Ubungoubungo
JF-Expert Member
- Jul 28, 2008
- 2,502
- 743
Wewe Ubungo Ubungo unaonekana mdogo sana kama mtoto wa std v vile.Wewe hujawahi kukosa chakula kwenu.
Ndio kweli wewe utaridhia binadamu mwenzako awe dini na kabila lolote afe njaa kwa kuzuiwa kupata chakula tu bila sababu yoyote na chakula kimejaa kwengine.
Rudia hii historia ya karibuni ya Gaza kuzingirwa isipate chakula na hata maji iwe kwa mgao.Kweli wewe unaridhia.
Mwenye njaa akiweza kumfanya lolote anayemzuia kula hana kosa.Na mwengine anayefanya juhudi kuokoa maisha yake ni wa kupongezwa sana na ana moyo wa kiislamu hata akiwa dini nyengine.
mimi si mtoto wa st.seven...nilishawai kukosa chakula sana na kulala njaa vilevile. kuweka blockade haijaanza na israel tu, hii kitu inatambuliwa kimataifa na sheria ya kimataifa inalijua na kuruhusu...hadi pale waarabu watakapoishi kwa amani na israel, ndo blockade itakapotakiwa kuchukuliwa kama kitu kibaya...lakini kwasababu hali iko tete siku zote, blockade ni lazima....na si kwamba hawaruhusu watu kuingiza chakula gaza, hapana..wanaruhusu ila kwa utaratibu maalumu, wale wasiopenda kwenda kwa utaratibu ndo kama hao wanakaidi amri ya jeshi, matokeo yake wakipigwa wanaanza kulialia, international community itaongea na itanyamaza kama hasara wameshapata, wangejua wangeiendea israel kama inavyotaka hayo yote yasingewakuta. hata ivyo israel wamewahurumia sana, mtu anakushambulia alafu anajifanya yeye mwema..
mimi sirudii historia ya gaza, kwa kifupi hata huko gaza naijuia na ninaifanyia kazi kila siku hapa pamoja na situation yote ya middle east, hayo yte ya mgao wa umeme na maji, ni njia tu za discipline kutokana na matendo yao..huo mgao wa umeme etc usingetokea kama wangeishi kwa amani..kwa kifupi hizo zote so called international activists, ni watu waliojaa chuki dhidi ya israel, na israel walitakiwa kuchukua hatua kali zaidi ya hii kwa hao wafaransa, turkish na wengine kwa kiburi chao kufikiri israel watawaheshimu kwasababu wao ni watu wa ulaya...