Jidu La Mabambasi
JF-Expert Member
- Oct 20, 2014
- 18,381
- 30,359
- Thread starter
- #161
kama wwe ndiye dereva wa hiyo STL ntakuchukia kama ukoma.Ndio maana nikakwambia hujui lolote kuhusu sheria sema una Chuki tu ndio inayokusumbua..unaulizwa swali hili unajibu vile ...
1.hiyo pic imepigwa karibu kabisa na mataa ya buguruni Kama hujui hapo Kuna zebra cross mbili kabla hujafika daraja la chuma la waenda kwa miguu huyo mama na mtoto alitakiwa kuangalia option hizo ili ikitokea kagongwa sheria inakuwa upande wake.
2.Ni marufuku kutumia Simu wakat wowote unapokuwa unaendesha chombo chochote Cha moto ndio maana zikawekwa Dashcam...ukijipiga selfie/hujirekodi yote Ni makosa..
3.kuona kosa la mwenzio sio kigezo Cha ewew kutokuwa na kosa kisheria kwa hiyo elimika Kwanza acha papara utakufa mapema..
4.Hapo mbele kwenye Hilo daraja Kuna matrafic na kwenye mataa ya buguruni Kuna kituo mobile Cha polise na huyo dereva anajua so Kama anavunja sheria Kuna sababu,an ewew Kama mpenda haki ungeenda hapo kuwapa hizo namba sio kutuletea mapicha picha humu kumbe una sababu zako..
NB:MSG YANGU YA MWISHO KWAKO NIMEKUPA KIDOGO MWANGA SIKU NYINGINE UACHE CHUKI HATA KIDOGO TU ILI NAWE USIWE MMOJA WA WAVUNJA SHERIA.
Sent using Jamii Forums mobile app
You think like a low class driver and argue like one.
Ujinga unaojaribu kuutete lazima uchukiwe na watu wenye akili na waadilifu.
Nyie madereva wa serikali mnakufa kijinga sana.
Dereva wa ile Pajero kule Singida kaua ofisi nzima, majuzi Kilombero dereva kaingia mtoni na kuua watano, dereva wa Kigwangala kaua mmoja na Mh Kigwangala kukoswakoswa.
Halafu sasa mijitu mishamba na mijinha kwa kweli anautetea uvunjifu wa sheria, ati tu anaendesha gari ya serikali.
Mtoa podti ni mshamba mno, hujui naendesha gari gani na hujui kuwa hiyo STL ni matumizi mabaya ya kodi zangu.
Mbaya zaidi kwa akili ndogo tu ya kwako nitakuwa na chuki gani kwa serikali?
Ila uwe na uhakika kuwa nina vhuki na wazembe, waharibifu, watovu wa nidhamu kama huyo dereva(inaelekea ni wewe).