Gavana Ndullu wala Bodi ya BoT Haijajiuzulu...

Mkuu rejea nilichokiandika, hakuna mahala nilipo generalize... Nimeeleza kwa Uwazi kuwa Ndullu ni one of EHM walioandaliwa na USA, same kwa Daud Ballali... Kumbuka kuwa Hawa Magavana wa Central Bank huw wanawekwa na WB/IMF! Na kigezo muhimu kuliko ni lazima wawe wamefanyakazi huko... Hawa wanatekeleza sera za magharibi siyo sera zetu!!! AFRITAC, na Migiro kupewa ofisi pale BOT siyo bahati mbaya Mkuu!!! Ballali na IMF ndiyo waliotutungia sera za Madini 1998, Sera ya Fedha, Sera ya Uwekezaji 1996 ambayo mpaka sasa hazijawa reviewed kwakuwa zinanufaisha MNCs za Magharibi zinazovuna maliasili zetu... Mkuu mimi siandiki kwa hasira... Fanya uchunguzi halafu uniambie nilichokiandika kama kina chembe ya uongo!!! Sikatai kuna Watanzania wengi sana wanafanyakazi nje ya nchi na ni wazalendo wa kutupwa LAKINI si hawa wallioandaliwa Harvard na WB/IMF Ndullu, Ballali, Werema, Chenge, Rostam, prof Tibaijuka, prof Muhongo, January, Lazaro, Apson, Mboma, Mkapa, Mgonja, Yona, Mramba yule Mhaya aliekuwa katibu mkuu nishati Enzi zile na sasa wanamuandaa Saada Mkuya... Hao watu hawako kwa maslahi ya nchi hii!!! Mrabaha wa 1.2 kwenye Dhahabu haikuwa bahati mbaya, Petra Diamond kutokulipa hata sent moja hadi 2018 si kwa bahati mbaya... TISS kuondolewa meno na kubakiziwa kazi ya kushauri tu haikuwa bahati mbaya ... Majeshi yetu kutumika kwa interest za nchi za magharibi siyo wito... Ardhi yetu kukwapuliwa maliki kwa maelfu ya hekari si bahati mbaya mkuu... Vitalu vya uwindaji kumilikiwa na wageni, wanyama hai kutoroshwa ni mpango mahsusi... Monopoly kwenye kuagiza mafuta na kuawa kwa TIPPER haikuwa bahati mbaya! Iran ilikuwa inatuuzia mafuta bei rahisi kuliko tena in advance! kulikuwa na sababu gani ya kununua mafuta ya bei mbaya kutoka kwnye makampuni ya kimagharibi?... May be I know much... fanyeni Uchunguzi Mkuu... We can do better without CCM, without hila za Wazungu... Siasa ya kutofungamana na nchi zozote duniani ilikuwa sahihi sana kwa Tanzania...

Bado nafikiri unawaza kwa hasira. Orodha uliyotoa inajumuisha na watu ambao hata Havard hawajawahi kukanyaga. Unafikiri ukitoa CCM hao watakaokuja watafanya tofauti? Mfumo wa sasa hauna kutofungamana na nchi, maana kuna upande mmoja tu, wa magharibi. Ukishaingia katika ubepari wa magharibi, ambao ndiyo una tawala sasa, hayo unayoyasema ndiyo matokeo yake...
 
Mkuu unakosea sana... Benno Ndulu kabla haja kuwa Gavana.. alikuwa anafanya kazi World Bank Na ndiyo alikuwa Lead Economist bahati nzuri alikuwa katika division ya East Africa so alikuwa anafanya kazi pia moja kwa moja na Mh. Rais aliyepita.. kwa taarifa kama ulikuwa hujui ndiye aliye changia kwa kias kikubwa Tanzani kuwa na sustained economic growth kwa karibu miaka kumi..
Unajua nini? Ni rahisi kufanya kazi chini ya mfumo unaoongozwa badala ya kupewa kazi ya kuongoza mfumo. Kuna wanaoweza na kuna wanaozama. Huyu amezama.
 
why? can you substantiate?
Nionyeshe kitu kimoja alichofanya kinachopaswa kusifiwa mbali ya kukarabati jumba lake kwa mabilioni. Noti mpya zinazochakaa kabla hata hujafika dukani kwa Mwarabu. Kushuka kwa thamani ya shillingi kunakoendelea na kupanda kwa gharama za maisha. Unataka niendelee?
 
