Gari wanazohitaji waTanzania hazipatikani dunia nzima

Nina bmw 320I mwaka 2011 mkuu, haina mwezi.
Niliijua hio gari hapa hapa jf. Hata kuna mtu alitaka tufanye biashara hapa hapa jf nikaona niache niagize mwenyewe.

Sina gari ya mwaka 2017, lakini hii inanifaa,crown ni gari luxury lakini ukweli ni mchungu, crown za bongo za mwaka 2004 si ndio wengi wanazo? na zimekuwa common mno.
Sijataka kusikiliza ya watu eti bmw zipo over engineered, sijui ikifeli umeme unakuwaje......no!!!! nimechukua kitu roho inapenda, na sijajutia maamuzi.

Mtu anakuwa ana gari ya mwaka 2004 halafu anaponda gari za maana kwamba hazifai n.k, n.k....ndio dhumuni la kuanzisha huu uzi kwamba tusikariri maisha, tubadilikeni ndugu zangu.
Mkuu mbona una overboard! Andiko lako linazungumzia ''Gari wanazohitaji watz hazipatikani dunia nzima'' hapo hapo ukasema ndio mana wengi wanaishia kutembelea Ist, Vitz, crown na n.k kwa maana ya unafuu wa mafuta na maintenance. Naamin wengi tumejiuliza how umeingiza Crown!. Crown ni luxury car na zina-performance kubwa (output energy) ukilinganisha na Ist na ata ktk matumizi ya mafuta Crown consumpts more than Ist, ktk mazingira yoyote yale hizi gari mbili hazifanani. Then unasema Crown nyingi zilizopo Bongo ni za miaka ya 2004, 2005, 2006 na ni gari common😂😂 ndio sababu pekee za kufafanisha na ist😀😀😀 which is very illogical. Hapo hapo unaanza kuzisifia gari za kijerumani ambazo ata hizo nyingi zilizopo hapa bongo ni za miaka uliyotaja na ni common vilevile. Anyway tupia picha ya Bmw yako ya mwaka 2011 tuione mana maelezo bila picha hayanogi😀
 
Mtanzania anahitaji gari moja yenye sifa zifuatazo.

1-isiwe inakula mafuta, ikiwa inakula mafuta utasikia (jini hilo).
2-Gari ambayo ikiharibika vipuri vipatikane kwa bei nafuu.
3-Gari ambayo ina acceleartion kubwa na top speed kubwa mfano 220km/hr....300km/hr
4-Muonekano mzuri na imara.
5-Yenye gharama nafuu katika utengenezaji.
6-Iwe na uwezo wa kupita off-road.
7-Isiwe old model.
8-isiwe na mifumo na sensors nyingi za umeme (mfano bmw).

Na kinachonimaliza kabisa...

9-Iwe na bei nafuu.

Utabaki kuendesha ist na vitz mpaka unazeeka..

Ushauri kwa waTanzania wenzangu, tutabaki kuwapigia makofi na kuwasifia wanaume wenzetu wanaomiliki range rover na discovery,bmw x6,v8, benz n.k...
Huwezi hata siku moja kupata gari yenye hizo sifa zote thats why bara bara zimejaa ist, wish, crown, harrier n.k

Kumbuka unapokwenda kununua gari fahamu gari haitumii mtori wala uji, gari inatumia mafuta, brevis tu zimewashinda kila siku mnapiga kelele, mtamiliki gari gani nzuri yenye kasi, luxury, comforatable na speed kama mnakimbia majukumu?

Badilikeni ndugu zangu, acheni maisha ya kukariri, kwa East Africa naona sisi ndio tunamiliki gari za kishamba kuliko wote.




1200px-2018_BMW_X6_xDrive30d_M_Sport_Automatic_3.0_Front.jpg


2021-Tundra-1-copy.jpg


USC90JES052F021001.jpg
Sisi tusokua wabongo na tunapenda Gari zenye sifa kama hizo tunacomment wapi?
 
jamaa unavyobishana utadhani unaendesha G-wagon kumbe unaendesha harrier tena ya kupewa na shangazi kwa bei nafuu(umesema mwenyewe hii), kua mjuaji huku mfukoni bila bila ni raha sana aisee.
Kumbe ndo unavyodhania?

