Gari la mkopo ni presha tupu

Gari la mkopo ni presha tupu

Mkuu unaweza Ku quote sentence yoyote kwenye Uzi wangu ambao inaonyesha kwamba nilionyesha jeuri???.

Gari la mkopo ni presha tu! Nini kimekutuma uandike hayo maneno kama si Jeuri tu.Ulijuaje kama ni gari la mkopo? Kama umeweza kuandika haya for sure ulionesha Jeuri
 
Niliambiwa na mmoja kati ya watu waliokuwemo kwenye Gari hiyo.
 
karibu mjini, naona toka ununue gari ndiyo leo unapata ajali, una bahati sana umekutana na mtu mpole, ungetandikwa mangumi!
 
Mkuu kama unatabia ya kukurupuka kuchapa watu makonde, achananayo mara moja, sheria haiangalii mbavuzako.
 
sheria zipo ili zivunjwe, kama wewe ulivozivunja kwa kumgonga jamaa na kutaka kuchapa lapa, baadaye mkavunja sheria kwa kumalizana kisela, na askari wa usalama barabarani akavunja sheria kwa kupuuzia kupima eneo la ajali mpaka alivyovutwa shati, baadaye akavunja sheria kwa kuwaacha muondoke bila kujaza ripoti ya ajali. hapo ni makofi tu halafu nakwambia uchape lapa.
 
Mkuu usijiamini sana unaweza ukakurupuka na presha than ukachezea misumali hadi lock ya viroba ikakutoka.
 
Back
Top Bottom