Kaka yake Polepole kakosea kusema ana chip mwilini

Kaka yake Polepole, Augustino Polepole ambaye alithibitisha mwamba katekwa. Lakini alikosea kuweka wazi mwamba ana chip mwilini. Sasa si hii itawafanya watekaji wa mdismembered mwili wake kuukataka Kata kutafuta hiyo chip na Ku scattered kuutawanya mwili.

Mods am scared please help me!
Hebu punguzeni kuandika swala la Mheshimiwa Polepole. Mnawapa promo watekaji..

FOCUS na agenda kuu ya 1029 ndio iwe muhimu zaidi.

Mapambano ni kusonga mbele sio kurudi nyuma.
 
Kama ndio maelekezo aloyopewa na HP mwenyewe unajuaje?Hii pia itawatisha watekaji kumuachia haraka kwa kuogopa kujulikana maana hawajui hio chip inapeleka signals wapi
 
Kaka yake Polepole, Augustino Polepole ambaye alithibitisha mwamba katekwa. Lakini alikosea kuweka wazi mwamba ana chip mwilini. Sasa si hii itawafanya watekaji wa mdismembered mwili wake kuukataka Kata kutafuta hiyo chip na Ku scattered kuutawanya mwili.

Mods am scared please help me!
Dah ! Ghayo Mabhangi 😄
 
Hana Akili.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom