kzba
JF-Expert Member
- Jun 19, 2014
- 1,355
- 793
Nitaikwangua gari lako mazima hahahaha!
Nakuua kudadadeki
Nitaikwangua gari lako mazima hahahaha!
Mkuu, nahisi ulidhani watu watakusupport kwa maelezo yako hayo, badala yake wanakuona wewe ndio hauna maana. Tatizo ni lugha uliyotumia kwamba ni gari la mkopo! Kwani kama sio la mkopo ndio una haki ya kuachiwa hivi hivi? Huo muda anaopoteza kulisubiri gari lake wakati wewe umeshaondoka kwenda kuzalisha, nani anamlipa? Ulitakiwa kuwa muungwana zaidi ya hayo malipo, tatizo vijana wengi mnadhani hela ndio kila kitu!Nilijua tu mkowengi.
Sio nyuma mkuu, niubavuni Nili mchubua kidogo tu.
Nilijua tu mkowengi.
We jamaa bado mshamba tu,hujui value ya muda na pesa.Minilitaka nimlipe palepale yeye akaamua kujichelewesha, mtuana shtuka utadhani nyumba inaungua,
je inge gongwa ikabondeka siangekufa kwa presha, tujifunze ku relux tunapo kutana na vitu kamahivi.
Sana mkuu mtu nime mbusu kidogotu anawaka utadhani gari kaazima.
Nikweli mkuu wapo watu waaina kamahiyo yani sio waaminifu, ilamimi nilitaka nimlipe palepale tumalizane kwakuwa bahati mbaya hutokea na ilikuwa ni mkwaruzo kidogo tu, ilikuwa kwenye foleni nikawa nahamia upande wa pili yeye akaja jumla, nandipo tuka kwaruzana,kama unaendesha gari hapamjini utakubaliana na Mimi kwamba kuna watu wana roho mbaya yani kukupa nafasi kidogotu anaona shida.
Kama hilo jambo ni dogo mbona we umelikuza mpaka ukashindwa kulibeba ukaja kulibwaga hapa? Relax kwanza wewe.
Pole sana. Ni kweli kuna watu wanaabudu magari yao kuliko hata familia zao. Wakati gari ni kitu cha kawaida sana, kama ni sehemu ndogo unapotezea tu.
Siku moja gari lako likigongwa ndiyo utaelewa kwanini huyo uliyemgonga alikuwa mkali hivyo
Hata aliyegongwa ni mstaarabu kuliko wewe,
Hiki kiherehere chako ungegongwa weye pangechimbika.
mkuu ninayo tena mawili kwa ajili ya matumizi ya nyumbani langu na la mke wangu ila niliposikia kuwa hata kwa mkopo unaweza pata nikaona ni vyema kujaribu maisha kila upande[/QUOT.
Unayo nini mkuu mabasi?
Kweli JF inabeba taka taka za aina zote...sasa we mtoa mada kuna tatizo gani kuwa na gari la mkopo?Kama wote tusipokopa hizi benki zitajiendeshaje na kutoa ajira kwa hata baadhi ya ndugu zako kama si wewe mwenyewe?People need to start thinking progressively ila kwa aina hii ya ufikiri kama ya mtoa mada Tanzania still has a long way to go.Na by the way anayekopa ana uwezo wa kulipa na anajilipia mwenyewe.Hizi kauli huwa ni za madereva wa dala dala sikujua kama na wao active members wa JF kabla ya kuona hii post.
Bei ya bajaji naijua vizuri sana hata ya Range Rover ......labda uniulize kama ninayo au la!Mkuu unaijua bei ya bajaji hiyo unayoonekana kama kuidharau??.
Jamani naomba kutoa mada yangu kuna jambo moja linanisumbua naomba tulichangie kuhusu hawa vijana wetu wa siku hizi hawana maadili kabisa utakuta mvulana wa miaka kuanzia 20 - 25 nakuendelea anamtongoza mama mtu mzima age ya mama yake mzazi anaweza kumletea maneno ya kihuni au hawezi kuchukulia hii ni age ya mama yake. Mimi nawashauri vijana wa kike na kiume hebu mtangulizeni Mungu katika maamuzi yenu tunaakwenda wapi jamani?
Zaidi ya 90% ya sheria za barabarani haziwezi kutumika kwenye barabara za darUnapoendesha unatumia roho mbaya au sheria za barabarani? Barabarani kuna bahati mbaya lakini kumbuka kujali cha mwenzako nadhani ukiwa mstaarabu na yeye anakuelewa sasa unapomuonesha jeuri unategemea nini? For sure we ndo umebugi halafu tena unajiona mjanja.Hii sio pouwa na ukiendelea kuwa mzembe utalipa mpaka dakika ya mwisho.
Unapoendesha unatumia roho mbaya au sheria za barabarani? Barabarani kuna bahati mbaya lakini kumbuka kujali cha mwenzako nadhani ukiwa mstaarabu na yeye anakuelewa sasa unapomuonesha jeuri unategemea nini? For sure we ndo umebugi halafu tena unajiona mjanja.Hii sio pouwa na ukiendelea kuwa mzembe utalipa mpaka dakika ya mwisho.