Gari la Lema lashambuliwa na UVCCM - Arusha

Akiwa anaekekea nyumbani kwake Mbunge Wa Arusha Mjini Mhe. Godbles Lema ameshambuliea na vijana wa uvccm maeneo ya clock Tower,..kuna watu wameumia katika tukio hilo ambalo vijana wa ccm walimvamia lema wakiwa na mashoka, panga na mipini..
Ccm italeta vita .
 

Attachments

  • attachment-5.jpeg
    attachment-5.jpeg
    15.4 KB · Views: 833
Majambazi magamba mnaogopa cdm. Poleni sana Lema hamumuwezi majizi nyie.
Jana jioni ccm walibeba chokoraa wenye marungu na mapanga walijaa fuso ukionyesha alama ya V wanakushambulia wanapiga watu lakini polisi hawachukui hatua yeyote.
 
Nani amshambulie jambazi mkongwe kiasi hicho! hao ni wezi wenzake amewa stage ili kujipa promo baada ya kugundua wana A.Town wamemstukia na wanataka kumtosa ubunge kwa kuwadanganya mambo mengi na yote kuishia kwenye maandamano yanayokosesha wananchi vipato kwa vurugu na kupora mali.

we mpuuz kaa uko tangahimba na lichama lenu la wezi jiji letu haliitwi A Town Linaita Arusha A.k.a Arachugga,aragwara
 
Kwani ulikuwa na haraka gani? Habari haieleweki kabisa. Siku nyingine uwe unamsimulia mtu halafu yeye ndio akuanzishie thred, sio kuleta taarifa zisizoeleweka namna hii.
Ova
 
LEMA nilikutana naye jana pale SAHEEL BBQ, karibu na ST.THOMAS HOSP. tukasalimiana huku mimi nikiwa namchora tu!

Kiukweli alionekana ni Hopeless fellow!
 
Wezi ni nyie ccm mnatuibia mabilioni kila kukicha. Yaani hata lepe huna umesahau escrow tayari? Kama Lema angekuwa mwizi ungekuta umeshamfunga kwa kuwa ni mwiba kwenu. Nendeni bungeni mkawasilishe hoja binafsi kuhusu ujambazi wa Lema kama alivyothubutu Kafulila kuwasambaratisha majambazi nyie.

We mangi ndo umepitwa na wakati kweli kweli! nikutizama kifikra tu nakuona umevaa kaunda suti na raba, unaendesha toyota staut old model, na christmas hii utapandisha milimani na makochi kwe staut yako na baada ya sherehe utarudi nayo mjini.We hujui hata escrow kuwa haimhusu Lema wala Chagadema, nikukumbushe tu.
1.Mtoa hoja Kafulila-alifukuzwa chadema.
2.Mwenyekiti PAC-Mhe.Zitto, alifukuzwa chagadema.
3.CAG aliyefichua uozo-kateuliwa na serikali ya ccm.
4.wajumbe Filikunjombe,Kigwangala,Lugola,Mpina na wengine zaidi ya nusu ni wa ccm!
Sasa kwa wenzio wameshastuka kuitumia escrow kama mtaji wa chagadema bali wewe bado hujitambui! escrow haikuletwa na chadema.na sio ajenda ya kuleta maendeleo kwa wagombea wenu waseme vision yao ya 2015-2020. usimshabikie jambazi LEMA hana ishu zaidi ya maandamano na wizi wa magari.
 
LEMA nilikutana naye jana pale SAHEEL BBQ, karibu na ST.THOMAS HOSP. tukasalimiana huku mimi nikiwa namchora tu!

Kiukwelgi alionekana ni Hopeless fellow!

Nilikua nae nanilikuona ulikua unamchora nini sasa mbona ulikimbia
 
Mbunge wetu wa Arusha ameendeleza vituko baada ya kupiga risasi hewani muda huu hapa jijini Arusha kutoka kilipo kituo cha polisi mpaka alipo pigia risasi ni mita kama Mia tano kisa ni baada ya kukutana na msafara wa ccm hali ya chadema ni mbaya sana Arusha na hizi fujo za lema zinaharibu zaidi

Ww ni kenge kwl uvccm ndo wamevamia gar la mbunge na sasa tuko kituon, ila kiwambie kitu ww bapo unayeposha kwa kuolewa na ccm, uvccm walikuwa na mapanga mashoka na silah zingine wamevuna kioo cha nyuma hii ndo arusha tumewafaham wanajulikana tutawakabil ss
 
Nani amshambulie jambazi mkongwe kiasi hicho! hao ni wezi wenzake amewa stage ili kujipa promo baada ya kugundua wana A.Town wamemstukia na wanataka kumtosa ubunge kwa kuwadanganya mambo mengi na yote kuishia kwenye maandamano yanayokosesha wananchi vipato kwa vurugu na kupora mali.


Vichwa vibofu kama ya kwako ni chache sana hapa jukwaani.......mnahesabika wehu kama wewe......
 
Back
Top Bottom