Gaza Humanitarian Ships Leave Cyprus, attacked by Israeli Commandos

Gaza Humanitarian Ships Leave Cyprus, attacked by Israeli Commandos

Fikiria watu wa Gaza wamezingirwa kila upande ili wasipelekewe chakula,madhumuni ni ili waislamu wale wafe
Kwa nguvu muisrael aliyonayo haitaji kufanya hayo yote kama lengo ni kumwangamiza muislam...anaweza kuwamaliza kwa sekunde....ila anahuruna,anawajali tatizo bana nyie watu midomo mirefu mmnooo......
 
hivi kwaakili yako unafikiri selikali conservative kama ile itawafanya lolote israel? hata wakiwararua unafikiri nchi hiyo inao uwezo wa kupigana na israel?...wanahangaika, tena iyo ndo itakuwa threat na provocation ya wazi na israel hawawezi kuilazia damu..unafikiri israel atakubali kupigwa mkwara hivyo...unaijua population ya wayahudi kwamba netanyau atajiuzulu siku iyoiyo kama kitu kama icho kikiachiwa...kuna watu conservative kule israel ndugu yangu siku zote wanatamani vita iendelee ili wachukue na maeneo mengine yooote yaliyobaki, hivyo hapo tegemea majibu kama yale yaliyopita...tena sasahivi yanawezakuwa mabaya zaidi....
 
Years back one unfortunate author gave me his new manuscript to edit. When I was done with it- there was hardly one page that I didn't comment on. As good as the author was- I chose to criticise his style which assumed that all readers were some kind of religious faithfuls waiting to say 'Amen' to every statement that the author made. This article reminds me of that manuscript. Unfortunately I am not one of the faithful, I think this article is very subjective, and this forum will not deserve its name if words such as these are allowed to pass in silence.
First, the position that the writer takes is unjustifiable. The writer doesn't know what truly transpired in that boat apart from the different statements that have been given by either side. There is a very good reason why most people that comment on this event call for 'an investigation' to be made. Only then can an objective person react in this passionate manner. (I could give several reasons why I think the Israelis statement is right, but that will not be enough to call for policy changes in East African nations...)

Second, the fact that this event occured in international waters is a matter that causes concern. But the question is- there was no doubt where this 'armada' was heading, was there?

Third, the writer could hardly get it more wrong by calling the Somali Pirates 'Resistance Fighters'! Aren't these the same fellows that were recently repelled by the French navy off the coast of Pemba Island towards Zanzibar? What were they 'resisting' in Pemba? If one were to locate where the Indian Ocean piracy incidents perpetrated by the Somalis have occured, one could easily establish how untrue this statement is. (This map is available on the BBC Website by the way).

Now, let us forget the IDF response and consider the events that transpired before that. There exist a military blockade in Gaza. Fact. This blockade is the status quo at the end of a bloody war. Fact. That what these activists were doing was a direct challenge of that status quo. Fact. Now, I understand that my military credentials start and end with my occassional perusal of Sun Tzu's The Art of War, but, in military terms, if I was wearing any nation's uniforms, and I was in the position of the Israel's navy, there was only one way I would have responded: blocking the ships by any means possible. The fact is this was a serious PROVOCATION of the Israeli armies, and Turkey would have been wise to advise its citizens not to attempt this tragic exercise. There is a reason why they didn't do that, and that is another chapter in this story.

Another fact is that Israel allows some aid to reach Gaza. According to the UN, this amounts to 25% of what is needed in Gaza. Fact. But, in agreement with the American statement, this was not the best way to take aid to Gaza. The exercise had trouble written all over it from the beginning...

The recent Korean conflict probably resembled the kind of 'deep sea piracy' that deserved the writer's outrage. That was the event where one nation attacked the other without any provocation whatsoever. Needless to say, this 'piracy' passed the writer's attention. One is tempted to think that this article was written a long time ago, and it was only waiting for the Israelis to do something to be published.

I may be wrong...

you miss the whole point of piracy thing, this makes you to spoil the whole of your long lecture brother, makes it boring...I advice you to read the UNCLOS (United nations convention on the law of the sea 1982)..you will understand what piracy means, compare it with the acts of israeli and somali....then you will come back delete all of these craps you've written....hope it helps you sirrrrrr...
 
lakini si unakumbuka iliyotokea hadi wapemba wakaenda uhamishoni mombasa wengine hadi leo hii wako UK kama wakimbizi...na selikali iyoiyo inatoa lalamiko kwa israel leo..mdomo uwo wanao kweli?

