Gari ya mwendokasi yapata ajali Shekilango

Gari ya mwendokasi yapata ajali Shekilango

Sheria itungwe ya dharura atakaye ingia na gari kwenye barabara za mwendo kasi apigwe faini hapo hapo ya Milion 60 pamoja na kifungo cha maisha + jela miaka 30 akitoka apigwe viboko 75 na adhabu ya kufanya usafi kutoka posta mpya mpaka kimara mwisho! Kuna watu wanaleta upuuzi mbele ya mambo muhimu


Aisee mkuu una gadhabu! Ungekuwa wewe ndie Polisi ukimkamata atakutambua!
 
poleni kwa kugonngwa naamini hamjagongwa sana maana msingekuwa na uwezo wa kusema huku
 
Huu mradi kuna kitu,ila kwa vile uliletwa kwa nia njema kwa wananchi basi kuna watu wataumbuka,ipo siku
 
hv hayo magari ya mwendokasi ni manual au automatic transmision?
 
Toa tairi zote wakiulza imekuaje mbna tairi hazipo waambie lilikja hv hv!
 
Madereva wa mwendo kasi wanaamini barabara ni yao wenyewe hata mistakes za kukwepa wanafumbia macho, bora madereva wangeletwa toka china
 
Yawezekana wamiliki wa daladala wanachangia hilo unalo sema.
Lakini tujiulize wamiliki wa huo mradi ambao ni UDA hawashiriki kulihujumu hilo shirika lao kwa faida binafsi?
Tujiulize pia madereva wa hayo mabasi wanakidhi viwango vya udereva ikiwepo na uzoefu wa udereva?
Maana udereva si kuweka gear na kuondoka ni pamoja kupata maamuzi sahihi na ya haraka pindi panapo tokea dalili za ajali.
Hoja yako nzuri, hongera
 
P.didy umejitahidi Leo ushauri wangu Kwa mods humu .ajari za mwendo kasi ziwekee special thread zimekuwa nying..sijui bongo itakuwAje zikija fly over
 
P did ni kilaza kwa alivyoandika.
Ila tulimisi sana maandiko yako!!
 
Weka picha, sio umepigiwa sim na unakuja kama ulivyo amka
 
Pdidy kwanini unaandika vizuri? Tulizoea ule uandishi wako wa kipekee.... embu andika vibaya buanaaa.... ili tufurahi!
 
speed ya mwendokasi inapunguzwa saana mbona mabasi mengine hayagongwi
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom