Fuma...
Mimi nisiyejua chochote nazungumza na mjuzi lakini huyu mjuzi anashindwa kutambua ukweli kuwa yapo malalamiko ya kweli.

Halafu time factor ni muhimu sana, jambo hili lilitokea lini na "mtuhumiwa" alifanya hayo akiwa kama nani, Mwenyekiti UWT au nani? Hapa time factor ni muhimu sana ili tuendane sawasawa na matukio yote na shutuma pia. Mwandishi au mleta uzi aeleze tu bila jazba kuhusu maswali yetu; kwa nia njema tu ya kuelimishana.
Chief...
Kisa ni kirefu lakini nitakueleza kwa mukhtasari.
Uongozi wa Chuo ulitoa ardhi kwa ajili ya ujenzi wa msikiti na kanisa.

Waislam walitangulia katika kutaka kuanza ujenzi wa msikiti baada ya kupata vibali vyote.
Wakati shughuli inataka kuanza Mama Kabaka akawaambia Waislam kuwa hatambui vibali hivyo.

Askari wakaitwa kudhibiti eneo na mabanda yaliyokuwa yamejengwa yakavunjwa na hapo hapo Waislam 11 wakaondolewa UDOM.
 
Mama Kabaka ndiye aliyefanya maamuzi???,Kama Nani!?
 
Mzee no lazima uache huu Udini kwenye Jukwaa hili!
Isitoshe tutahoji Jamii Forum wamekupaje tuzo ,huku ukionesha wazi una dallili za Udini na Ubaguzi!
Ama sivyo Uongozi was Jamii Forum utuambie kuwa unachoandikaga hakina Element za Udini!
Hata kichwa Cha Uzi huu kinamzunhumzia Gaaudensia Kabaka ,Uenyekiti was UWT na zuio la Ujenzi was Msikiti UDOM ,Utafikiri UDOM inamilikiwa na Mama Kabaka!
Lombo,
Kuwahoji JF itakuwa hujafaya kitu cha maana sana.

Unapashwa kuwahoji Harvard na Oxford University Press, New York imekuwaje wakanichagua kuwa mmoja wa waandishi 500 walioshiriki katika mradi wa kuandika Dictionary of African Biography (DAB).

Halikadhalika utapashwa kuwahoji Oxford University Press, Nairobi imekuwaje wakanishirikisha katika mradi wao wa kuandika vitabu vya kusomesha historia na Kiingereza kwa shule za msingi.

Utapashwa vilevile uwahoji Northwestern University kwa kunialika kuzungumza chuoni kwao.

Tusimame hapa.

Hii tuzo ya JF kwangu ni ya tatu.
Tusiwabughudhi JF.
 
Sasa Hilo kama ndivyo lilivyo Lina unasaba na Ubaguzi kwa Waislam...kivipi,kwa kuwa umechangamya mambo.menhi humu
Mara 20:80,Mara Nyerere alisaidiwa ,nk
Hoja yako nini!
?
Lombo,
Hoja yangu ni kwa nini walimfuta Abdul Sykes katika historia ya TANU?
 
Lombo,
Kuwahoji JF itakuwa hujafaya kitu cha maana sana.

Unapashwa kuwahoji Harvard na Oxford University Press, New York imekuwaje wakanichagua kuwa moja wa waandishi 500 walioshiriki katika mradi wa kuandika Dictionary of African Biography (DAB).

Halikadhalika utapashwa kuwahoji Oxford University Press, Nairobi imekuwaje wakanishirikisha katika mradi wao wa kuandika vitabu vya kusomesha historia na Kiingereza kwa shule za msingi.

Utapashwa vilevile uwahoji Northwestern University kwa kunialika kuzungumza chuoni kwao.
Tusimame hapa.

Hii tuzo ya JF kwangu ni ya tatu.
Tusiwabughudhe JF.
Hizo tuzo ulipewa kutokana na viasshiria vya Ubaguzi unatuonesha hapa!
Hakuna anayebisha kuwa wewe ni mwandishi waHistoria
Tunachokupinga wewe ni Viashiria vya Ubaguzi hasa wa kidini unaoufanya hapa!
Hivi ulipohojiwa TBC na Azam.ulieleza suala la 20:80,au Kabaka alizuia ujenzi wa Msikiti Udom?
Hiki ndiicho wadau wanakulaumu kwaudini na Ubaguzi!
Hata unaposema.Nyerere alisaidiwa naBaba zako hulielezi kwa nia Njema!
 