Nyani haoni kundule!!! Utamtoa vipi mwenzako kibanzi wakati wewe una bolit jichoni? Acha hiyo ya pemba; hawa si walishafukia watu huko migodini?

wazushi tu, heri mamndamano ya wanajumua yalikuwa ya dhati, kuliko hako katamko ka wazee wa sirikali.
 
Wapalestina kama wanataka amani waweke silaha chini, watangaze kuachana na violence, walitambue taifa la Israel, then wakae meza moja wazungumze kuhusu amani kama walivyofanya wenzao wa Misri na Jordan ambao sasa hivi wanakaa raha mustarehe na Jirani yao Israel! Huku kujilipua na kuwafundisha chuki na uhasama watoto wao hakuwaletei amani yoyote! Wakiendelea kuichokonoa Israel wataongeza idadi ya wakimbizi muda si mrefu na kunyang'anywa kaeneo kadogo walikokuwa nako!
 
Masoud usibishane na mtu asiye jua kuchinja mnyama akala,na akienda ****** anatumia toilet paper lakini kuoga anatumia maji.HAWANA UTARATIBU MZIMA WA MAISHA
 
Masoud usibishane na mtu asiye jua kuchinja mnyama akala,na akienda ****** anatumia toilet paper lakini kuoga anatumia maji.HAWANA UTARATIBU MZIMA WA MAISHA
Unatumia ubongo kufikiria au kitu gani ndugu? Hakuna binadamu hata mmoja asiye na utaratibu au mfumo wa maisha! Binadamu asiye na utaratibu wa maisha amekufa! Au unafikiri utaratibu wa maisha wa marehemu Muhammad ndio utaratibu pekee wa maisha?
 
I wish Hisia kali za watazania walizonazoa juu ya issues s za palestina/israel zingehamishiwa kutetea maendeleo ya watanzania vijijini, mjini dhidi ya uongozi mbovu.

mi naona ni unafiki waafrika kujiinvolve kwenye issue za israel/palestina wakati kuna ngoma ya somalia, DRC, ect zipo.
 
Masoud usibishane na mtu asiye jua kuchinja mnyama akala,na akienda ****** anatumia toilet paper lakini kuoga anatumia maji.HAWANA UTARATIBU MZIMA WA MAISHA

sisi tukichinja mnyama hatuombi dua kwa shetani, tunamchinja tu kama tupendavyo, nyie hutoa dua kwa shetani kwanza kwa dua zenu za kitabu chenu..unatutukana kuwa tukienda kujisaidia tunatumia toilet paper,...ni bora mara mia nitumie toilet paper kuliko kujisaidia nikiwa na kikopo cha maji ya lita moja ati natawaza, nikimaliza kutawaza kwa icho kikopo kimoja, sinawi mikono narudi na uchafu uleule kwenye mikono, napika chakula, napika chapati na kacholi za kuuzia watu uswahilini...

hata kama mmetuweza kutufanya tuzoee taratibu zenu za kujinafasi, ni kweli tumekamatika tunatumia hayo maji tukienda kujinafasi, lakini angalia, kati ya nyumba milioni moja za watu wa imani yako, wangapi wana maji ya kutosha..kuweza kunawa maji kwa sabuni baada ya kutoka uwani...ni wachache sana....wengi wenu mnaenda kule kujisambaza tu, kushika nnnya kwa mikono yenu, afu hamnawi mikono ndo maana uswahililni kipindupindu ndo sehemu yake siku zote, kwasababu ni wachafu hamnawi mikono kwa sabuni baada ya kushika nnnya...vyoo vyenyewe vichafu....maji unachukua kilita kimoja, usafi gani unaweza kujitamba hapa....mnatuletea kipindupindu hapa..
 
I wish Hisia kali za watazania walizonazoa juu ya issues s za palestina/israel zingehamishiwa kutetea maendeleo ya watanzania vijijini, mjini dhidi ya uongozi mbovu.

mi naona ni unafiki waafrika kujiinvolve kwenye issue za israel/palestina wakati kuna ngoma ya somalia, DRC, ect zipo.

selikali yako ndo mnafiki wa kwanza, kwani wamejifanya kuilaani, wakisahau maovu yao ya ufisadi na uvunjaji wa haki za binadamu hapa kwetu...ila wamefanya la maana kuwatuliza mioyo ndugu zetu,manake walikuwa wanatoa povu muda wote na ili tuishi vizuri,ni bora kujifanya tunajali pamoja na kwamba sisi ni sisimizi tu.
 
du! inatia kichefuchefu, wabantu wa bariadi na wa handeni, uarabu na uyahudi mmeupata wapi! Utoto mtupu..
 
