Gay Bomb

Gay Bomb

Ha ha ha, ha ha ha ha
Hata kabla sijasoma, imagine likaangushe Tarime? Au kwa Wamasai? Au Mbuga ya wanyama, simba wawe gay?
 
He he he..hii mpya..... nimeimagine eti inatokea bungeni....
 
Ha ha ha, ha ha ha ha
Hata kabla sijasoma, imagine likaangushe Tarime? Au kwa Wamasai? Au Mbuga ya wanyama, simba wawe gay?

you and your imaginations.......
mimi natamani iangushiwe bungeni, siku ambayo bibi kiro amewafukuza majembe wote wa CDM, nitafurahijeee!!!!!!!!!!!!!!!!!!11
 
you and your imaginations.......
mimi natamani iangushiwe bungeni, siku ambayo bibi kiro amewafukuza majembe wote wa CDM, nitafurahijeee!!!!!!!!!!!!!!!!!!11
Mmhhhh.....
Au itokee magogoni kwa prezidee
 
Ha ha ha ha, sijui kwa nini imanijia sura wa Wasira(no offence intended)

you and your imaginations.......
mimi natamani iangushiwe bungeni, siku ambayo bibi kiro amewafukuza majembe wote wa CDM, nitafurahijeee!!!!!!!!!!!!!!!!!!11
 
Hahahah aloo hili ni balaa... ili sehem flan likipigwa hili majamaa yatashangilia kinyama....
 
Nina wasiwasi hii ni moja ya propaganda za Illuminatis
 
Hivi mkuu hao jamaa wa U.S wao wanaamini mlengo gani wa kisiasa, au ndiyo WALIBERALI?
 
Litatumiwa na chama gani?

Sent from my BlackBerry 8520 using JamiiForums
 
I did read abot this a while ago...
Ila the US army has allowed gay to enroll,
hii inaweza kuwa-distruct wenyewe kwanza.
 
Gay Bomb 3.jpg special for Boflo. likikulipukia u'll be covered by ............ handle with care
 
Back
Top Bottom