Gari la mkopo ni presha tupu

Gari la mkopo ni presha tupu

mnyama k

JF-Expert Member
Joined
Nov 6, 2014
Posts
1,079
Reaction score
344
Nimemkwaruza jamaa kidogo tu ubavuni, we, we, we we, nilijuta. Akashuka mbio tukaanza kubishana, Traffic akawa anatuangalia kwanza tunavyobishana, kisha akasogea karibu akasema hebu pakini pembeni mna sababisha foleni, jamaa anakomaa hapana hadi upime.

Traffic akapima fasta tuka park pembeni, mimi nikawa muungwana nikamwambia jamaa, mkuu nikupe shingi ngapi ukarekebishe, akasema eti yeye sio fundi, hawezi kukadiria, nikamwambia tuongozane nikamrekebishie akaniuliza wapi?

Nikamwambia garage akaniambia eti yeye anagereji yake na hatakubali gari yake itengenezwe na mafundi asio wafahamu.

Yule traffic akaja tena akauliza mnataka nini, nikamwambia mimi sitaki kupotezeana muda ntamrekebishia gari yake, jamaa akaongea ongea na traffic badae akakubali Nikampeleka garage nnayo ifahamu mimi nikaongea na fundi nikamlipa, jamaa akaanza utata tena, eti nani atasimamia gari ikiwa inatengenezwa?, heee" nikamwambia mi nishalipa wewe baki hapa usimamie kwakuwa mimi sijui maswala ya ufundi kwa hiyo sina cha kumuelekeza fundi.

Fundi akaingilia akamwambia acha namba yako ya simu ikiwa tayari ntakupigia, akaacha namba kwa shingo upande, siku iliyo fuata akaenda kuchukua ugonjwa wake wa moyo. Nilishangaa mtu anaiona gari kama binadamu!!!!!!.

Hahahahaaa kama upo humu am sorry.
 
Sindiyo gari yakwanza kumiliki hivyo ndugu acha yapite tu, sababu binadamu tunaangalia mambo kwapande tofautitofauti hvyo kubaliana kuwa tuna utofauti wa maamuzi kwajinsi tutakavyolichukulia hilo jambo
 
You are a fully retard & dullard, how did you suss that the car is under loan?

You little twat ImageUploadedByJamiiForums1425111040.773415.jpg
 
Nime mkwaruza jamaa kidogotu ubavuni, we,we,we we, nilijuta. Akashuka mbio tukaanza kubishana, Traffic akawa anatuangalia kwanza tunavyo bishana, kisha akasogea karibu akasema hebu pakini pembeni mna sababisha foleni, jamaa anakomaa hapana hadiupime,
traffic akapima fasta tuka park pembeni,minikawamuungwana nikamwambia jamaa,mkuu nikupe shingingapi ukarekebushe, akasema etiyeye sio fundi,hawezi kukadiria,nikamwambia tuongozane nikamrekebishie akaniuliza wapi? Nikamwambia garage akaniambia eti yeye anagereji yake nahatakubali gariyake itengenezwe na mafundi asio wafahamu. Yule traffic akaja tena akauliza mnataka nini, nikamwambia mistaki kupotezeana muda ntamrekebishia gari yake, jamaa akaongea ongea na traffic badae akakubali Nika mpeleka garage nnayo ifahamu mimi nikaongea na fundi nikamlipa,jamaa akaanza utata tena,eti nani atasimamia gari ikiwa inatengenezwa?, heee" nikamwambia mi nishalipa wewe bakihapa usimamie kwakuwa mimi sijui maswala ya ufundi kwahiyo sinachakumuelekeza fundi. Fundi akaingilia akamwambia achanamba yako ya cm ikiwatayari ntakupigia, akaacha mba kwa shingo upande, siku iliyo fuata akaenda kuchukua ugonjwa wake wa moyo. Nili shangaa mtu anaiona gari kama binadamu!!!!!!. Hahahahaaa kama upo humu am sorry.

sijaona maelezo yanayoonesha kwamba gari lake ni la mkopo!!
 