Hiyo ni gari ya kwanza mzee. Miaka ya 2013 huko.

Gari nimeiweka tu ndani.

Hata kama naendesha bmw 3 series ya 2005. Ila ni better off na hivyo vi crown vyenu.
 
Mwisho wa siku kila mtu anaishi na alichonacho.
Kuna anayeenjoy kilometer nyingi town kwa mafuta hafifu,
kuna anayeenjoy kutembea kwenye makorongo kama yupo kwenye rami,
kuna anayeenjoy kupita kila gari akienda mkoa,
kuna anayeenjoy kuwa na gari la kipekee kwenye parking space,
kuna anayeenjoy kubeba "mizigo" ya design yote kwenye
 
Mwisho wa siku kila mtu anaishi na alichonacho.
Kuna anayeenjoy kilometer nyingi town kwa mafuta hafifu,
kuna anayeenjoy kutembea kwenye makorongo kama yupo kwenye rami,
kuna anayeenjoy kupita kila gari akienda mkoa,
kuna anayeenjoy kuwa na gari la kipekee kwenye parking space,
kuna anayeenjoy kubeba "mizigo" ya design yote kwenye
Nimechukua ya kwanza boss "Mwisho wa siku kila mtu anaishi na alichonacho."
 
Kumbe ndo unavyodhania?

Hiyo ni gari ya kwanza mzee. Miaka ya 2013 huko.

Gari nimeiweka tu ndani.

Hata kama naendesha bmw 3 series ya 2005. Ila ni better off na hivyo vi crown vyenu.
Hahaha 2013 kumbe ndio ulipata gari yako ya kwanza?No wonder bado una kaushamba flani ka magari,ukishatoka hio stage ya unyokaaa utazoea tu.

Halafu kelele mingi hivi kumbe unaendesha bmw 3 series (entry level car) tena ya miaka 16 iliyopita?😃😯nikajua unasukuma M3/M5/X6/ma AMG huko.
 
Hahaha 2013 kumbe ndio ulipata gari yako ya kwanza?No wonder bado una kaushamba flani ka magari,ukishatoka hio stage ya unyokaaa utazoea tu.

Halafu kelele mingi hivi kumbe unaendesha bmw 3 series (entry level car) tena ya miaka 16 iliyopita?nikajua unasukuma M3/M5/X6/ma AMG huko.
How deceived you are. Keep guessing my man.

Keep guessing.

Infact i'm neither driving german nor japanese cars.

I'm planning on getting a proper german machine by 2022.

That can put 0-100kph under 5 secs.

Nimeendesha gari za toyota i know what am talking about.
 
Unapewa pesa kwa ajili ya kazi za field Tabora, Kigoma na Katavi. Unaambiwa kazi ni ya mwaka mzima, field ikiisha gari linabaki kuwa mali yako. Gari zilizopendekezwa field ni Ford Everest / Toyota Fortuner na BMW X5. Unaenda kwa gari lipi? Na sababu kuu ni ipi?
1613329244051.png
1613329279961.png
1613329296020.png
 
How deceived you are. Keep guessing my man.

Keep guessing.

Infact i'm neither driving german nor japanese cars.

I'm planning on getting a proper german machine by 2022.

That can put 0-100kph under 5 secs.

Nimeendesha gari za toyota i know what am talking about.

Hahah wacha maneno mengi blaza,we endesha zako tu harrier old model wala hakuna mtu atakayekushangaa.
 
Narudia tena wajapani wanawaibia sana gari ya 2010 wanawauzia bei hiyo wakati gari ya zamani kwa bei hizo daah nimeenda scrape yard moja nimekuta Lexus hybrid ya 2012 bei waliyoniambia ni ya kutupa na ntaichukua maana bei niliyouliza huko ni hatari mno...
Usisahau kuangalia kikokotoo cha tiaraei pia
 
Back
Top Bottom