I only doubt its sustainability... The fare should be 1000 tzs per person.
Mwakyembe Jembe.Nakutakia kila lenye kheri wewe ni kiongozi wa kweli.Umefanya kazi imeonekana. Tunasubiri uwanja wa ndege wa mbeya Nao uzinduliwe It is long overdue.
Tuko pamoja mkuunafikiri si busara kuanza tuu kuukosoa huu mradi bila hoja za mantic... Kuna humu ni wazuri saana wa kupinga tuu bila hata kufanya proper analysis. Tuuache huu mradi uanze... Tusome challenge zake na kukabilianza nazo... Ndio progress inavyokuja hivyo.... Huwezi kuanza tuu to perfections, sometimes perfections comes after several trials.
Kwa maoni yangu mimi binafsi... Kujaribu si kushindwa, tusonge mbele... Ni bora kuja kusema tulijaribu tukashindwa kuliko kusema tuliogopa kujaribu!
Hii ndo ilikuwa wasiwasi yangu toka niliposoma habari hizi. Sielewi matumizi ya Diesel kila siku pamoja na mishahara ya waajiriwa. Hizo cost za kawaida tu kama zitaweza kujilipa acha maintenance..Pamoja na yote sidhani kama mradi huu utadumu..
Duuu! Kweli Maendeleo yanaletwa na wananchi wenye nia. Mafisadi aibu tupu na mabasi yao. Kelele za nauli sasa watakoma ubishi.
Naomba msaada nijue route ni kwenda wapi na wapi???