Gari la mkopo ni presha tupu

Gari la mkopo ni presha tupu

mnyama k hizo ni taratibu tu, ukinigonga hata usiponilipa insurance itafanyakazi. Ndio maana nilikuwa nataka trafiki apime ili ukianza kuleta uswahili nipate kulipwa na insurance! Kuna mtu aliwahi kunigonga ila gari yangu haikuumia sana yake ndio ilikuwa hoi,akasema atranirekebishia nikamuonea huruma nikachukua namba yake nikampa yangu nikasepa mpaka leo hapokei simu! Kwahio usione watu wana react sana wakigongwa hayo yanasababishwa na ujanjaujanja was mafdereva wengi

Nikweli mkuu wapo watu waaina kamahiyo yani sio waaminifu, ilamimi nilitaka nimlipe palepale tumalizane kwakuwa bahati mbaya hutokea na ilikuwa ni mkwaruzo kidogo tu, ilikuwa kwenye foleni nikawa nahamia upande wa pili yeye akaja jumla, nandipo tuka kwaruzana,kama unaendesha gari hapamjini utakubaliana na Mimi kwamba kuna watu wana roho mbaya yani kukupa nafasi kidogotu anaona shida.
 
Last edited by a moderator:
Nimemkwaruza jamaa kidogo tu ubavuni, we, we, we we, nilijuta. Akashuka mbio tukaanza kubishana, Traffic akawa anatuangalia kwanza tunavyobishana, kisha akasogea karibu akasema hebu pakini pembeni mna sababisha foleni, jamaa anakomaa hapana hadi upime.

Traffic akapima fasta tuka park pembeni, mimi nikawa muungwana nikamwambia jamaa, mkuu nikupe shingi ngapi ukarekebishe, akasema eti yeye sio fundi, hawezi kukadiria, nikamwambia tuongozane nikamrekebishie akaniuliza wapi?

Nikamwambia garage akaniambia eti yeye anagereji yake na hatakubali gari yake itengenezwe na mafundi asio wafahamu.

Yule traffic akaja tena akauliza mnataka nini, nikamwambia mimi sitaki kupotezeana muda ntamrekebishia gari yake, jamaa akaongea ongea na traffic badae akakubali Nikampeleka garage nnayo ifahamu mimi nikaongea na fundi nikamlipa, jamaa akaanza utata tena, eti nani atasimamia gari ikiwa inatengenezwa?, heee" nikamwambia mi nishalipa wewe baki hapa usimamie kwakuwa mimi sijui maswala ya ufundi kwa hiyo sina cha kumuelekeza fundi.

Fundi akaingilia akamwambia acha namba yako ya simu ikiwa tayari ntakupigia, akaacha namba kwa shingo upande, siku iliyo fuata akaenda kuchukua ugonjwa wake wa moyo. Nilishangaa mtu anaiona gari kama binadamu!!!!!!.

Hahahahaaa kama upo humu am sorry.
pole sana ndugu yangu, hawa jamaa wapo wengi sana! Pia hawa jamaa ni wazembe kinoma huwa wakifika kunako tuta husimama kabisa, kitu ambacho kama ulikuwa hujui umeongozana na mzembe kama huyo lazima umvae kwa nyuma!! Angalia gari nyingi za hawa jamaa zimeshagongwa nyuma ila bado hawajitambui
 
Umemgonga nyuma halafu kakuachia hivihivi??
 
Unaonyesha kabisa kwa jinsi gani ulivyo narrow minded! Naamini kabisa hata yeye alikuwa anafikiria wewe ndio mwenye gari ya mkopo!
 
Kwanini umemlipa ? Ina maana gari yako haina bima ?

It's just a little scratch mkuu, ambayo gharama yake haifiki hata laki, na kwakuwa sijawahi kufuatilia hiyo procedure ya bima nikawaza huenda ikanichukulia muda wa mambo mengine, then nikaamua kumalizana nae.
 
