Benjamini Netanyahu
JF-Expert Member
- Aug 7, 2014
- 102,675
- 126,914
Hapana hii haikubaliki, imagine akipigwa ndugu yako sijui utafurahia. Nchi yetu ni ya utawala wa sheria, tufuate sheria.Mara ngapi viongozi na hasa wabunge wa ccm wanatoa rushwa wakikamatwa kupelekwa takukuru au polisi wanaachiwa.mfano mbunge wa mbalari na mbunge badweli.dawa ya hao ni kuwafanyia hayo ili wasiendelee na tabia za namna hiyo.hiyo ni rushwa