Gari la serikali STL 6258 likivunja sheria!

Gari la serikali STL 6258 likivunja sheria!

1.Sio lazima taa za breki zikiwaka gari iwe imesimama. Hata ukiendesha 100kph ukigusa breki tu taa za breki zinawaka.
3. Kutoka kwa mpiga picha hadi kwenye hio Land Cruiser kuna magari at least mawili hivyo ni zaidi ya mita tano.

brother kitendo cha kuwaka taa za brake ni dalili tosha kuwa dereva alikuwa anapunguza mwendo, so anaweza sema nilikuwa nasimama!
 
Tatizo wengine wanabwabwaja tuu humu kuna kitu hatuelewi. Ni kweli sheria zipo, ila jiulize nani kazitunga? Kwa nini kuna magari yanapita njia ya mwendo kasi na hayakamatwi? Kwa nini kuna watu wanapita kwenye mataa bila kujali kama iko red au green? Tena traffic inabidi asimamishe watumiaji wengine ili watu flani wapite? Kuna magari yanaweza kuvunja hizo sheria tena ikasababisha ajali akakugonga, lakini mkifika mbele ya sheria sheria hiyo hiyo inakugeukia wewe ndo umekosea ulikuwa unahatarisha usalama wa wakubwa wa nchi.

Mambo mengine tujifunze kunyamaza.
Umeandika upumbavu wa level ya watoto wa zamani ambao walijua TEKSI ni muundo wa gari. Magari ya huduma maalum yapo na tunayafahamu
 
Dah...hoja yangu siyo kwamba yuko juu ya sheria au la...hoja yangu ni ule mchakato wa kumkamata utakavyokuwa[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Sent using Beretta ARX 160
Aroo we nikifikiri kichwa kiko sawa kumbe unachemka!
Kuna DED, mteule wa rais, sasa ananyea debe.
Katika kutekeleza majukumu yake akaingia kanisani na kuua mkwepa kodi.
Mtuhumu naye sasa mtuhumiwa wa mauaji.
HAKUNA aliye juu ya sheria mtu akiuwawa kwa uzembe.
 
Mkuu punguza presha na maisha utakufa mapema....
Mambo ya kuua mtu Hilo gari yametoka wapi!!?hiyo Ni zebra cross!!?
Huyo Askari polisi nae Ni mwananchi vilevile.,na hakuna anaemlisha mwenzie kwenye hili taifa mkuu,Ni Kodi za Kila mvuja jasho katika maisha yake ya Kila siku ndio zinaendesha mambo...mambo ya kulishana Ni nyumbani kwako na familia yako!!!
NB: hata ewew unaetumia simu kupiga picha ukiwa unaendesha nawe unakosa labda Kama umepewa lift tu hapo sawa..

Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu inaelekea we ni mgeni hapa mjini.
Usilete mambo ya Igunga au Bukene su Mtambaswala huko.
Hapa mjini wanauwawa wananchi wengi na madereva wa aina hiyo ya huyu wa STL.
Ikifika usiku ndo kabisa hit and run.
Kwa ujinga wako hata huisomi picha, huyo mama mbele yangu anavuka barabara, na hapo si Zebra Crossing, mgonge sasa, debe la lupango linakuhusu.

Nyie wstu msitetee uvunjanji wa sheria barabarani.
 
Ingebidi alete taarifa ya kufumania ama kusutwa?!
wacheni upuuzi watz wengi tunachukulia Mambo POA
hatutaki kufwata Sheria Wala kujifunza Sheria Mambo yetu
kama tumezaliwa kwa waganga wa kienyeji tunaishi kiutabiri tabiri hata weye inaelekea huna ujualo kwenye Sheria za barabarani badala kujifunza unaropoka tu....[emoji240][emoji240][emoji240][emoji240]weee

Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu kwanza we ni jinsia gani? Halafu mbona unaandika ueleweki? Soma na kutafari kabla hujaquote
 
Aroo we nikifikiri kichwa kiko sawa kumbe unachemka!
Kuna DED, mteule wa rais, sasa ananyea debe.
Katika kutekeleza majukumu yake akaingia kanisani na kuua mkwepa kodi.
Mtuhumu naye sasa mtuhumiwa wa mauaji.
HAKUNA aliye juu ya sheria mtu akiuwawa kwa uzembe.
Dah...Kuna makosa ya barabarani ( Traffic case) .....na makosa ya uhalifu/mauaji..... usijichanganye.....
Hivi kuna trafiki anaweza kumkamata RPC "aliyetanua" kweli? Mbona tunawaona humu wanapita kwenye njia za mwendokasi...wanatanua...lakini hawakamatwi ila wanapigiwa saluti ..[emoji41]

Huyo RPC anayetanua, piga picha rusha.
Kuna msmlaka ya uteuzi wake na nidhamu ya kumshughulikia.
 
