Umetisha sanaPoleni kwa kugongwa
Umetisha sanaPoleni kwa kugongwa
Nchi nyinginne malori hayaingii mjini mchana, labda hilo linaweza saidia kama utawekwa utaratibu wa malori kuingia mjini usiku.Hii shida ipo na kirahisi naiita ni poor design, barabara zimetengenezwa na kukosa turning radius kwa mabasi makubwa na malori!! Mifano midogo ni njia ya kwenda mabibo kutokea morogoro road, hapa lorry kuingia mabibo haliwezi kupishana na gari linalotokea mabibo kuingia morogoro road, Hapa shekilango kama unatokea sinza huwezi kukata kwenye mzunguko na lorry au basi! Na kwingine kwingi tu!! Poor design
Pdidy umejifunza lini kuandika mkuu ,hongera sana kwa kupiga hatuaUkifuatilia sana haya mabasi unaweza kuhisi kuna opereshen ondoa mwendokasi kunalori limesimama katikati ya barabara inajaribu kukata toka shell shekilango kwendaa ubungo bahati mbaya kontena ni refu
Aliporudi nyuma akuwana MTU anamwelekeza tukaonaa tu anatuletea kontena kama ilivyo Dreva wa mwendokasi anajitahidi kukwepa akaishia kutugongaa loh
Katika siku pdiddy kaandika vizuri basi huu uzi leoJifunze kuandika! Unaandika kama mtoto aliyefeli darasa la nne!
Sasa yakiingia huo usiku yatapita barabara zipi? Maana hapa inasemekana radius ya kukata kona ni ndogo.Nchi nyinginne malori hayaingii mjini mchana, labda hilo linaweza saidia kama utawekwa utaratibu wa malori kuingia mjini usiku.
Semi lenye kontena.Matairi sio zaidi ya nane kweli wameula watoa matairi!sasa hapo cjui ni gari gani itakochomolewa matairi kama mkuu alivyosuggest
Duh ..mkuu hata nikimfumania mgoni wangu, bado siwez waza MPA adhabu Kali namna hii....Sheria itungwe ya dharura atakaye ingia na gari kwenye barabara za mwendo kasi apigwe faini hapo hapo ya Milion 60 pamoja na kifungo cha maisha + jela miaka 30 akitoka apigwe viboko 75 na adhabu ya kufanya usafi kutoka posta mpya mpaka kimara mwisho! Kuna watu wanaleta upuuzi mbele ya mambo muhimu
Wazo zuri ila hii adhabu haitekelezeki mkuu!!Sheria itungwe ya dharura atakaye ingia na gari kwenye barabara za mwendo kasi apigwe faini hapo hapo ya Milion 60 pamoja na kifungo cha maisha + jela miaka 30 akitoka apigwe viboko 75 na adhabu ya kufanya usafi kutoka posta mpya mpaka kimara mwisho! Kuna watu wanaleta upuuzi mbele ya mambo muhimu
Yaani una maana Pdidy naye K.I.L.A.Z.A?Jifunze kuandika! Unaandika kama mtoto aliyefeli darasa la nne!
Ktk ubora wakePdidy umeandika nini jamani?