mwanateknolojia
JF-Expert Member
- Nov 17, 2014
- 1,026
- 1,750
Mkuu kwani Chanika hakuna mademu hadi uwafuate Kinondoni?Nyumba umejenga chanika, ukikatiza maeneo ya kinondoni nani atajua una mjengo?
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu kwani Chanika hakuna mademu hadi uwafuate Kinondoni?Nyumba umejenga chanika, ukikatiza maeneo ya kinondoni nani atajua una mjengo?
Sent using Jamii Forums mobile app
Poa mkuuwewe ndo hauelewi au una ushamba..
mimi sina gari lakini mzigo ninaoburuza wenye magari wamesanda..
Kumpa mwanamke ni akili sio kuwa na gari.
Kwa watoto wa shule utawapata
Sent using Jamii Forums mobile app
Nmetoa mfano ili ujue kwamba kama una nyumba utawapata wale majirani zako tuu wanaojua unanyumba, lakini kama unagari utawapata hadi wa mbaliMkuu kwani Chanika hakuna mademu hadi uwafuate Kinondoni?
Kweli, ni geto linalotembeaGari inaokoa sana zile pesa za show time. Unapiga huko humo kweny gari...
Bongo tuko nyuma sana. Madem Ulaya gari siyo k2 cha kuwa impress kabisa!
Sent using Jamii Forums mobile app
Tena mapungazeze kabisaaaa
Unatambuaje hilo
Karantini ya hoteli ipi hapa mjini.
Karantini ya jfwalinipiga banKarantini ya hoteli ipi hapa mjini.
Mimi nimeingia jana usiku kutoka Chato nikawekwa karantini pale Ubungo