Mkuu inaelekea we ni mgeni hapa mjini.
Usilete mambo ya Igunga au Bukene su Mtambaswala huko.
Hapa mjini wanauwawa wananchi wengi na madereva wa aina hiyo ya huyu wa STL.
Ikifika usiku ndo kabisa hit and run.
Kwa ujinga wako hata huisomi picha, huyo mama mbele yangu anavuka barabara, na hapo si Zebra Crossing, mgonge sasa, debe la lupango linakuhusu.

Nyie wstu msitetee uvunjanji wa sheria barabarani.
Moja ewew unaechukua hiyo pic una makosa...huyo mama nae anavuka sehemu sio salama nae ana makosa hata akigongwa hapo sheria haipo upande wake sijui unalijua hilo!!?

NB: sheria Ni msumemo ndugu unapomsema mwenzio angalia na ewew umesimamia wapi..usipende kulalamikia wenzako wakat hata ewew unavunja sheria...PUNGUZA CHUKI KIDOGO TU NA WATU WALIOJUU YAKO MUNGU ATAKUSAIDIA.

Sent from my CAG-L22 using JamiiForums mobile app
 
Ha ha ha!
Nani alikuambia niko chini , mimi si mlala hoi.
Ila kwa vile nimepekua vitabu, ni msleep tired.

Najiuliza, hivi watanzania kama ninyi, mbona inakuwa vigumu ku appreciate obeyance of the law even on seemingly trivial matters?
Mtu aliyemo kwemye gari akifahamu anavunja sheria, anaweza tenda haki kwenye mambo mkubwa?

"Yeyote aliye mwaminifu katika mambo madogo, atakuwa mwaminifu katika mambo makubwa; na yeyote asiye mwaminifu katika mambo madogo, hatakuwa mwaminifu katika mambo makubwa. "
Luka 16:10 BHN Luka 16:10 Yeyote aliye mwaminifu katika mambo madogo, atakuwa mwaminifu katika mambo makubwa; na yeyote asiye mwaminifu katika mambo madogo, hatakuwa mwaminifu katika mambo makubwa. | Biblia Habari Njema (BHN) | Download The Bible App Now
 
Tatizo wengine wanabwabwaja tuu humu kuna kitu hatuelewi. Ni kweli sheria zipo, ila jiulize nani kazitunga? Kwa nini kuna magari yanapita njia ya mwendo kasi na hayakamatwi? Kwa nini kuna watu wanapita kwenye mataa bila kujali kama iko red au green? Tena traffic inabidi asimamishe watumiaji wengine ili watu flani wapite? Kuna magari yanaweza kuvunja hizo sheria tena ikasababisha ajali akakugonga, lakini mkifika mbele ya sheria sheria hiyo hiyo inakugeukia wewe ndo umekosea ulikuwa unahatarisha usalama wa wakubwa wa nchi.

Mambo mengine tujifunze kunyamaza.
Hayo yanatokea kwenye banana republics kwa wenzetu sheria za barabarani zinazingatiwa sana tena na kila mtu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hahaha usiposti tena mambo ya umbea... Cheki sasa kila mtu amekudharau
Watu wamezoea kuvunja sheria mpaka anayejaribu kusaidia anaonekana mbaya. Kwa wenzetu kwa picha hiyo dereva angekuwa mikononi mwa polisi, awe ni dereva wa waziri mkuu wa uingereza au waziri wa kawaida, kwao sheria inamhusu kila mtu ndio maana wapo mbele yetu zaidi ya miaka 100.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ha ha ha!
Nani alikuambia niko chini , mimi si mlala hoi.
Ila kwa vile nimepekua vitabu, ni msleep tired.

