Gari la Mbunge wa Kwimba lapigwa mawe

Gari la Mbunge wa Kwimba lapigwa mawe

Elimu elimu elimu..kuna majimbo hata ukipewa ubunge wa bure kataa mpk waelimike...mvua isiponyesha ww...barabara ww...watoto wanafel ww...mifugo inakufa ovyo ww...
 
Wabunge wengine bana Majembe du.!
basi ukute aligawa majembe tu bila pembejeo.
 
Kuna haja ya Serikali kuanzisha kampeni za makusudi juu ya kuwaeleza wananchi kufuata sheria za nchi, make siku kadri siku zinavyosonga na ndo wananchi wanazidi kuwa vinara wa kujichukulia sheria mkononi pasi kumsikiliza mtuhumiwa, nk.
Mkuu, ni kweli kuna haja.... lakini siyo ya wananchi tu kuelezwa bali na serikali hii na viongozi wote ingefaa waambiwe/wafundishwe umuhimu wa kufuata katiba ambayo ndiyo sheria mama, na sheria nyinginezo zote.
 
Kuna haja ya Serikali kuanzisha kampeni za makusudi juu ya kuwaeleza wananchi kufuata sheria za nchi, make siku kadri siku zinavyosonga na ndo wananchi wanazidi kuwa vinara wa kujichukulia sheria mkononi pasi kumsikiliza mtuhumiwa, nk.
Kweli mkuu,lakini serikali yenyewe kupitia vyombov yake nadhani ndiyo inaongozo kujichukulia sheria mkononi. Kama wahamiaji haramu wanauawa na kufungwa katika sandarusi zenye mawe,acha tu kila mmoja afanye ulinzi pale alipo hadi tutakapo elimika kuhusu utawala bora na misingi ya haki na namna ya kufuata sheria pale makosa yanapotokea. Inakera sana,wengi wameshapoteza maisha,kuwa vilema kwa ujinga tu wa kutofuata sheria.
 
Nini takukuru, natamani wangemfutilia mbali kwenye uso wa dunia.
Hv kweli mnajitambya, mkikamatwa na kyswejwa rumande kwa matumuzi mabaya ya mitandao mbapiga kelele na kukimbilia haki za binadamu. Hayo mamlaka ya kumfuta mtu kwenye yso wa dunia umeyatoa wapi. Endeleeni kufanyiana wenyewe kwa wenyewe yuko huko na baadae mtoe saa 72
 
Kuna haja ya Serikali kuanzisha kampeni za makusudi juu ya kuwaeleza wananchi kufuata sheria za nchi, make siku kadri siku zinavyosonga na ndo wananchi wanazidi kuwa vinara wa kujichukulia sheria mkononi pasi kumsikiliza mtuhumiwa, nk.
Si tuliambiwa tung'oe matairi magari yanayopita barabara ya mwendokasi. Na tuue panya road ile ni kujichukulia sheria miguuni?
 
Mgawa rushwa huwa anapigwa mawe au anapelekwa TAKUKURU?
Hao waliorusha mawe wakamatwe washughulikiwe kikamilifu bila huruma
Mbona mkulu alisema majambazi yakikamatwa yauwawe? Ndo tunatekeleza maagizo sasa
 
Kwahiyo maMvi anayepita makanisani na misikitini akigawa pesa apopolewe mawe?
 
Gari La Mbunge wa Kwimba kupitia chama cha mapinduzi mh. Mansour limepigwa mawe na kutolewa vioo likiwa linagawa majembe kwa wananchi wa Lunele Jimbo la Kwimba.

Wananchi walifikia hatua hiyo baada ya kukerwa na hiyo tabia ya kuwagawia majembe,kwani walitofasiri kuwa ni Rushwa.

[HASHTAG]#Tunamtakabenakiwahai[/HASHTAG].
Picha, source, lini, nk!
 
Kwani waliokuwa wanapewa majembe hayo walikuwa ni watu wa CCM peke yao?

You Tanzanian when will u be untied from this stupidness...
 
Sijaelewa, wamempiga mbunge wa CCM au gari ya mbunge???
 
Back
Top Bottom