Unatumia ubongo kufikiria au kitu gani ndugu? Hakuna binadamu hata mmoja asiye na utaratibu au mfumo wa maisha! Binadamu asiye na utaratibu wa maisha amekufa! Au unafikiri utaratibu wa maisha wa marehemu Muhammad ndio utaratibu pekee wa maisha?

Mwacheni Buchanan jamani - hamuoni kuwa ni mzungu kwenye picha yake kushoto . Mzungu ndio master maana anaona aibu hata kuweka picha ya kiafrika anajua akiweka picha ya kizungu ata heshimiwa zaidi. Wazungu wametupandikizia kasumba nyingi za kujiona dhaifu.

Bora tugetumia muda wetu kujadili mambo megi yanayo tuathiri nchini na barani Afrika na kuchangia hoja za kurekebish matatizo yetu.
 
Most of wachangiaji kama wangekuwa ndo foreign policy makers wa nchi hii wala wangekuwa hawana tofauti na hawa waliopo.

nimesema ni unafiki kujifanya matatizo ya wapelestina au uwepo au kutokuwepo kwa taifa la israel kuna maana yeyote ambayo ambayo ni critical kwetu. kwa mtanzano.

Mbona hatupigi kelele kama hizi kwa matatizo ya DRC,somalia, etc. Otherwise watu wengi wanachangia mada ya israel/palestina kwa biased kidiini zaidi kuliko kucheki fact

wote wasirael na wapalestina wana matatizo. na tatizo litaisha wote wakiamua kufanya compromise kwa kila upande kwa amani ya watu wao.

FOREIGN POLICY YA KWELI NI KILA UPANDE KUTAMBUA UTAIFA WA MWEZAKE KWAHIYO TANZANIA INATAKIWA IWE NA MABALOZI WA ISRAEL NA PALESTINA.
 
Huruma anza kwanza kujionea wewe mwenyewe. Nadhani unatafuta bwana au unadhani ukijibu posts zangu utapanda chat. Sasa ni hivi, kuanzia sasa nakujibu inch by inch ili usijiweke kati ya wenye werevu. Douche bag.

Kwanza huwezi ukawakusanya 'Waarabu' wote na kuwaweka kundi moja na kusema eti 'waliwasaida Waafrika'. Kuna waarabu waovu vilevile kila mahali. Kuna wengine hadi leo hii wanaendesha biashara ya utumwa, kuna wengine waliwahifadhi maafisa wa Nazi, wengine wananyanyasa labourers, wengine wanaua Waafrika kule Darfur etc etc. Hivo cut the crap na u-bandwagon wako kwa waarabu.

Pili nimekupa ushauri wa bure hapo, badala ya kupaza sauti yako kama kichaa kwa watu ambao unajua fika hawahusiki na kadhia hii ungefanya la maana ukahamishia makazi yako Gaza, tukakuona wa maana. Bila ya hivo utaendeleea kuonekana kichaa tu na ndio maana nazidi kukupuuza kadr muda unavozidi kwenda.

Tatu, utandawazi kwangu haujatafsiriwa akilini mwangu kama u-bandwagon. Wewe endelea na ubandwagon wako ambao unaona ndio utandawazi. I have better things to do ktk maisha yangu badala ya kujihangaisha na maisha ya watu wasonihusu.
Abdulhalim ktk post #138 aandika : "I have better things to do ktk maisha yangu badala ya kujihangaisha na maisha ya watu wasonihusu."
Neno wasionihusu ndilo lililoniingia, na neno hili amelirudia mara nyingi katika post zake zilizopita. Ah! siwezi kumshauri vinginevyo kwani Abdulhalim ni mmoja kati ya wale wasemao yanayotokea IKULU- Dar mimi hayanihusu, au mimi ni mfanyabiashara siwezi kuzungumzia siasa. Lakini inapopandishwa kodi nami nikaanza kufuatwa fuatwa ndio naanza kulia lia.

Bei ya mafuta inapopanda kutokana na vita vya Iraq au wasi wasi wa mashariki ya kati ndio ninipojua kuwa hata mimi wa Magomeni yanihusu.
Pengine hata mauaji ya Albino hayakuhusu kwa vile huna ndugu hata mmoja ambaye ni Albino, .....EGOIST.

