Gavana Ndullu wala Bodi ya BoT Haijajiuzulu...

Gavana Ndullu wala Bodi ya BoT Haijajiuzulu...

Kutoka ndani kabisa ya Serikali ...Magogoni hadi kwingine...taarifa kuwa Gavana Ndulu amejiuzulu au bodi nzima imejiuzulu hazina ukweli wowote.

Kuna masuala ya kisiasa yanaendelea pia na mambo mengine katika kutafuta mlango wazi wa BoT kuelekea uchaguzi mkuu...

Hivi sasa Gavana anaendelea na shughuli zake kama kawaida...

Tuwe makini yasiye yakatokea ya fulani... akalazimishwa kuondoka wengine huku wakafunika...

Yule alizikwa marekani huyu sijui itakuwa wapi, ukiwa gavana raha sana unachagua kiwanja cha kuzikiwa
 
lazma pesa za kufadhili ugaidi arusha zinapitia hapa

Huenda ndiyo maana wana tawi lao Arusha. Ukipita mitaa ya Uzunguni Arusha, along Haile Selasie road ndipo ilipo hii benki ya FBME. Kamejificha kwenye kanyumba kamoja tuu; ofisi hapohapo, benki counters hapohapo na ATM hapohapo. Kwa nje ukiangalia kamechoka mno kumbe kwa ndani ina mambo makubwa kuzidi hata BOT na twin towers zake! Nchi hii inasikitisha sana.
 
Kutoka ndani kabisa ya Serikali ...Magogoni hadi kwingine...taarifa kuwa Gavana Ndulu amejiuzulu au bodi nzima imejiuzulu hazina ukweli wowote.

Kuna masuala ya kisiasa yanaendelea pia na mambo mengine katika kutafuta mlango wazi wa BoT kuelekea uchaguzi mkuu...

Hivi sasa Gavana anaendelea na shughuli zake kama kawaida...

Tuwe makini yasiye yakatokea ya fulani... akalazimishwa kuondoka wengine huku wakafunika...

Majibu mepesi ''yuko likizo" !
Cha muhimu hapa ni kuepusha kiama cha uchumi baada ya 2015!

Lakini hii yaweza kuwa ni mkakati mpana ambao baada ya uteuzi wa Manaibu waziri wa Fedha hoja iliibuliwa hata humu JF kuhusu mipango ya ulaji wa pesa kwa malengo mawili;
1.Uchaguzi
2.Masilahi Binafsi ya Wateule wastaafu watarajiwa!

Wacha tusubiri tuone kinachojiri!

Lakini pia hii issue inaweza kuwa connected na hii katika kuficha wahusika ............................

Yaani Nchi hii inasikitisha sana! Hata kwa akili ya kawaida banki inahamisha makao kila uchao mara Cayman, mara Cyprus mara TZ. Na ukiziangalia hata hizo nchi wanazohamia unapata picha ya kinachoendelea. Halafu Ndullu anasuasua kujiuzulu, afanye haraka katutia doa, wataalamu masuala ya finance wako kibao wanasubiri fursa.
 
Kutoka ndani kabisa ya Serikali ...Magogoni hadi kwingine...taarifa kuwa Gavana Ndulu amejiuzulu au bodi nzima imejiuzulu hazina ukweli wowote.

Na kwanini a "resign"?!

Maaana ku resign sio tabia zetu, hata tuboronge kivipi..sisi ni kwamba hata kama anahusika tutakachofanya tutaunda tume, ya wazee zamani serikalini waliostaafu, watafune posho wee, halafu wampe graduate pale wa chuo au CBE aandike ripoti kwa kiingereza cha kuokota okota, kwamba gavana hakuhusika hata kwa chembe, na kwamba hata haijulikani hawa jamaa wa hii benki walipataje leseni au kuingia kwenye mtandao wetu wa fedha...
Basi na sie tutakaa kusononeka kimya kimya na kulaani jinsi wenzetu walivyo wajanja ktk kuchota fedha nchini...
Baadae tutasahau na kuendelea na jua letu kali, kabla benki nyingine kutoka cayman au bermuda kuja kujaribu bahati zao tena...
 
