idawa
JF-Expert Member
- Jan 20, 2012
- 25,304
- 38,476
Wananchi wapo pande mbili, ukishangilia kupigwa kwa mbunge wa CCM vivyo hivyo ikitokea kwa mbunge wa Chadema chekelea hivyo hivyo.!Nini takukuru, natamani wangemfutilia mbali kwenye uso wa dunia.
Wananchi wapo pande mbili, ukishangilia kupigwa kwa mbunge wa CCM vivyo hivyo ikitokea kwa mbunge wa Chadema chekelea hivyo hivyo.!Nini takukuru, natamani wangemfutilia mbali kwenye uso wa dunia.
Kwa ccm rushwa ni jadi yao, dawa yao sio kuwapiga mawe bali dawa yao ni kutokuwachagua
Sawa, provided kahusika na maovu.Wananchi wapo pande mbili, ukishangilia kupigwa kwa mbunge wa CCM vivyo hivyo ikitokea kwa mbunge wa Chadema chekelea hivyo hivyo.!
Mara ngapi viongozi na hasa wabunge wa ccm wanatoa rushwa wakikamatwa kupelekwa takukuru au polisi wanaachiwa.mfano mbunge wa mbalari na mbunge badweli.dawa ya hao ni kuwafanyia hayo ili wasiendelee na tabia za namna hiyo.hiyo ni rushwaNi kosa kisheria kujichukulia sheria mkononi, waenda kushitaki polisi badala ya kumpiga.
Na waliouwa "wahamiaji haramu" wafanywe nini mkuu!!!Mgawa rushwa huwa anapigwa mawe au anapelekwa TAKUKURU?
Hao waliorusha mawe wakamatwe washughulikiwe kikamilifu bila huruma
Alaf kwa Akili ya kawaida unafikiri Polisi CCM wange mfanya nn kwa mfano?nijibu haraka.Ni kosa kisheria kujichukulia sheria mkononi, waenda kushitaki polisi badala ya kumpiga.
Maisha magumu, watu Wana njaa hawajala halaf unawagawia majembe hiyo ni dharau.Gari La Mbunge wa Kwimba kupitia chama cha mapinduzi mh. Mansour limepigwa mawe na kutolewa vioo likiwa linagawa majembe kwa wananchi wa Lunele Jimbo la Kwimba.
Wananchi walifikia hatua hiyo baada ya kukerwa na hiyo tabia ya kuwagawia majembe,kwani walitofasiri kuwa ni Rushwa.
[HASHTAG]#Tunamtakabenakiwahai[/HASHTAG].
Mgawa rushwa huwa anapigwa mawe au anapelekwa TAKUKURU?
Hao waliorusha mawe wakamatwe washughulikiwe kikamilifu bila huruma