Gari la Mbunge wa Kwimba lapigwa mawe

Nini takukuru, natamani wangemfutilia mbali kwenye uso wa dunia.
Wananchi wapo pande mbili, ukishangilia kupigwa kwa mbunge wa CCM vivyo hivyo ikitokea kwa mbunge wa Chadema chekelea hivyo hivyo.!
 
Siasa inazidi kutengeneza wajinga wengi nchi, kumpiga kiongozi kwa sababu ya kugawa majembe ni umbumbumbu, hakuna kiongozi ambaye hagawi chochote kwenye jimbo lake si Mbowe, Sugu au Mdee.
 
Ni kosa kisheria kujichukulia sheria mkononi, waenda kushitaki polisi badala ya kumpiga.
Mara ngapi viongozi na hasa wabunge wa ccm wanatoa rushwa wakikamatwa kupelekwa takukuru au polisi wanaachiwa.mfano mbunge wa mbalari na mbunge badweli.dawa ya hao ni kuwafanyia hayo ili wasiendelee na tabia za namna hiyo.hiyo ni rushwa
 
Gari La Mbunge wa Kwimba kupitia chama cha mapinduzi mh. Mansour limepigwa mawe na kutolewa vioo likiwa linagawa majembe kwa wananchi wa Lunele Jimbo la Kwimba.

Wananchi walifikia hatua hiyo baada ya kukerwa na hiyo tabia ya kuwagawia majembe,kwani walitofasiri kuwa ni Rushwa.

[HASHTAG]#Tunamtakabenakiwahai[/HASHTAG].
Maisha magumu, watu Wana njaa hawajala halaf unawagawia majembe hiyo ni dharau.
 
Mgawa rushwa huwa anapigwa mawe au anapelekwa TAKUKURU?
Hao waliorusha mawe wakamatwe washughulikiwe kikamilifu bila huruma

kwa mimi wako sahihi takukuru ni ya ccm , unampeleka ccm kupata ulinzi, vyema kumwadhibu aogope kuwa umma haupendi mambo ya kiccm
 
Back
Top Bottom