A year to the general election and the year of the general election is usually the most challenging for the public servants in African (and other third world) countries!
 
A year to the general election and the year of the general election is usually the most challenging for the public servants in African (and other third world) countries!

Yes hiki ndio kipindi cha maumivu.....kuanzia sasa wanasiasa wote waliokimbia JF utaona wanarudi kidogo kidogo na hasa kashfa nyingi za kuharibiana ndio zinaanza ......
 
Kulikuwa na makala katika gazeti la Mwananchi (kama nakumbuka vema) la hivi karibuni likijaribu ku prove kuwa Gavana wa zamani (Daud Balali) kweli alikufa huko Marekani. Je, kuna uhusiano wowote wa makala hayo au gazeti hilo na haya yanayoendelea sasa kuhusu Prof Ndullu na BoT?

SMU, ni muhimu sana kuangalia mambo yanayoendelea kwa mwanga unaojaribu kuutumia yaani unajumlisha 2 + 2 na namba nyingine zozote ili kupata majibu sahihi. Kuna mambo mengi yanayoendelea ambayo yote yanahusianasana na fedha haramu na mitandao ya kihalifu Tanzania...
 
HIvi inawezekana watu wameshasahau kabisa kuwa hata Gavana Ballali iliandikwa - na barua ikawekwa - ya kuwa ametangaza kujiuzulu? yawezekana wale wale walioandika/chonga ile barua ndio leo wanarudia tena...???
 
Tatizo la Ndullu ni Umarekani wake! Hawa Technocrats wa USA huwa wanatenda kwa maslahi ya Marekani! Pale alipo amewapangisha AFRITAC/IMF na Pembeni yake ameongezewa Asharose Migiro ili waweze kutekeleza sera za Marekani ndani ya Tanzania... Wengi wetu bado tunadhani kuwa Economic Hit Men (EHM) ni Story tu na kuwa hazina ukweli wowote!!! Ndullu Familia yake inaishi Marekani miaka mingi, yeye huwa hajali ukuaji wa Uchumi wa Tanzania wala Mfumuko wa Bei!!! yeye anachokiangalia kwa makini ni TORs alizopangiwa tu si zaidi ya hapo... Believe or not uchumi wa Tanzania unakua kwenye Makaratasi tu!!! Situation ingekuwa mbaya zaidi kama JK asingeingia mikataba na CHina angalau ku-equalize hawa Super power wa dunia hii...
 
Mkuu unakosea sana... Benno Ndulu kabla haja kuwa Gavana.. alikuwa anafanya kazi World Bank Na ndiyo alikuwa Lead Economist bahati nzuri alikuwa katika division ya East Africa so alikuwa anafanya kazi pia moja kwa moja na Mh. Rais aliyepita.. kwa taarifa kama ulikuwa hujui ndiye aliye changia kwa kias kikubwa Tanzani kuwa na sustained economic growth kwa karibu miaka kumi..

All round Stupid
 
Huenda ndiyo maana wana tawi lao Arusha. Ukipita mitaa ya Uzunguni Arusha, along Haile Selasie road ndipo ilipo hii benki ya FBME. Kamejificha kwenye kanyumba kamoja tuu; ofisi hapohapo, benki counters hapohapo na ATM hapohapo. Kwa nje ukiangalia kamechoka mno kumbe kwa ndani ina mambo makubwa kuzidi hata BOT na twin towers zake! Nchi hii inasikitisha sana.

Huitaji Kuwa layman kujua haka kabenki ka FBME kanatakasa pesa, unafikiri kalikuja bongo kubahatisha? Sema marekani Ndio wametia sumu kisimani.
 
Back
Top Bottom