Gari ya wanafunzi/primary imewekwa Tinted

trafiki kila siku wapo barabarani --- wazazi wa hao watoto kila siku wanaliona hilo gari.

na lawama tutawapa serikali- -- uwajibikaji kwenye taifa hili tunatupiana mzigo
 
Nia ya mwenye shule ni kubeba watoto kupitiliza asisistukiwe,kumbe anatengeneza mazingira hatarishi
 
trafiki kila siku wapo barabarani --- wazazi wa hao watoto kila siku wanaliona hilo gari.

na lawama tutawapa serikali- -- uwajibikaji kwenye taifa hili tunatupiana mzigo

Pamoja na wote hao serikali haiwezi kukwepa lawama!

Kwani kazi yao nini? Au miye na wewe bila mleta mada kuyasema leo tungeyajulia wapi haya? Au Kwanini mleta mada ndugu Mowwo hakuyasema haya jana?

Utamlaumu mleta mada kutokusema jana?

Mbaya wetu ni tuliyempa uwajibikaji kwenye hili na kwa vile hafanyi, huyo ni muhuni tu, asema Polepole!
 
  • Thanks
Reactions: Lax
Pamoja na wote hao serikali haiwezi kukwepa lawama!

Kwani kazi yao nini? Au miye na wewe bila mleta mada Leo tungeyajulia wapi haya? Au Kwanini mleta mada ndugu Mowwo hakuyasema haya jana?
haya uliyoyandika nayaunga mkono asilimia 100,

na naendelea kukazia hoja niliyoitoa. --- mimi hua nasema kila siku "watanzania wengi tunataka mabadiliko bila kuhusika"

kama wananchi tungekua responsible kwa mshikamano hilo basi lizingeweza hata kutufikia jukwaani hapa,

ndo lengo la hoja yangu ile. naimani umenipata mkuu
 
Tuko wote mkuu na ndiyo maana hatupaswi kuruhusu egoism:

Lema alituharibia wadau kwenye mhadhara wa jana na Polepole

Bila kujali inakotoka!

Joka Mkuu, Tinde habari ndiyo hiyo.
 
naam mkuu,

nb: mimi binafsi sina imani na polepole 😁

Mandela alikuwa na Imani na kina Buthelezi na hata makaburu waliomtesa, kusaliti hata kuuwa watu na nchi ikakombolewa.

Mwenzetu ni mwenye mlengo wetu leo si jana.

Kwa hIyo wewe una Imani na mwamba au kina Kigaila wa jana ila siyo Polepole wa leo?

Kwa mawazo kama yenu kumwagwa oil tutaendelea kukusikia kwenye runinga Bangladesh huko!
 
sipo deep sana kwenye siasa mkuu --- mimi hua napiga analysis zangu binafsi na kusubiri matokeo, na kadiri matokeo yanavozidi kuja kama nilikisia kwa asilimia kadha naendelea kuamini analysis zangu, polepole siwezi ingia mtego wa kumsapoti , namuona anapambania chama chake tu pamoja na mgogoro na aliyeshika kiti hivi sasa

hoja anazotumia kua ni za kweli hazinifanyi nimsapoti ,

ila kama harakati hizi zitatoa matokeo chanya ambayo hata mimi nayataka nitamuunga mkono huko mwishoni

kama Mwamba kafanya sembuse polepole 😁
 
Ku m support au kutokum support ni suala binafsi linalokwenda kizaa jamii hii inayozaa mamlaka zisizoona wala kusikia hadi tunaongelea hili la school bus.

Kuwa hauko deep in politics si sifa bali ni faida kwa wahuni na serikali yao na ndiyo maana yote ya namna hii lazimabyatusibu!

Kumbe ukadhani watawajibika vipi kwa watu wasiokuwa na ufahamu deep enough kuwawajibisha?

Watu kama wewe ni mtaji muhimu sana Kwa wahuni na serikali yao.

Ukweli mchungu ila habari ndiyo hiyo ndugu.
 
  • Kicheko

bado nasimamia analysis zangu mkuu --- na so far naona mambo yanaenda mulemule tu, until further notice

kwenye mtaji ni 50/50 hata mashabiki wa polepole wanaweza kua ni mtaji - muda ndo utaeleza

ukiwa deep sana kwenye politics ndo unakua kama wale mashabii die hard wa FAM
 
Wacha wahuni waendelee kuwakabia juu hadi mtakapoelewa mkiwa mmechelewa mno.

"Jitenge na siasa, uwape wajinga fursa ya kukuamulia wewe na wanao mustakabala wenu."

Habari ndiyo hiyo.
 
nimeweka screen mbili hapa moja nanenane SSH moja polepole 😁
 
Nilikuwa na moja tu niweze ku concentrate.

Wapumzike kwa amani: Mkapa, jiwe na wote.

Kumbe ndiyo maana jiwe akaomba akafie nyumbani kwake. Kumbe aweza kuwa alikuwa mateka.

Wahuni si watu wazuri!

Cc: Determinantor, GENTA, JokaKuu
 
  • Thanks
Reactions: Lax
MKuu wewe Hadi umeona ila mamlaka wao kumbe si viziwi tu kama wavyojinasibu bali na kuona hawaoni?

La kuvunda lini likawa na ubani? Unalosema hapa ni Moja tu. Wapi tuko salama?Au wewe huoni hivyo? Tukimwaga oil tutaanza upya.

Tunastahili mwanzo mpya.
🙌oil tunamwaga lini sasa ndo swali
 
Back
Top Bottom