Mzee Sykes alifutwaje mkuu! Mbona hata sisi wa kuja tunamjua?
Lombo,
Amefutwa katika historia ya TANU na uhuru wa Tanganyika ingawa yeye ndiye aliyemtia Mwalimu katika uongozi wa TAA 1953 na 1954 TANU ikaundwa.
 
Utafiti Tena wewe tuambie hapa Mama Kabaka alikuwa Nani ,alihujumu vipi.Waislam wa Pwani?!
Lombo,
Nimeeleza kuwa alikataa kutambua vibali vyote vya kujenga msikiti akavunja mabanda yaliyokuwa yamejengwa na akaleta askari kuzingira sehemu ile ya ujenzi wa msikiti.
 
Lombo,
Nimeeleza kuwa alikataa kutambua vibali vyote vya kujenga msikiti akavunja mabanda yaliyokuwa yamejengwa na akaleta askari kuzingira sehemu ile ya ujenzi wa msikiti.
Hivi kweli mzee ,unashindwa kuelewa kuwa Mama Kabaka hapo alisimamia maelekezo ya Serikali! Kama so ya Uongozi wa Chuo!
Hoja Kama hizi ndio zinafanya watu wawachukulie Waislam kuwa n watu wa kulia Lia bila hoja!
Na kwa uelewa wako.,bila Shaka unafanya haya kwa Nia ovu!
Kuwapumbaza Waislam wasio elewa!
Yaani maamuzi ya Chuo unamvisha Kabaka!?
Mawazo ya ajabu kabisa haya!
Ndio.maana tunahoji waliokupa tuzo waliaangalia upande wako wa Pili?!
 
Hili lizee Saidi kumbe ni lidini hivi?
nilikuwa sijui kudadeki.

Chuo cha serekali msikiti wa nini?
mfadhili ugaidi?

Hiyo tuzo ulopewa na melo na wewe ni ujinga mtupu.
Msanga...
Kuwahoji JF itakuwa hujafaya kitu cha maana sana.

Unapashwa kuwahoji Harvard na Oxford University Press, New York imekuwaje wakanichagua kuwa mmoja wa waandishi 500 walioshiriki katika mradi wa kuandika Dictionary of African Biography (DAB).

Halikadhalika utapashwa kuwahoji Oxford University Press, Nairobi imekuwaje wakanishirikisha katika mradi wao wa kuandika vitabu vya kusomesha historia na Kiingereza kwa shule za msingi.

Utapashwa vilevile uwahoji Northwestern University kwa kunialika kuzungumza chuoni kwao.

Tusimame hapa.

Hii tuzo ya JF kwangu ni ya tatu.
Tusiwabughudhi JF.
 
Chief...
Kisa ni kirefu lakini nitakueleza kwa mukhtasari.
Uongozi wa Chuo ulitoa ardhi kwa ajili ya ujenzi wa msikiti na kanisa.

Waislam walitangulia katika kutaka kuanza ujenzi wa msikiti baada ya kupata vibali vyote.
Wakati shughuli inataka kuanza Mama Kabaka akawaambia Waislam kuwa hatambui vibali hivyo.

Askari wakaitwa kudhibiti eneo na mabanda yaliyokuwa yamejengwa yakavunjwa na hapo hapo Waislam 11 wakaondolewa UDOM.
OK sasa naanza kuelewa ila hili jambo ni la LINI? Time factor hapa ni muhimu sna. Na maamuzi hayo Dada Gaudensia aliyafanya chini ya mwanvuli gani? Hilo ndio swali langu ili tuweze kuunganisha DOTS na kupata ukweli wa jambo hili vinginevyo kila mtu ataanza kufanya self speculation tu Sheikh Said au siyo!?
 
