Saint Ivuga
JF-Expert Member
- Aug 21, 2008
- 55,030
- 59,682
Hahaha humjui P diddy kweli?Pdidy umeandika nini jamani?
Hahaha humjui P diddy kweli?Pdidy umeandika nini jamani?
Ukifuatilia sana haya mabasi unaweza kuhisi kuna operesheni ondoa mwendokasi. Kuna lori limesimama katikati ya barabara inajaribu kukata toka sheli shekilango kwenda Ubungo.
Bahati mbaya kontena ni refu hivyo aliporudi nyuma hakuwa na MTU anamwelekeza. Tukaonaa tu anatuletea kontena. Mara dereva wa mwendokasi akajitahidi kukwepa ila akaishia kutugonga. Loh
Kakaaa bado shidaa nahisi ukiacha WATU kulipa wakasimame mahakaman NA wapigwe faini ndefu AMA kwenda ndan miezi sita..mnakumbuka ile adhabuu iliotolewa ukitanuua mnakumbuka walivyokuwa NA adabu Leo HII unatanua unapigwa picha NA kulipa faini unaondoka..wekandan uoneeMkuu kwanza poleni,
Lakinu kuwa na Contena refu si bahati mbaya, wala kutokuwa na mtu wa kumuelekeza dereva pia siyo bahati mbaya. Hapo ni uzembe wa Dereva na kiburi kilichotukuka cha hawa Madereva wa Maroli.
Hawa jamaa ukiwakuta wako barabarani nyakati za usiku ni shida, Wanakuwashia taa mwanga wa mwisho kabisaaaa, then wanapita nusu ya site yako.!! Ukiwaambia tabia yao wanakuonyeshe Dole!! Jamaa ni walevi na majivuni sana.
Kwa mujibu wa maelekezo ya Baba J, Wang'oe tyre zote za hilo roli wakauze, Jinga sana haya madereva
BACK TANGANYIKA
Huu ujumbe mpwa ungeufikisha kule jukwaa la siasa ungesaidi!Hahaaaa hao mavilaza kweli kama si mapopompoo mnadili NA jesca mtu ana uhakika wa kumaliza loh jalini dadazenu wanafanywaje vyuoni ili wafaulu NA wakitoka wanakuwa wazima AMA lah...achaneni NA jesca mnapoteza muda wenu
Pdidy tunajadili ajali uliyoipata hayo ya bint umeyatoa wapi tena?Hahaaaa hao mavilaza kweli kama si mapopompoo mnadili NA jesca mtu ana uhakika wa kumaliza loh jalini dadazenu wanafanywaje vyuoni ili wafaulu NA wakitoka wanakuwa wazima AMA lah...achaneni NA jesca mnapoteza muda wenu
Ooh Mpwa anza soma mwanzo kuna mpumbavuu badala ya kujadili ajalii anamjadili binti wetu hana adabu awazi dadazake kama watatoka vyuoni wazima AMA lah... Pole mkuu chk mwanzoni utamkutaPdidy tunajadili ajali uliyoipata hayo ya bint umeyatoa wapi tena?
Mpwa watu wa namna hiyo achana nao endelea na yako wanatabia za kuanzisha zao ktkt ya thread za wenzao, hata hivyo itakuwa nimeruka hiyo pageOoh Mpwa anza soma mwanzo kuna mpumbavuu badala ya kujadili ajalii anamjadili binti wetu hana adabu awazi dadazake kama watatoka vyuoni wazima AMA lah... Pole mkuu chk mwanzoni utamkuta