becknature
JF-Expert Member
- Mar 9, 2017
- 744
- 982
Plate number sio ubora wa gari, mana unakutana gari no. E au D iko garage wanafanya ukarabati wa Engine au gear box. Aidha, gari ni matunzo but likely old car inaweza kua na changamoto zaidi kuliko mpya.Mimi kwangu gari si plate namba sababu mimi sio dalali kwamba nanunua gari ili niuze , mimi gari i kwa matumizi yangu hivyo hata gari ikiwa namba T 101 AAA ili mradi tu board yake imenyooka iko vizuri nachukua, maana nina kigari cha field nilikichukua kwa padre mmoja hapa Rav 4 old nambaT 1** A** aisee gari ilikuwa bado mpya kabisa kuanzia board hadi engine ,naipenda kuliko nyingine nilizo nazo, na huwa na kuwa na uhakik wa safari nikiwa na hii Rav 4 kuliko hilo lingine la kisasa ambalo umeme kila sehemu
Mimi pia ni Mzee wa T 3 .... A.... hilux ln166 imekula vumbi la mererani na vumbi la Mpwapwa na hakuna shida kabisa plus safari za Arusha - Dodoma za kutosha.