Speculation za nini...inajulikana wazi Taasisi Kama UDOM mtu mmoja hawezi kufanya maamuzi peke yake..nimjinga au mpumbavu ndiye anayeweza amni vinginevyo!
 
Jones...
Najitahidi kujibu maswali kadri ninavyoweza ila wewe unataka nijibu upendavyo wewe.

Hao wanabodi siwaoni nakuona wewe tu hapa ndiye unataabishwa na historia hii.

Kuwa nje ya swali lako ungeshukuru kwani nakufunza mengi usiyoyajua.

Ulipata hata siku moja kujua kuwa hotuba ya TANU UNO 1955 alikuwanayo Abdul Sykes toka 1950?
Kama huwaoni wanabodi wengine kwa hali kama hii hatuwezi kufika hitimisho!
 
Speculation za nini...inajulikana wazi Taasisi Kama UDOM mtu mmoja hawezi kufanya maamuzi peke yake..nimjinga au mpumbavu ndiye anayeweza amni vinginevyo!
Kwa hiyo unasema huyo Gaudensia siye aliyefanya hayo maamuzi bali ni Taasisi and in this context ni UDOM. Naamini unajua tunazungumzia nini, hivyo wewe huamini kuwa Gaudensia ni mtuhumiwa katika hili bali ni UDOM!? Basi sawa ingawa bado ningependa kujua "kadhia" hii ilitokea lini? Na Gaudensia alikuwa na madarak gani na wadhifa gani hapo UDOM?
 
Kati hao ukiowataja Mimi nimewasoma wote isipokuwa huyo Phombea na Okoch !
Ulitaka wafanyiwe Nini zaidi ya kuandikwa kuwa ni Waasisi was TANU ,Kuwa wakwanza kipewa Kadi no kwa sababu kadi za Kwanza zilitolewa hapo zingetolewa Karagwe kwa kina Kahama ,Kahama Nate aangekuwa mbele!

Mbona kina Sykes n familia kubwa na kila mtu anawajua ...niliwahi kuwa karibu kikazi na mojawao aliyekuwa Meya ...hata huo Udini Hana,la kufuata Dini yake ...siwezi lizungumzia kwa.sababu nilimfahamu kwa muda mfupi ,na kwa macho ya nyama,ukizingatia kuwa hata Dini yake siifahamu vizuri!
Mkuu kuwa umepewa nafasi ya kuandika majarida au utafiti mbali2 haiondoi hisia zetu kuwa una Udini!
Unapofikia hadi.kusema Nyerere alipokujaa Dar ,hakuwa na ndugu kwa hiuo alipokelewa na Baba zako,inaonesha kilicho ujaa moyo wako no chuki,roho mbaya ,husuda na uswaahili!
Duniani kote watu wanapokelewa na wenyeji
Wewe Kama msomi(!?) Kuyapa kipaumbele mambo madogo Kama hayo...ni kujifedhehesha!
Tuwe wakweli!
Kuna kitu ,huwa hakipo sawa kwa upande was Jamii zinazofuata saaana ...Uarabu!
Angalia miji Kama Bagamoyo,Tabora ,Kilwa nk jinsi ilivyochelewa kuendelea!
Na huko kuna malalimiko lukuki,kuwa wanaonewa !
Na hii sio Tanzania pekee,hata Pwani ya Kenya Waislam wanalalamika!
Je inakuwaje Kanisa Katoliki linamiliki eneo strategic mjini Bagamoyo ,ilhal Msikiti Mkongwe upo hapo,na sehemu ya eneo la Msikiti huo unamilikiwa na mtu mmoja!
Hayo maeneo Wazawa walinyanganywa na nani!
TANU,NYERERE AU SERIKALI!?
Juzi nilikutolea mfano was Wilaya ya Kisarawe...UNICEF waliwekeza ktk Elimu kupitiaa Mpango wa Vijana na Watoto Wanaoishi ktk Mazingira Magumu(2000s)
Ndani ya muda mfupi kiwango Cha Ufaulu uliongezeka ,na Kisarawe ikaingia ktk Wilaya Bora Kielimu(nenda kafanye utafiti) je waalipendelewa ?!
Nina uhakika hata project ya DC Joketi,ondoa Zero Kisarawe italeta matunda hivi punde!
Ndugu zetu acheni kudanganywa na watu wachache ambao wanasema wazi wanawatete Baba zao" Hakuna njia ya mkato no mapambano!
Kuna mikoa ilikuwa nyuma kielemu miaka ya 1980 Leo ipo juu ikisshindana na Kilimanjaro!
Hawakulia walisimama na kupambana!
Utasemaje Wachaga walikuwa wanapendelewa ilhaali Wana Shule za Kata tangu miaka ya 60na 70 ambazo huku Pwani bado ni haba?
Hivi hizo familia za babako zako wangekuwa waungwana wangewadhulumu Baba zetu waliopigana Vita Upande wa Waingereza au unataka tulianzishe!🤫
Lombo,
Vitisho vya nini ndugu yangu?