Bora yeye kawa mstaarabu mi ningekushukia na upanga kudadadeki bora gari yangu ife injini kuliko kuniaribia body
Unaendesha gari kizembe unaumiza gari za watu alafu unaleta nyodo k ww
Iguse range au bmw ujue shughuli yake na usivo kuwa makini utafia barabarani we kama umezoea kuendesha mizoga yako colorless usijaribu kuharibu ya mwenzio mAku....a wewe
 
Bora yeye kawa mstaarabu mi ningekushukia na upanga kudadadeki bora gari yangu ife injini kuliko kuniaribia body
Unaendesha gari kizembe unaumiza gari za watu alafu unaleta nyodo k ww
Iguse range au bmw ujue shughuli yake na usivo kuwa makini utafia barabarani we kama umezoea kuendesha mizoga yako colorless usijaribu kuharibu ya mwenzio mAku....a wewe

Nilijua tu mkowengi.
 
Sasa we ulitaka ukwarue gari yake akuache tu sio. Mbona sijaelewa logic ya post yako, halafu hakuna consistence kati ya heading yako na ulichoandika humo ndani
 
mnyama k hizo ni taratibu tu, ukinigonga hata usiponilipa insurance itafanyakazi. Ndio maana nilikuwa nataka trafiki apime ili ukianza kuleta uswahili nipate kulipwa na insurance! Kuna mtu aliwahi kunigonga ila gari yangu haikuumia sana yake ndio ilikuwa hoi,akasema atranirekebishia nikamuonea huruma nikachukua namba yake nikampa yangu nikasepa mpaka leo hapokei simu! Kwahio usione watu wana react sana wakigongwa hayo yanasababishwa na ujanjaujanja was mafdereva wengi
 
Last edited by a moderator:
nakumbuka kuna siku nilikuwa na jamaa angu tukiwa na corola tukapita sehem moja yenye vumbi lazma upite speed ili gari iweze kupita hapo mbele kuna bodaboda nae katuona tunapita speed nae kaja speed kapita kachana tairi ya mbele ya gari pikipiki yake ili haribika kidogo tukamwambia tunakupa 30 tu bodaboda kakomaa akawapigia wenzake sim pale ndan ya dk 1 pakajaa pikipiki hapo bdo npo zangu ndani ya gari nikawa mpole jamaa niliekuwa nae akawambia wasukume gari alitoe hapo lilipo nasa kwanza jamaa wa bodaboda wakasukuma gari ikatoka hapo jamaa katoa mguu wa kuku kauweka juu ya dash board halafu kashusha vioo vyote chini! wakaondoka mmoja mmoja hadi aibu!
 
Alafu umemchelewesha kwenye mambo yake unakuja kuleta utumbo humu

Minilitaka nimlipe palepale yeye akaamua kujichelewesha, mtuana shtuka utadhani nyumba inaungua,

je inge gongwa ikabondeka siangekufa kwa presha, tujifunze ku relux tunapo kutana na vitu kamahivi.
 
Nikweli bhana mjini cheers zakawaida,.ni kiasi chakuelewana nakuyasolve kiume tuu,..



Usiombe umgonge mtu ambae gariyake inamajeraha tayari,.utalipa Hadi taa iliyopasuka mwakajana.
 
Nikweli bhana mjini cheers zakawaida,.ni kiasi chakuelewana nakuyasolve kiume tuu,..



Usiombe umgonge mtu ambae gariyake inamajeraha tayari,.utalipa Hadi taa iliyopasuka mwakajana.

Sana mkuu mtu nime mbusu kidogotu anawaka utadhani gari kaazima.
 
Mbona haina uhusiano na gari kuwa ya mkopo????

Cha mtu mavi haiwezekani umkwangue akuchekee tu???

Na kuhusu garage hujui mafundi wengi wezi wa vifaa???
 
Bora yeye kawa mstaarabu mi ningekushukia na upanga kudadadeki bora gari yangu ife injini kuliko kuniaribia body
Unaendesha gari kizembe unaumiza gari za watu alafu unaleta nyodo k ww
Iguse range au bmw ujue shughuli yake na usivo kuwa makini utafia barabarani we kama umezoea kuendesha mizoga yako colorless usijaribu kuharibu ya mwenzio mAku....a wewe

We una hasira gari yako imejaa fila nini,si kaendeshee baharini
 
Back
Top Bottom