Najiuliza, hivi watanzania kama ninyi, mbona inakuwa vigumu ku appreciate obeyance of the law even on seemingly trivial matters?
Mtu aliyemo kwemye gari akifahamu anavunja sheria, anaweza tenda haki kwenye mambo mkubwa?

"Yeyote aliye mwaminifu katika mambo madogo, atakuwa mwaminifu katika mambo makubwa; na yeyote asiye mwaminifu katika mambo madogo, hatakuwa mwaminifu katika mambo makubwa. "
Luka 16:10 BHN Luka 16:10 Yeyote aliye mwaminifu katika mambo madogo, atakuwa mwaminifu katika mambo makubwa; na yeyote asiye mwaminifu katika mambo madogo, hatakuwa mwaminifu katika mambo makubwa. | Biblia Habari Njema (BHN) | Download The Bible App Now
Umeulizwa swali dogo unaleta mistari ya biblia...
WEWE UNAEPIGA PICHA WAKATI UPO/UNAENDESHA CHOMBO CHA MOTO HUVUNJI SHERIA!!?AU HIYO NI DASHCAM!!? Na nahuyo mama anapokatiza hapo havunji SHERIA!!!?ukinijibu tutaendelea acha bla bla Kama mwanasiasa.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Umeulizwa swali dogo unaleta mistari ya biblia...
WEWE UNAEPIGA PICHA WAKATI UPO/UNAENDESHA CHOMBO CHA MOTO HUVUNJI SHERIA!!?AU HIYO NI DASHCAM!!? Na nahuyo mama anapokatiza hapo havunji SHERIA!!!?ukinijibu tutaendelea acha bla bla Kama mwanasiasa.

Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu kuwa na akili basi ingalau kidogo itakusaidia maishani.
Haijalishi ni simu ya mkono su dashcam, elimu ndogo tu hata ya darasa la saba ,utang'amua huyo mama na mtoto wssinge cross kama magari ysnatembea.
Pili ,hata kama si zebra crossing mtu ana cross barabara magari yakisimama.
Haihitaji akili nyingi kujua hilo.

Tatu, mstari hio wa biblia ni kwa nafsi yako kama wewe ni huyo dereva au mkuu wake.

If you are hopless ubishi haueezi kukubeba.
Ustaarabu wa barabarani uko mbali sana nanyi.
 
Ndio maana nikakwambia hujui lolote kuhusu sheria sema una Chuki tu ndio inayokusumbua..unaulizwa swali hili unajibu vile ...
1.hiyo pic imepigwa karibu kabisa na mataa ya buguruni Kama hujui hapo Kuna zebra cross mbili kabla hujafika daraja la chuma la waenda kwa miguu huyo mama na mtoto alitakiwa kuangalia option hizo ili ikitokea kagongwa sheria inakuwa upande wake.
2.Ni marufuku kutumia Simu wakat wowote unapokuwa unaendesha chombo chochote Cha moto ndio maana zikawekwa Dashcam...ukijipiga selfie/hujirekodi yote Ni makosa..
3.kuona kosa la mwenzio sio kigezo Cha ewew kutokuwa na kosa kisheria kwa hiyo elimika Kwanza acha papara utakufa mapema..
4.Hapo mbele kwenye Hilo daraja Kuna matrafic na kwenye mataa ya buguruni Kuna kituo mobile Cha polise na huyo dereva anajua so Kama anavunja sheria Kuna sababu,an ewew Kama mpenda haki ungeenda hapo kuwapa hizo namba sio kutuletea mapicha picha humu kumbe una sababu zako..

NB:MSG YANGU YA MWISHO KWAKO NIMEKUPA KIDOGO MWANGA SIKU NYINGINE UACHE CHUKI HATA KIDOGO TU ILI NAWE USIWE MMOJA WA WAVUNJA SHERIA.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
upuuuzi tu unajua nani yupo ndani, ? kabeba nin? anawahi wapi? nani aneendesha? ..ni kweli hati ya serikali?..is it a matter of life and death?...kam hun majib siku nyingin usipost upuuz kam huu
I thought no one is above the law. If there is anything special, next time they should ask for police escort.
Tatizo kila mtu serikalini anaona kama anachofanya ni muhimu kuliko mwingine yeyote, hata kama sio hivyo.
Lets change our behaviours. And use appropriate channels to address our emergencies
 
Back
Top Bottom