Jerrymsigwa
JF-Expert Member
- Jun 23, 2012
- 14,084
- 8,400
Hivi inakuaje mtu mpk anaiba gari? Haina immobiliser built in? Tena Noah mtu aibe atauza kwa bei gani
yanii ni ukweli kabisa! rafiki wenyewe hamnazo
tatizo was Tanzania tunaona Kumiliki gari is a big deal! gari sio ishu ndo maana huko befoward kina gari had I za dollar 200. ona huyu kaweka dhamNa Nyumba ili anunue gari sasa presha lazma imuue Kama komba
Jamani kuna rafiki yangu alichukua mkopo wa gari aina ya NOAH kutoka bank ya CRDB na aliweka nyumba yake kama dhamana, lakini kwa bahati mbaya gari lenyewe limeibiwa jana maeneo ya Kongowe na mbaya zaidi gari lenyewe lina muda wa miezi miwili tu tangu aanze kulitumia.
Yaani mshikaji kadata balaa hajui afanye nini? na bank kama kawaida wanataka chao tu. Wakuu tusaidiane kumshauri huyu mwenzetu.
Gari ya rais wa kenya iliibiwa sembuse hlo lenye car tracking kuna kifaa unaingia nacho ndani ya gari lenye hyo car tracking system na kuuwa mawasiliano yote na gari inatembea bila tatizo!
Lakini ni akili gani hio kukopa Noah na kuweka nyumba dhamana?!
Jamani kuna rafiki yangu alichukua mkopo wa gari aina ya NOAH kutoka bank ya CRDB na aliweka nyumba yake kama dhamana, lakini kwa bahati mbaya gari lenyewe limeibiwa jana maeneo ya Kongowe na mbaya zaidi gari lenyewe lina muda wa miezi miwili tu tangu aanze kulitumia.
Yaani mshikaji kadata balaa hajui afanye nini? na bank kama kawaida wanataka chao tu. Wakuu tusaidiane kumshauri huyu mwenzetu.
wakuu kweli mmenichoka
Kama hiyo Noah alikuwa hasogezi viti ili kupiga mijeredi ,basi nampa pole.
kabisaaa! Pumzika hata wiki basi tukumiss
ndugu ni pm nikuunganishe na mtu akuwekee tracking system ya maana , hakuna malipo ya mwezi na inauwezo wa kufanya mambo mengi ,ikiwa ni pamoja na kuzima gari kwa njia ya simuhao u trackk wanapatikana wapi asee?
yanii ni ukweli kabisa! rafiki wenyewe hamnazo
Watu tunakopa ili kupata mitaji ya kuendeshea biashara zetu,wajinga wengine wanakopa ili wanunue Noah za kuringishiana hapa town?
Ngumu sana ku-digest hii aiseee, noah! Noah kbs? Bora mi natembea na kaguu