Minilitaka nimlipe palepale yeye akaamua kujichelewesha, mtuana shtuka utadhani nyumba inaungua,

je inge gongwa ikabondeka siangekufa kwa presha, tujifunze ku relux tunapo kutana na vitu kamahivi.

Kama hilo jambo ni dogo mbona we umelikuza mpaka ukashindwa kulibeba ukaja kulibwaga hapa? Relax kwanza wewe.
 
Hata mimi yamenikuta leo. Kuna dada nimekwaruza gari yake na kuvunja side mirror, tukapelekeshana hadi polisi. Ikabidi nimpeleke kwa fundi wangu lakini alipofika huko akasema eti hawezi kutengeneza gari yake hapo bali kwa fundi wake tu. Du, zimenitoka sh120,000 bila kupenda. Cha muhimu tuwe makini.
 
Alikuwa sahihi.kukupeleka kwa fundi wake kwa sababu anajua huduma yake na.Ushapu
 
Nimemkwaruza jamaa kidogo tu ubavuni, we, we, we we, nilijuta. Akashuka mbio tukaanza kubishana, Traffic akawa anatuangalia kwanza tunavyobishana, kisha akasogea karibu akasema hebu pakini pembeni mna sababisha foleni, jamaa anakomaa hapana hadi upime.

Traffic akapima fasta tuka park pembeni, mimi nikawa muungwana nikamwambia jamaa, mkuu nikupe shingi ngapi ukarekebishe, akasema eti yeye sio fundi, hawezi kukadiria, nikamwambia tuongozane nikamrekebishie akaniuliza wapi?

Nikamwambia garage akaniambia eti yeye anagereji yake na hatakubali gari yake itengenezwe na mafundi asio wafahamu.

Yule traffic akaja tena akauliza mnataka nini, nikamwambia mimi sitaki kupotezeana muda ntamrekebishia gari yake, jamaa akaongea ongea na traffic badae akakubali Nikampeleka garage nnayo ifahamu mimi nikaongea na fundi nikamlipa, jamaa akaanza utata tena, eti nani atasimamia gari ikiwa inatengenezwa?, heee" nikamwambia mi nishalipa wewe baki hapa usimamie kwakuwa mimi sijui maswala ya ufundi kwa hiyo sina cha kumuelekeza fundi.

Fundi akaingilia akamwambia acha namba yako ya simu ikiwa tayari ntakupigia, akaacha namba kwa shingo upande, siku iliyo fuata akaenda kuchukua ugonjwa wake wa moyo. Nilishangaa mtu anaiona gari kama binadamu!!!!!!.

Hahahahaaa kama upo humu am sorry.

Kwa taarifa yako uzunguni kote na duniani kote wanaendesha magari ya mkopo! Nawashangaa watz mnaona ufahari kununua vipaso vyenu kwa cash!! Kwa nini nitumie hela yangu kununua gari wakati naweza kukopa nikalipa kidogo kidogo, pesa yangu nikatumia kwa mambo muhimu!? Kiaz kweli, nachelea kuamini kama hata bajaji unamiliki wewe!!
 
Hata mimi yamenikuta leo. Kuna dada nimekwaruza gari yake na kuvunja side mirror, tukapelekeshana hadi polisi. Ikabidi nimpeleke kwa fundi wangu lakini alipofika huko akasema eti hawezi kutengeneza gari yake hapo bali kwa fundi wake tu. Du, zimenitoka sh120,000 bila kupenda. Cha muhimu tuwe makini.

Pole sana mkuu.
 
Kwa taarifa yako uzunguni kote na duniani kote wanaendesha magari ya mkopo! Nawashangaa watz mnaona ufahari kununua vipaso vyenu kwa cash!! Kwa nini nitumie hela yangu kununua gari wakati naweza kukopa nikalipa kidogo kidogo, pesa yangu nikatumia kwa mambo muhimu!? Kiaz kweli, nachelea kuamini kama hata bajaji unamiliki wewe!!

Mkuu unaijua bei ya bajaji hiyo unayoonekana kama kuidharau??.
 
Back
Top Bottom