ya Balali?
Biblia inasema kila wakati una majira yake. Kila jambo na wakati wake, wa kupanda, wa kuvuna, wa kucheka , wa kulia....
ya Balali?
Hii benki? We acha tu; Lebanon, Cyprus, Cayman Islands, Tanzania, Cyprus...Masikini Ballali...Ndullu? Msishtuke sana wanajamvi, naota tu!
So whats your point mwanakijiji? This guy bwana. Habari zipo na za ukweli. Unaleta ngendembwe!!
The king.
Boss naona una m-single out Gavana!Mbona nchi hii karibu wote wako hivyo? Je ukisikia ya TRA au NHC si utazima PC!?
Hapo bado uhamiaji wizara ya afya na mbuga zetu bila kusahau madini !!!! Sio kuzima tuu PC unaweza kuibamiza ukutani
Huyu kamshinda Ballali kweli?Akiitwa Dodoma tu ntolee!