Benjamini Netanyahu
JF-Expert Member
- Aug 7, 2014
- 102,675
- 126,930
Hata kama ni wewe ukipewa order na boss wako lazima utii.Wenyewe ndio wanajidhalilisha kukubali kutumika kwa maslahi ya kisiasa.
Hata kama ni wewe ukipewa order na boss wako lazima utii.Wenyewe ndio wanajidhalilisha kukubali kutumika kwa maslahi ya kisiasa.
Mawazo mazuri lakini wananchi wasimpige mawe.Pole zake.
Next time akagawe matrekta
Kilimi cha jembe kinauma aisee
Unahasira,kifupi hawawezi kukamatwaMgawa rushwa huwa anapigwa mawe au anapelekwa TAKUKURU?
Hao waliorusha mawe wakamatwe washughulikiwe kikamilifu bila huruma
hivi.....nchi hii kwani imerejea kwenye mfumo wa utawala wa sheria? imetokea lini?Mgawa rushwa huwa anapigwa mawe au anapelekwa TAKUKURU?
Hao waliorusha mawe wakamatwe washughulikiwe kikamilifu bila huruma
Nchi hii inaendeshwa kwamujibu wa sheria hivo hawakutakiwa kujichukulia sheria mkononiApigwe tu maana hakuna namna.....