hao u trackk wanapatikana wapi asee?
Wapo Dar es salaam na Arusha...! Kwa Arusha wapo along Himo road karibia na kwa mrefu kituo cha mafuta cha BP, but Dar es salaam wapo pale mikocheni
hao u trackk wanapatikana wapi asee?
hao u trackk wanapatikana wapi asee?
Hapa umetujambia dogo:sly:
Hii ngoma bado mbichi ngoja waje wajuvi wa haya mambo! kuna mshkaji aliuza nyumba Mill 60 kaenda kununua Rav 4 number A ambayo ilishatumika iliyobaki kaenda kapanga nyumba kawatupa huko familia yake nyingne anatengenezea heshima bar!
Una ushahida wa picha?? kuwa nimewajambia?
Suluhisho ya haya yote ni chombo chako kukilipa insuarance ya comprehensive basii kila kitu umemaliza. We ukusikia juzi wezi wa magar wakitaka kuchukua gari zenye security systems wanaweka sumaku kwenye boneti na gar wanaondoka nalo?! Akili kichwan mwakoWapo Dar es salaam na Arusha...! Kwa Arusha wapo along Himo road karibia na kwa mrefu kituo cha mafuta cha BP, but Dar es salaam wapo pale mikocheni
Ndio we gusa hapo nyuma uone makalio ulivoungua😀
Vijana wa kibongo ndiyo zenu kuwaza tu makalio!!
Jamani kuna rafiki yangu alichukua mkopo wa gari aina ya NOAH kutoka bank ya CRDB na aliweka nyumba yake kama dhamana, lakini kwa bahati mbaya gari lenyewe limeibiwa jana maeneo ya Kongowe na mbaya zaidi gari lenyewe lina muda wa miezi miwili tu tangu aanze kulitumia.
Yaani mshikaji kadata balaa hajui afanye nini? na bank kama kawaida wanataka chao tu. Wakuu tusaidiane kumshauri huyu mwenzetu.
Mbona Avatar yako umepiga picha umetugeuzia makalio???
Jamani kuna rafiki yangu alichukua mkopo wa gari aina ya NOAH kutoka bank ya CRDB na aliweka nyumba yake kama dhamana, lakini kwa bahati mbaya gari lenyewe limeibiwa jana maeneo ya Kongowe na mbaya zaidi gari lenyewe lina muda wa miezi miwili tu tangu aanze kulitumia.
Yaani mshikaji kadata balaa hajui afanye nini? na bank kama kawaida wanataka chao tu. Wakuu tusaidiane kumshauri huyu mwenzetu.
Nitarudi baadae kukujibu nipo on ma way kuelekea ikulu nimeitwa kuna kikao cha zadhura!
Gari si inabima? Even mkopo nao si unabima?seiwe na wasiwas..kama flow ya pesa kwa ajil ya kulipa mkopo ipo why achanganyikiwe...na huyo mjinga kwel atakopaje gar aweke dhamana nyumba?siku hiz magar kibao hiv..bado mtu unachukua mkopo kwa ajil ya gar kwel?magar siku hiv watu wanauziana baa 2mil nyingine ukipata unammalizia....🙂🙂
Hivi mimi nauliza, hizi gar zikiibiwa zinapelekwa wap? Maana Nina ndugu yangu aliibiwa Rav 4 hakuipata!
Sasa kama rafiki zake ndio wewe, hata simlaumu kwa kuweka rehani nyumba kwa ajili ya gari..