Gari ya wanafunzi/primary imewekwa Tinted

Gari ya wanafunzi/primary imewekwa Tinted

Nataka kujua Tinted ina affect vipi performance!!
 
Ukisema uwende mwenyewe kwenye hiyo shule kusema Hilo jambo, ukitoka tu utaskia "huyu mzazi nae ana maneno na uongo mbona wenzake hawajaleta swala kama Hilo hapa😁🤣🤣
 
Back
Top Bottom