Mkuu rejea nilichokiandika, hakuna mahala nilipo generalize... Nimeeleza kwa Uwazi kuwa Ndullu ni one of EHM walioandaliwa na USA, same kwa Daud Ballali... Kumbuka kuwa Hawa Magavana wa Central Bank huw wanawekwa na WB/IMF! Na kigezo muhimu kuliko ni lazima wawe wamefanyakazi huko... Hawa wanatekeleza sera za magharibi siyo sera zetu!!! AFRITAC, na Migiro kupewa ofisi pale BOT siyo bahati mbaya Mkuu!!! Ballali na IMF ndiyo waliotutungia sera za Madini 1998, Sera ya Fedha, Sera ya Uwekezaji 1996 ambayo mpaka sasa hazijawa reviewed kwakuwa zinanufaisha MNCs za Magharibi zinazovuna maliasili zetu... Mkuu mimi siandiki kwa hasira... Fanya uchunguzi halafu uniambie nilichokiandika kama kina chembe ya uongo!!! Sikatai kuna Watanzania wengi sana wanafanyakazi nje ya nchi na ni wazalendo wa kutupwa LAKINI si hawa wallioandaliwa Harvard na WB/IMF Ndullu, Ballali, Werema, Chenge, Rostam, prof Tibaijuka, prof Muhongo, January, Lazaro, Apson, Mboma, Mkapa, Mgonja, Yona, Mramba yule Mhaya aliekuwa katibu mkuu nishati Enzi zile na sasa wanamuandaa Saada Mkuya... Hao watu hawako kwa maslahi ya nchi hii!!! Mrabaha wa 1.2 kwenye Dhahabu haikuwa bahati mbaya, Petra Diamond kutokulipa hata sent moja hadi 2018 si kwa bahati mbaya... TISS kuondolewa meno na kubakiziwa kazi ya kushauri tu haikuwa bahati mbaya ... Majeshi yetu kutumika kwa interest za nchi za magharibi siyo wito... Ardhi yetu kukwapuliwa maliki kwa maelfu ya hekari si bahati mbaya mkuu... Vitalu vya uwindaji kumilikiwa na wageni, wanyama hai kutoroshwa ni mpango mahsusi... Monopoly kwenye kuagiza mafuta na kuawa kwa TIPPER haikuwa bahati mbaya! Iran ilikuwa inatuuzia mafuta bei rahisi kuliko tena in advance! kulikuwa na sababu gani ya kununua mafuta ya bei mbaya kutoka kwnye makampuni ya kimagharibi?... May be I know much... fanyeni Uchunguzi Mkuu... We can do better without CCM, without hila za Wazungu... Siasa ya kutofungamana na nchi zozote duniani ilikuwa sahihi sana kwa Tanzania...

Kimsingi nakubaliana na wewe Rockspider...ila napingana na wewe kuamini tatizo ni CCM. Tatizo ni zaidi ya CCM...
Wadhani Dr Slaa anamwakilisha nani? Wadhani alikwenda ziara Marekani kwa bahati mbaya?

Ndiyo maana katika nchi nyingi za Afrika hata wanapobadili chama kwa njia ya uchaguzi bado nchi hizo hazipigi hatua kubwa kimaendeleo. Angalia jirani zetu Zambia, Malawi, Kenya...
 
Pamoja na USAFI wa Dr Slaa... Binafsi siamini kama takuwa Chuguo bora kwa CDM. Why? Watanzania wamelishwa sumu ya Udini sana, propaganda chafu imeshawaingia sana! Tuhuma kuwa Kanisa Katoliki linahodhi madaraka ya nchi hii imezungumziwa toka awamu ya kwanza... CDM wajipange kuwa na Mgombea mwingine angalau asiwe na background ya Upadre wa Kanisa Katoliki... Nashauri hili kwa nia safi kabisa huku nikiamini kuwa Rais wa Nchi hii atatokana na kura za Waislam na Wakristo kwa umoja wao.... ! Back kwenye argument yako! Dr Slaa kutembelea ama kuitwa marekani inawezekana kabisa ikawa ni muendelezo wa yale yale tunayo yakataa ndani ya CCM! LAKINI... Ni Rahisi sana kufumua mfumo uliopo nje ya CCM kuliko kuifumua ndani ya CCM!!! Kuna mambo ambayo haya vumiliki tena kwa wananchi, mathalan, Uuzwaji wa Hisa za ABG London Stock Exchange instead of DSE ... Mishahara duni kwa Watanzania wenye kutumikishwa kwenye MNCs, Mapato ya Madini na Rasilimali nyinginezo ambazo hazionekani ni rahisi kukaa nao round table na kuweka mambo hadharani kuliko ambavyo CCM wanaendekeza Usiri kwenye maslahi ya nchi ... all in all ni bora kuanza kusuka upya kuliko kuendelea na CCM ...
Kimsingi nakubaliana na wewe Rockspider...ila napingana na wewe kuamini tatizo ni CCM. Tatizo ni zaidi ya CCM...
Wadhani Dr Slaa anamwakilisha nani? Wadhani alikwenda ziara Marekani kwa bahati mbaya?

Ndiyo maana katika nchi nyingi za Afrika hata wanapobadili chama kwa njia ya uchaguzi bado nchi hizo hazipigi hatua kubwa kimaendeleo. Angalia jirani zetu Zambia, Malawi, Kenya...
 
Tuwe makini yasiye yakatokea ya fulani... akalazimishwa kuondoka wengine huku wakafunika...
umakini upi unataka tuwe nao mkuu MM

kwani kipindi cha yule mwingine tulikuwa tumelala? hata kama tungekuwa macho tungemfungia ndani ama?

kaondoka, sijui alichukuliwa ama alitekwa, tumepiga yowe hadi leo, zimesaidia?

tuweje makini?
 
Well kwanza ni kutambua kuwa kila kura (uchaguzi) una matokeo yake.
 
RockSpider,

Hudhani Katiba mpya ingejikita, pamoja na mambo mengine, katika kuangalia masuala kama hayo ya udhibiti wa rasilimali? (kwa kuchangia katika mfano wako wa ABG kutokuuza hisa zake DSE). Na hilo lisimamiwe bila kujali chama gani kipo madarakani. Na suala kama hilo huenda ni la msingi katika katiba kuliko hata idadi ya serikali!!
 
Last edited by a moderator:
Mkuu Mwanagenzi, Nakushukuru kwa dhaati kabisa kwa kuliona hili... Sina hakika kama kuna dhamira ya kweli ya kumkomboa Mtanzania! Imefikia mahala ambapo ni vigumu kuwatofautisha Wasomi wetu decision makers na wasio kwenda hata darasa moja! Simply because sera zote zenye mwelekeo wa kumkomboa Mtanzania tunaandikiwa na watu wale wale wenye kufaidi rasilimali zetu! Yako Mambo mengi sana ya Msingi ya kuingiza kwenye Katiba mpya including but not limited to Wawekezaji wawe wanatumia Mabenki yetu ili ku-monitor transactions zao, Ajira ya Watanzania kwenye MNCs, Uwazi katika Kodi na tozo zinginezo kwenye MNCs, Uadilifu na Uwajibikaji ktk kila Nyanja ya Utumishi wa Umma... Makatibu Wakuu kama CEOs wa Wizara wanatakiwa wawe watu ambao ni Competent watakaopewa Malengo SMART na mwisho wa siku wawe evaluated kwa performance standard zilizowazi ... Dubai wamefanikiwa sana kutokana na sera yao ya kuangalia expertism ya mtu bila kujali Rangi wala Dini kwenye Maeneo ya Uzalishaji... Mambo ni Mengi sana ya kurekebisha ktk nchi hii... Dhamira ya Dhaati Ipo? Hizo MNCs zilizowawekea viongozi wetu Mamilion ya $ kule Uswis LENGO lao ni nini? ... Nje ya CCM pengine itawezekana ...
RockSpider,

Hudhani Katiba mpya ingejikita, pamoja na mambo mengine, katika kuangalia masuala kama hayo ya udhibiti wa rasilimali? (kwa kuchangia katika mfano wako wa ABG kutokuuza hisa zake DSE). Na hilo lisimamiwe bila kujali chama gani kipo madarakani. Na suala kama hilo huenda ni la msingi katika katiba kuliko hata idadi ya serikali!!
 
Okay nimeelewa,habari kwamba Gavana Ndullu amejiuzulu siyo za kweli.
Huku Butiama siyo rahisi kupata habari. Mwanzoni mwa mwaka huu radio yangu iliharibika,na mimi,being such a recluse,sikufahamu Waziri wa Fedha Mgimwa,amekufa amezikwa,sina habari.
 
Hahahahaha .....hakyamama ..........:hail:
 
Back
Top Bottom