Kutoka ndani kabisa ya Serikali ...Magogoni hadi kwingine...taarifa kuwa Gavana Ndulu amejiuzulu au bodi nzima imejiuzulu hazina ukweli wowote. Kuna masuala ya kisiasa yanaendelea pia na mambo mengine katika kutafuta mlango wazi wa BoT kuelekea uchaguzi mkuu... Hivi sasa Gavana anaendelea na shughuli zake kama kawaida...
Tuwe makini yasiye yakatokea ya fulani... akalazimishwa kuondoka wengine huku wakafunika...

So whats your point mwanakijiji? This guy bwana. Habari zipo na za ukweli. Unaleta ngendembwe!!
The king.
Mbona kama taarifa hii haijatoa ufafanuzi Wa kutosha? Kwani kulikuwa na taarifa kwamba Gavana amejiuzulu? source?
The most bogus bank gavana we have ever had.
kutoka ndani kabisa ya serikali ...magogoni hadi kwingine...taarifa kuwa gavana ndulu amejiuzulu au bodi nzima imejiuzulu hazina ukweli wowote.
Kuna masuala ya kisiasa yanaendelea pia na mambo mengine katika kutafuta mlango wazi wa bot kuelekea uchaguzi mkuu...
Hivi sasa gavana anaendelea na shughuli zake kama kawaida...
Tuwe makini yasiye yakatokea ya fulani... Akalazimishwa kuondoka wengine huku wakafunika...
....what happens to these so called 'Professors' when they get high Government posts?....really i can't understand them..hawa majamaa wanakuwa na sifa nyiingi za kiutendaji wanapokuwa nje ya siasa...lakini wanapoingia kwenye siasa wanakuwa kama retards wasioenda hat shule......kwa kweli inauma sana....Kutoka ndani kabisa ya Serikali ...Magogoni hadi kwingine...taarifa kuwa Gavana Ndulu amejiuzulu au bodi nzima imejiuzulu hazina ukweli wowote.
Kuna masuala ya kisiasa yanaendelea pia na mambo mengine katika kutafuta mlango wazi wa BoT kuelekea uchaguzi mkuu...
Hivi sasa Gavana anaendelea na shughuli zake kama kawaida...
Tuwe makini yasiye yakatokea ya fulani... akalazimishwa kuondoka wengine huku wakafunika...
Ila wako matatani, kwani Balali aliugua ghafla?
The most bogus bank gavana we have ever had.
The most bogus bank gavana we have ever had.
Mkuu unakosea sana... Benno Ndulu kabla haja kuwa Gavana.. alikuwa anafanya kazi World Bank Na ndiyo alikuwa Lead Economist bahati nzuri alikuwa katika division ya East Africa so alikuwa anafanya kazi pia moja kwa moja na Mh. Rais aliyepita.. kwa taarifa kama ulikuwa hujui ndiye aliye changia kwa kias kikubwa Tanzani kuwa na sustained economic growth kwa karibu miaka kumi..
Sustained economic growth .....my foot .......
Mkuu unakosea sana... Benno Ndulu kabla haja kuwa Gavana.. alikuwa anafanya kazi World Bank Na ndiyo alikuwa Lead Economist bahati nzuri alikuwa katika division ya East Africa so alikuwa anafanya kazi pia moja kwa moja na Mh. Rais aliyepita.. kwa taarifa kama ulikuwa hujui ndiye aliye changia kwa kias kikubwa Tanzani kuwa na sustained economic growth kwa karibu miaka kumi..
Kutoka
ndani kabisa ya Serikali ...Magogoni hadi kwingine...taarifa kuwa Gavana
Ndulu amejiuzulu au bodi nzima imejiuzulu hazina ukweli wowote.
Kuna masuala ya kisiasa yanaendelea pia na mambo mengine katika kutafuta
mlango wazi wa BoT kuelekea uchaguzi mkuu...
Hivi sasa Gavana anaendelea na shughuli zake kama kawaida...
Tuwe makini yasiye yakatokea ya fulani... akalazimishwa kuondoka wengine
huku wakafunika...
Kwa hiyo wewe ndo msemaji wa BOT! au Ndullu?