Garlic Chips | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Garlic Chips

Discussion in 'JF Chef' started by situmai, Jul 6, 2012.

 1. situmai

  situmai Member

  #1
  Jul 6, 2012
  Joined: Jun 29, 2012
  Messages: 85
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 15
  please instruct me on how cook garlic chips with parsley leaves
   
 2. Roulette

  Roulette JF-Expert Member

  #2
  Jul 6, 2012
  Joined: Dec 15, 2010
  Messages: 5,618
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 0
  yield: Makes 4 servings
  In this baked version of shoestring potatoes, the texture of the fries varies - some are crisp and some soft, but all are delicious.

  Ingredients:

  • 4 medium russet potatoes (about 1 3/4 pounds), unpeeled
  • 2 tablespoons canola oil


  • 1/4 cup chopped fresh parsley
  • 2 garlic cloves, minced
  • Coarse salt

  Cooking: Position rack in center of oven and preheat to 425°F. Cut potatoes lengthwise into 1/3-inch-thick slices, then cut lengthwise into 1/3-inch-wide strips. Pat potato strips dry with paper towels. Combine potatoes and oil in large bowl; toss to coat well. Divide potatoes between 2 large baking sheets; spread in single layer. Bake until potatoes are deep golden brown, turning and rearranging potatoes frequently, about 40 minutes.
  Transfer potatoes to bowl. Toss with parsley, garlic and coarse salt.

  [​IMG]   
 3. Michael Amon

  Michael Amon Verified User

  #3
  Jul 7, 2012
  Joined: Dec 22, 2008
  Messages: 8,741
  Likes Received: 707
  Trophy Points: 280
  Madam Roulette...what kind of food is this?
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 4. Roulette

  Roulette JF-Expert Member

  #4
  Jul 7, 2012
  Joined: Dec 15, 2010
  Messages: 5,618
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 0
  French Fries with parsley and Garlic...
   
 5. Michael Amon

  Michael Amon Verified User

  #5
  Jul 7, 2012
  Joined: Dec 22, 2008
  Messages: 8,741
  Likes Received: 707
  Trophy Points: 280
  Ngoja nipite nisije umwa tumbo bureeee kwa kula vyakula vya ajabu ajabu.
   
 6. M

  Mafuluto JF-Expert Member

  #6
  Sep 3, 2012
  Joined: Aug 25, 2009
  Messages: 1,602
  Likes Received: 234
  Trophy Points: 160
  cha ajabu hapo ni nini ?

  Waliozoea viporo utawajua tuu

   
 7. Michael Amon

  Michael Amon Verified User

  #7
  Sep 3, 2012
  Joined: Dec 22, 2008
  Messages: 8,741
  Likes Received: 707
  Trophy Points: 280
  Mkuu ukisoma maelezo ya uandaaji wa hiki chakula utagundua kuwa chakula hiki kimeandaliwa kwa ktumia kitunguu swaumu ambacho hakifai kwa mtu mwenye vidonda vya tumbo. Mimi ni mmoja wapo wa hao wanaosumbukiwa na huo ugonjwa na nimekuwa nikiumwa kwa zaidi ya miaka saba sasa
   
 8. Z

  Zion Daughter JF-Expert Member

  #8
  Sep 3, 2012
  Joined: Jul 9, 2009
  Messages: 8,936
  Likes Received: 58
  Trophy Points: 145
  Vitunguu saumu na vidonda vya tumbo haviendani kumbe....???
   
 9. Michael Amon

  Michael Amon Verified User

  #9
  Sep 3, 2012
  Joined: Dec 22, 2008
  Messages: 8,741
  Likes Received: 707
  Trophy Points: 280
  Sio vitunguu swaumu tu, hata tangawizi, pili pili na vyakula vyote vyenye acid hadi nyanya.
   
 10. Rubi

  Rubi JF-Expert Member

  #10
  Oct 10, 2012
  Joined: Oct 5, 2009
  Messages: 1,623
  Likes Received: 48
  Trophy Points: 145
  Du. Wengine kwtu ndo dawa. Wewe kwako ni mwiko . Mimi nilisumbuliwa sana na vidonda lakini baada ya kugundua vitunguu swaumu, pilipili mbuzi, na ndimu ni dawa tosha ya vidonda vya tumbo siku hizi limao au ndimu havikosekani kwenye friji, vitunguu swaumu havikosekani ndani, na nina kula kila kitu isipokuwa vile ambavyo kwangu ni haramu na vile ambayo kwangu najua vtahatarisha afya yangu.

  Naamini wewe kama ni mgonjwa wa vidonda vya tumbo utapona kama ukitumia juisi ya kitunguu swaumu iliyochanganywa na asali kiasi cha kijiko cha chai asubuhi na jioni kwa muda mrefu kidogo, pia pendelea sana kutumia karoti, nanasi, papaya. na vfananavyo kila siku uwezayo unaweza kuushinda ugonjwa bila kusahau juisi ya kiini cha yai bichi la kuku wa kienyeji uchanganye na asali. itakusaidia sana.

  By the way pole sana najua vinavyotesa.
   
 11. Rubi

  Rubi JF-Expert Member

  #11
  Oct 10, 2012
  Joined: Oct 5, 2009
  Messages: 1,623
  Likes Received: 48
  Trophy Points: 145
  Weye déjà vous habiter en France? la curiosité!
   
 12. Michael Amon

  Michael Amon Verified User

  #12
  Oct 10, 2012
  Joined: Dec 22, 2008
  Messages: 8,741
  Likes Received: 707
  Trophy Points: 280
  Shukrani kwa ushauri wako mkuu.
   
 13. BADILI TABIA

  BADILI TABIA JF-Expert Member

  #13
  Oct 18, 2012
  Joined: Jun 13, 2011
  Messages: 30,873
  Likes Received: 6,227
  Trophy Points: 280
  hii kitu ni taaamu, baada ya kuwapikia watoto siku hizi ikifika jumamosi nasumbuliwa niwatengenezee....abarikiwe aliyeleya recipe hii hapa
   
Loading...