kwani walioweka blockade ni israel peke yao, mbona hata ndugu zenu wamisri wameweka blockade? unajua unachoongea? una uhakika gaza hawana chakula, mbona israel waliwaambia kuwa meli itaruhusiwa lakini inatakiwa kupitia ashdon port ili itue mizigo pale wao wakakaidi,,,kama walikuwa na uhitaji kweli wa kupeleka chakula kwa watu kwanini walikaidi? si kiburi hicho...ugaidi sio wa israel kama unavyosema, nyie wenye kiburi na jihad ndo magaidi wakubwa...ndo maana hata hapo unamwita mtu anayekufa kuwa shujaa, shujaa wa kiburi...sasa atasaidia vipi wakati amekufa, asingeleta kiburi angeishi na kesho angeendelea kuwasaidia hao watu....sasa amekufa atawasaidia lini?ndo faida ya jihad hiyo..mtakufa mtaisha na israel anajua dawa yenu..