal warfare."
Kutoka gazeti la on-line, Fair
 
tehetehetehe, umesoma kwenye gazeti? mwenzio nimesoma chuo cha kijeshi na nimeshafanya kazi huko middle east na sudan kwenye mambo ya aina hii hii...bwamdogo, kwenye kila general principle ya sheria fulani/kifungu fulani huwa kuna kitu fulani kinaitwa ''EXCEPTION', kwahiyo usisimamie kwenye general rule, kuna exception ya kuivamia meli iliyoko kwenye international waters kama kutakuwa na sababu maalumu...uyo aliyeandika kwenye ilo gazeti, anatakiwa asome sheria za kivita kwenye manual fulani hivi inatumiwa na majeshi yote inaitwa san remo manual..., inaeleza kila kitu kwa uwazi hata wewe enda google sasaivi utapata....prof wa maritme law...usifikiri atakuwa mzuri kwenye mambo ya vita.

unajua watu wako biased sana kwenye hili jambo, hata wasomi, wanajua ukweli, lakini kwasababu wanataka kuifanya israel ionekane wabaya, hawaweki yale yaliyo ya kweli,,,maini yenyewe hawaweki kwasababu wakiweka israel itakuwa justified ktk hili kitu ambacho hawataki..hivyo wanaongozwa na personal biasness kwa israel wakiwa wameweka usomi pembeni...
 
Its been a while since I engaged into 1-0-1 with fanatic with zero reason..he he he..

Siezi kukuuliza kuhusu takwimu maana utanipeleka tena kwene hizo links za propaganda, the task which I can do better than u. So save that part Miss Ngedere.

Labda nikuulize personally, wewe Miss Ngedere ni bidhaa gani ya mayahudi ulikuwa ukitumia? Bajeti yako ilikuwa sh ngapi? tuanzie kwene hiyo level kwanza.

Umenyosha mikono kwenye Takwimu, ni vyema nilikuuliza kwanza. Si jibu au habari geni kwangu. Ni jibu nililolitegemea kwani nakufahamu vizuri sana.

Kuhusu bidhaa, Mwaka janna nilikuwa natafuta Solar heater, na nikaelekezwa hapo karibu na KAMATA zamani kuna duka la vifaa vya solar. Nilipofika hapo nikaikuta Solar heater nzuri sana ikiuzwa 1500 $. Kama kawaida, kwanza unafuruku na bei kabla hujaiangalia bidhaa vizuri, na tukafikiana bei. SIKU INAYOFUATA NIKAENDA BENKI na kuchota pesa.

Nilipofika dukani nikaanza kuiangalia vizuri hiyo bidhaa, si unajua kama usemavyo sisi wenye hela mbuzi tunajali sana fedha zetu. Ndio nikagundua kuwa inatoka Israel. Huwezi kuamini kuwa sikusubiri hata sekunde kuikataa. Nilipompa sababu mwenye duka alishangaa sana huku akinisihi kuwa Israel ndio wanaongoza katika Teknolojia hiyo, huku akinionyesha vitabu vinavyoonyesha umaarufu wao katika eneo hilo. Lakini sikuichukua, akapunguza bei tena na tena. Hata hivyo nikaikataa.

Nilipokuwa Afrika kusini ndio sikwambii, TV, RADIO, simu n.k.

Sasa umeridhika!!!!
 
hebu acheni ushabiki maandazi......ISRAEL na PALESTTINA inawahusu nini???they dont even fvcking know that you exist..........mbele ya mwarabu ww mtz ni SHIT.....mbele ya MYAHUDI ww black ni SHIT......mbele ya MZUNGU ww mweusi/mtz ni SHIT......they dont give *** ABOUT U!!!!!!!!
Why ru concerned when they kill each other????aaaaaaaaaaaarrghhhhhhh.
 
tehetehetehe, umesoma kwenye gazeti? mwenzio nimesoma chuo cha kijeshi na nimeshafanya kazi huko middle east na sudan kwenye mambo ya aina hii hii...bwamdogo, kwenye kila general principle ya sheria fulani/kifungu fulani huwa kuna kitu fulani kinaitwa ''EXCEPTION', kwahiyo usisimamie kwenye general rule, kuna exception ya kuivamia meli iliyoko kwenye international waters kama kutakuwa na sababu maalumu...uyo aliyeandika kwenye ilo gazeti, anatakiwa asome sheria za kivita kwenye manual fulani hivi inatumiwa na majeshi yote inaitwa san remo manual..., inaeleza kila kitu kwa uwazi hata wewe enda google sasaivi utapata....prof wa maritme law...usifikiri atakuwa mzuri kwenye mambo ya vita.