Vizuri, huko nyuma nilidhani nakufahamu, kumbe nilikufahamu nusu, sasa hivi sura yako iko wazi na JF nzima yakufahamu kwa uwazi kabisa. Sasa hivi si tu kuwa nakuonea huruma bali nakupa POLE.

uNAKUJA NA MPYA za DaRFUR na ukaruka ruka bila kujua uliposimamia. Sikiliza ndugu yangu, hakuna Taifa hata moja utakaowakosa wahalifu. Kwa hiyo hakuna hata sehemu moja katika post zangu nilipoandika juu ya usafi wa Waarabu. Hapa sote tumezingatia suala la ukandamizaji wa Waisrael dhidi ya Wapalestine. Hapa ndipo tulipo, unakojitahidi kunipeleka hutaniingiza ukitaka fungua Thread mpya tujadili mambo ya Darfur na kwingineko.

Ushauri wako si wabure, ni ghali mno sijui kama hujui mahesabu, Pole tena.

Mwisho si lazima uwe GAZA tu ndio unaweza kushiriki katika kuwapinga Waisrael na kuwasaidia Wapalestina. Kuna njia Tatu ambazo binafsi nafanya katika kuwapinga Waisrael:

1. Kutonunua bidhaa zozote zile zitokazo Israel.

2. Kutoa mchango wa Pesa kwa Organisation ambazo zinahusika moja kwa moja katika kutoa misaada huko Gaza.

3. Kuwaelimisha watu kama wewe na wengine wanaodhani kuwa wanapouana nje ya nchi yangu, mimi hayanihusu na ninaweza kunywa chai kwa utulivu. Hivi unajihisi vipi unapoyasikia mauaji ya Rwanda, Burundi au Siera Leon, au ilipotokea Tsunami Thailand n.k. Basi moja kati ya kazi yangu ni kuwarudisha ktk uanadamu na kutoweka tofauti wakati haki za binaadam zinapokiukwa.

Najua ninachokifanya na ninaimani kuwa sisi waafrika ambao nchi zetu zimepata uhuru hivi karibuni ni wawakilishi wazuri wa utatuzi wa migogoro kwa njia ya mazungumzu na si utumiaji nguvu na kusamehe wabaya wetu.
 
Bwa ha ha.. Sasa kama waziraili wanakutendeeni uovu, mboni mwaishia tu kupiga kelele? Nendeni muwakabili maungoni basi ili tuone nasi tupate kuamini kweli kuwa mko serious...he he he..
Pole, kwa sababu katika mawazo yako sisi tunatania. Tunasimama kwa yeyote tunayoyaandika na tunatekeleza kwa vitendo. Ninapoandika kuwa nachukia ukandamizaji, NINAMAANA HIYO NA NIKO MAKINI SI UTANI, NA inshallah ninaimani kabisa kabisa kuwa occupation itakwisha.

Si lazima uwe GAZA tu ndio unaweza kushiriki katika kuwapinga Waisrael na kuwasaidia Wapalestina. Kuna njia Tatu ambazo binafsi nafanya katika kuwapinga Waisrael:

1. Kutonunua bidhaa zozote zile zitokazo Israel.

2. Kutoa mchango wa Pesa kwa Organisation ambazo zinahusika moja kwa moja katika kutoa misaada huko Gaza.

3. Kuwaelimisha watu kama wewe na wengine wanaodhani kuwa wanapouana nje ya nchi yangu, mimi hayanihusu na ninaweza kunywa chai kwa utulivu. Hivi unajihisi vipi unapoyasikia mauaji ya Rwanda, Burundi au Siera Leon, au ilipotokea Tsunami Thailand n.k. Basi moja kati ya kazi yangu ni kuwarudisha ktk uanadamu na kutoweka tofauti wakati haki za binaadam zinapokiukwa.

Najua ninachokifanya na ninaimani kuwa sisi waafrika ambao nchi zetu zimepata uhuru hivi karibuni ni wawakilishi wazuri wa utatuzi wa migogoro kwa njia ya mazungumzu na si utumiaji nguvu na kusamehe wabaya wetu.
 
Unatumia ubongo kufikiria au kitu gani ndugu? Hakuna binadamu hata mmoja asiye na utaratibu au mfumo wa maisha! Binadamu asiye na utaratibu wa maisha amekufa! Au unafikiri utaratibu wa maisha wa marehemu Muhammad ndio utaratibu pekee wa maisha?
Ni kweli kuna watu wanapumua lakini kimsinghi wamekufa, hivyo vichwa vyao havifanyi kazi sawasawa. Hata hivyo tunabidi tuishi nao.

Sikiliza ndugu yangu. Meli ya msaada ilivamiwa katika international water. Waliokuwa ndani ya Meli walikuwa wanajitetea kutokana na uvamizi wa Majeshi ya Israel. Ningekuelewa kama wangekuwa katika eneo la Israel

Ukizijua sheria za kimataifa utaelewa kuwa hakuna unachokitetea. Israel imekiuka sheria za kimataifa.

