Gavana Ndullu wala Bodi ya BoT Haijajiuzulu...

Mzee Mwanakijiji

Platinum Member
Joined
Mar 10, 2006
Posts
34,251
Reaction score
44,586
Kutoka ndani kabisa ya Serikali ...Magogoni hadi kwingine...taarifa kuwa Gavana Ndulu amejiuzulu au bodi nzima imejiuzulu hazina ukweli wowote.

Kuna masuala ya kisiasa yanaendelea pia na mambo mengine katika kutafuta mlango wazi wa BoT kuelekea uchaguzi mkuu...

Hivi sasa Gavana anaendelea na shughuli zake kama kawaida...

Tuwe makini yasiye yakatokea ya fulani... akalazimishwa kuondoka wengine huku wakafunika...
 
Kutoka ndani kabisa ya Serikali ...Magogoni hadi kwingine...taarifa kuwa Gavana Ndulu amejiuzulu au bodi nzima imejiuzulu hazina ukweli wowote. Kuna masuala ya kisiasa yanaendelea pia na mambo mengine katika kutafuta mlango wazi wa BoT kuelekea uchaguzi mkuu... Hivi sasa Gavana anaendelea na shughuli zake kama kawaida...

malizia ya mwisho harafu ukalale
 
Huu ni mkanganyiko wa taarifa unaoonyesha mapungufu ya jumla ya kiutendaji ya wakubwa wa taifa katika vitengo fulani,lakini pia uwajibikaji kwao ni sumu kali sana pale yanapotokea mapungufu!
 
Kwa mtindo huu ninaanza kumkumbuka polepole mwl:j.k nyerere kwa kasi kubwa mno,
najiuliza atoke wapi awaone vijana wake wanavyoongoza nchi kwa maigizo.
 
Vyovyote iwavyo hicho kibenki kinachohusishwa na hii scandal kinafanya money laundering muda mrefu tuu na viko vingi kina Ha...b bank nk wasomali wahindi na waarabu wanapiga sana ishu kupitia hivyo vibenki
 
Usiwasahau na mafisadi waliojaa ndani ya Serikali na MACCM.

Kweli kabisa kwa kutowataja sijaitendea haki post yangu nao wamo Tena sana tuu ni wapigaji mwanzo mwisho
 
  • Thanks
Reactions: BAK
ya Balali?

Kutoka ndani kabisa ya Serikali ...Magogoni hadi kwingine...taarifa kuwa Gavana Ndulu amejiuzulu au bodi nzima imejiuzulu hazina ukweli wowote. Kuna masuala ya kisiasa yanaendelea pia na mambo mengine katika kutafuta mlango wazi wa BoT kuelekea uchaguzi mkuu... Hivi sasa Gavana anaendelea na shughuli zake kama kawaida...

Tuwe makini yasiye yakatokea ya fulani... akalazimishwa kuondoka wengine huku wakafunika...
 
Vyovyote iwavyo hicho kibenki kinachohusishwa na hii scandal kinafanya money laundering muda mrefu tuu na viko vingi kina Ha...b bank nk wasomali wahindi na waarabu wanapiga sana ishu kupitia hivyo vibenki

Kuna Habib Bank na International Commercial Bank
 
Back
Top Bottom