unajua watu wako biased sana kwenye hili jambo, hata wasomi, wanajua ukweli, lakini kwasababu wanataka kuifanya israel ionekane wabaya, hawaweki yale yaliyo ya kweli,,,maini yenyewe hawaweki kwasababu wakiweka israel itakuwa justified ktk hili kitu ambacho hawataki..hivyo wanaongozwa na personal biasness kwa israel wakiwa wameweka usomi pembeni...

44% Israelis would accept a homosexual PM

According to a Yediot Aharonot poll. 44% of Israelis would accept a homosexual PM.
Which is not surprising: after such prime ministers as Rabin, Barak, and Netanyahu, any homosexual would do.
 
hebu acheni ushabiki maandazi......ISRAEL na PALESTTINA inawahusu nini???they dont even fvcking know that you exist..........mbele ya mwarabu ww mtz ni SHIT.....mbele ya MYAHUDI ww black ni SHIT......mbele ya MZUNGU ww mweusi/mtz ni SHIT......they dont give *** ABOUT U!!!!!!!!
Why ru concerned when they kill each other????aaaaaaaaaaaarrghhhhhhh.
Chukua senksi za kutosha mkuu. Yaani hawa mablack ambao hawajakaa na mtu mweupe awe mwarabu, muisraeli au mzungu hawana habari kabisa ni jinsi gani wasivyothaminiwa. Most of time huwa nashangaa watu shingo zinavyowatoka kwa ajili ya waarabu na waisraeli ambao.....Do I even need to add. U nailed it all, again thanx very much.
 
Very interesting watu wanaandika magazeti humu kisa Palestina na Israeli. Lazima tuwe wazi na wakweli hapa japokuwa si wote lakini kwa wengi hapa ishu ni dini na wachangia mada wote wanatoa mawazo ambayo yamelalia katika kile ambacho biblia inasema kwa wakristo na kile ambacho quran inasema kwa waislamu. Yaani mi nimebaki kucheka tu watu wanatukanana humu, madongo na kila aina ya kuchafuana kisa wapalestina na waisraeli ambao kama nilivyosema huko nyuma, they dont give a shit about blacks/tz. Mi nadhani hata kama tukiamua kusema yaliyosemwa katika biblia na quran ni kweli ni lazima tufike mahali tujiulize hivi hawa watu wanaozungumzwa katika hivi vitabu ndio hawa kweli tunaowatetea maana mungu amekataza ubaguzi lakini hawa ni wabaguzi namba moja duniani sasa tunapowatetea watu ambao wanatubagua mi nashindwa kuelewa ni kwa faida ya nani. Nafikiri itakuwa vizuri kama wote tukiacha ushabiki na tusahau tu yale yanayoendelea hapo middle east tujaribu kujenga ili taifa changa. Nchi ina matatizo kibao yanayohitaji msaada wetu wadau.
 
Dada Womanizer nimekuelewa hisia zako lakini napata tabu kuelewana nawe.Kwanza sijui ni wewe au ni nani!. Nimeangalia registration yako kwenye JF, inaonesha ulijiunga Mon May 2010.Tuseme ni Mon. ya mwanzo ya May itakuwa ulijiunga 3rd.May. Mpaka leo 7Juni 2010 ni siku 28+7=35days.Tayari umepost 203stats.Hii ina maana unapost 5.8/day.
Mwenye takwimu kama hizo sijui ni wangapi,lakini mwenye kufanya hivyo huwa ni mtu mwenye kuvurumisha mambo tu,hawazi vizuri na kuchambua akisemacho.
Mimi nionavyo mijadala yenye uhai ni ile yenye kuingiza dini pekee.Mijadala ya kipagani kama unayoipenda wewe kwa kweli mimi hainivutii na najua haina faida kwa yeyote.Niishie kwa kusema kila kitu kijadiliwacho kwa vichwa vyetu bila kumuweka Mungu mbele basi ni upuuzi mtupu na havina mafanikio.
 
Back
Top Bottom