Unasema walitupwa, la msingi na la kwanza la kujiuliza ni kwa nini wanajeshi waliivamia meli hiyo wakati haikugusa hata mita au chembe ya BAHARI YA israel. Ni sawa kama Tanzania ingekwenda na kuivamia.

Ukijiuliza swali hilo ndio akili itakujia. Tanzania hatuwezi kwenda kuwavamia wavuvi wa KIINGEREZA AU WAKINORWAY walio bahari ya Hindi katika international water. Hata kama walikuwa mita 15 toka Eneo la bahari ya Hindi imilikiwayo na TZ.

sASA UKIELEWA HILI UTAKUWA UMEELEVUKA NA UTARUHUSIWA KUENDELEA NA MJADALA.
 
Ashdod, Israel (CNN) --

For the second time this week, Israeli naval commandos seized aid headed for Gaza, but Saturday's action had a peaceful ending.

The Israel military said it boarded the Irish-owned MV Rachel Corrie by sea with the compliance of the crew, 35 kilometers (22 miles) off the Gaza coast. A cargo ship loaded with humanitarian aid, the vessel had been heading for Gaza Saturday in defiance of an Israeli blockade.

The incident contrasted with Monday's drama in international waters, when nine Turkish citizens were killed after violence erupted on one of six ships in a flotilla carrying humanitarian aid to Gaza. A number of other people were wounded. Israel said the passengers initiated the attack; the passengers said it was the troops who initiated it.

That incident drew widespread condemnation and cast a spotlight on the dynamics of the Gaza crisis.

The voyage of the Rachel Corrie on the heels of the raid put the international community on edge until the events unfolded peacefully on Saturday.

Israeli Prime Minister Benjamin Netanyahu said Israel "used the exact same procedure" aboard the Rachel Corrie as it did on the Mavi Marmara ship, the ship where the raid occurred.

"Today we saw the difference between a sail of peace activists, with whom we don't agree but honor their right to express a different opinion, and a hate sail organized by terrorism-supporting violent extremists," he said.

Free Gaza Movement spokeswoman Mary Hughes sharply criticized Israel's seizure of the ship.

"This is unacceptable to be happening in international waters," she said.

At the United Nations, the Security Council called for an inquiry into the flotilla raid and the Human Rights Council voted for a probe, but Israel said it alone -- and not an international entity -- should be investigating.

The Israel Defense Forces military advocate general said Israel's interception of the flotilla was legal because international law allows a country to stop a vessel in international waters if it attempts to breach a naval blockade -- even before such a blockade is breached.

"We're just hopeful the Israelis will let us make a small gesture for the people of Palestine," Former Assistant U.N. Secretary-General Denis Halliday said Thursday. "Because we believe Monday was a gross error."


He added that Monday's confrontation resulted from "faults on both sides," saying the effort on the Rachel Corrie is a "different ball game."

The MV Rachel Corrie was named for a 23-year-old American woman who was killed in Gaza in 2003 while attempting to keep IDF forces from bulldozing the home of a Palestinian.
 
"The Israel Defense Forces military advocate general said Israel's interception of the flotilla was legal because international law allows a country to stop a vessel in international waters if it attempts to breach a naval blockade"

angalia vilaza waliokuwa wanasimamia kwenye so called "international water"...nilishawambia the fact that the ship was in international does not prevent israel to excercise protection of their country...watu hapa walitoa hadi povu, kina mkanadara sijui, kina malalia sugu malecturer wa chuo cha morogoro ndo usiseme....wameng'ang'ania ati, ooo the ship was in international water, kwasababu walisikia kwa mwanasheria aliyesoma "human rights"..hahaha, hao wanasheria wa human rights ni sawa na wasomi wa sociology tu, they are not lawyers, na mmoja wao alikuwa kamishina wa umoja wa mataifa kabisa...lakini sheria imeenda upande, angetuuliza tunaojua sheria za vita...na kina membe na wizara yake wote wameonyesha udhaifu wa ajabu..hapo ndo aibu tupu..

wayahudi walijua wanachofanya, kwa wale msiofahamu, kati ya vyuo vya kivita bora duniani, chuo cha wayahudi kule israel ni moja wapo kikiwa pamoja na kile cha marekani...na israel siku zote huwa wanajitahidi kufuata sheria za kimataifa, kwasababu kama wasingekuwa wanafanya hivyo, waarabu wangeshaisha wote..na pia huwa wanawahukumu kabisa wale ambao wamekiuka sheria vitani..
 
Back
Top Bottom