Duh
You know why? Wanawake wanapenda faragha, kujisitiri/kusitiriwaKwanza wanawake wa sasahivi wenyewe wanaangalia cha kwanza gari, hata ukipishana nae mtaani ukiwa ndani ya gari yako unamng'oa chapu tuu, na ninachowapendea wanawake hajiulizi gari ni lako au umeazima, yeye akikuona unadrive tuu umevaa shati lako safi limepigwa pasi likakubali, anajua ni lako na anaona labda wewe ni kigogo fulani au mfanyabiashara mkubwa, gari ni muhimu jamani.
Wewe hata uwe na viwanja vingapi, ukipita mtaani watoto wazuri hawatajua kama una kiwanja au nyumba.
Juzi nakatiza zangu mitaa fulani nipo ndani ya ndinga, mtoto mkali akapita nikapiga honi mara moja tuu nikapaki pembeni, mtoto huyo akaja, nikashusha kiyoo maongezi machache tuu namba hii hapa nikasave, na lifti nikampa, na mabusu motomoto kwenye gari manusura nilete ajali barabarani maana ilikua hatari sana.
Sent using Jamii Forums mobile app
Gari kama languInategemeana na aina ya Gari,sio una kigari chako Kama chapati alafu ujimwambafai utang'oa demu mkali labda pompimpo
Gari muhimuSidhani ikiwa gari muhimu sana, labda uzungumzie kwa class fulani ya maisha...
Sent using Jamii Forums mobile app
kwangu haikuwa na hata sasa, gari naamini ukiwa na standard fulani ya maisha, sio iwe kivutio upate mke
Kwani hauwezi kupata mtoto mkare kwa kutumia kuwadi ukawa umejikalia zako raha mstarehe, hadi uzurule?umeongea ukweli, gari ni muhimu sana kwa sie wazee wa kugegeda, bila gari unapata tabu sana kuchukuwa warembo wazuri
Kwani hauwezi kupata mtoto mkare kwa kutumia kuwadi ukawa umejikalia zako raha mstarehe, hadi uzurule?
Sent using Jamii Forums mobile
Ah kama hiyo ipo basi mbona wameturahisishia wagegedaji. Mwaga madini mkuu