Babu yangu mkuu kaingia Tanganyika kutoka Belgian Congo kabeba silaha kama askari katika jeshi la Wajerumani lakini mwanae babu yangu Salum Abdallah kapigania uhuru wa Tanganyika.

Hii ni historia inayofahamika na ni katika athari za ukoloni.
Umemtaja Kleist Abdul Sykes, Meya wa Dar es Salaam.

1635343007889.png

Kulia ni mimi, Yusuf Zialor, Kleist Sykes, Bubby Bokhari, Abdallah Tambaza.
Waliochuchumaa kulia Abdul Mtemvu, Wendo Mwapachu na Kaisi 1968.

Kleist alikuwa na miaka 20 mimi 18.

Nadhani umeona kuwa sisi wazee wetu walikuwa katika harakati za siasa za kupigania uhuru wa Tanganyika.
 
Kama huwaoni wanabodi wengine kwa hali kama hii hatuwezi kufika hitimisho!
Jones...
Mimi hapa niko darasani nasomesha yale ambayo wengi hamkuwa mkiyajua.
Siko katika ubishi.

Nimemeeleza yaliyotokea UDOM kwangu imetosha.

Ulijua kuwa hafla ya kumuaga Mwalimu Nyerere safari ya kwanza ilifanyika katika jengo la Al Jamiatul Islamiyya fi Tanganyika?

2900416_IMG_20210827_104805_42.jpg

Kulia Bi. Chiku bint Said Kisusa, Bi. Titi Mohamed na wa kwanza kulia ni Bi. Tatu bint Mzee naJulius Nyerere ni huyo hapo katikati uwanja wa ndege Dar es Salaam safari ya kwanza UNO February 1955.
 
Saint...
Majibu kama haya ni majibu na kwangu mimi na wengine ni changamoto.

Wataalamu katika baadhi ya vyuo nikiwwaonyesha majibu haya hunipa kazi ya zaida wanaomba nikusanye yote mfano wa haya mwisho wa mjadala kwa ajili ya uchambuzi.

Nakuweka moja ya data ambayo niliwapelekea uisome kisha In Shaa Allah nitakuletea majibu yao:

''Lakini tuende kielimu.

Ninayo ripoti ya mwaka huu.

Waliofanya mtihani wa darasa la saba kuingia darasa la tisa, asilimia 71 Waislamu.

Asilimia 29 ni wengine.

Walioshinda katika wale asilimia 71 ni asilimia 21. Katika wale 29 walioshinda tena sema mwenyewe.

Katika asilimia 29 waliokwenda shuleni ni asilimia 79. Katika asilimia 71 waliokwenda darasa la tisa ni asilimia 21.

Sasa kuna moja, ama Waislamu wajinga ama akili yao haifanyi kazi, ama mtu ukiwa Muislamu wewe huna kitu, ama kuna kitu.

Sasa namwomba Waziri anayehusika, anaposema aseme ya kwamba kwa hali ilivyo Waislamu wameumbwa wajinga. Au kwa hali ilivyo kuna sababu kadha, kadha.''

(Hotuba ya Mh. Kitwana Kondo (MB) aliyoitoa Bungeni Dodoma, 1999)

Tizameni haya na tujadili.
Kama hawakwenda basi ujue hawakufaulu,inamaana hawana akili kama ulivyosema.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom